Ama kweli, Kwenye Maisha Hakuna Hali ya kudumu. "No condition is permanent".
Kipindi naanza kuwa kijana nilipitia kuvuta bhangi, almost 34 years ago. Basi siku hiyo nilivuta bhangi magethoni kwa masela. Wakati narudi home nikahisi njaa Kali ndiyo nikanunua mandazi ya buku hivi nikanywee chai...
Ndoa ndoana, waweza kudhani umepata kwa kumchunguza mda mrefu kumbe ni mtego tu wa kukushawishi muingie kwenye ndoa, weeeehh!!! ingia sasa kwenye hio ndoa akiyacomoa makucha aliyoficha utaomba poo
Sheria za wakristo ni kwamba hakuna ndoa kuvunjika na hakuna kuoa tena, kiuhalisia hili ni jambo...
Mimi nakumbuka siku moja nikiwa ugenini, huyu mtoto wa mwenyeji wangu aliing'ang'ania radio yangu na mwenyeji wangu akaniambia tumsubirie asinzie watamnyang'anya nakumbuka walinipatia radio yangu saa nne usiku toka saa 12 jioni
Niliwamindi familia yote ila basi tu hawakujua
Weka na wewe cha...
Salaam Wakuu! Kwa wale walioshawahi kukaa mahabusu ni kituko gani unakumbuka au tukio gani unalikumbuka ulikutana nalo huko ndani wakati ukiwa unanyea ndoo na uliingia kwa kosa gani? 😊 😊
Tupieni uzoefu🤭
Hakika serikali inacheza na akili zetu ni afadhali ingekaa kimya kuliko kutoa matumaini ya unafuu wa maisha ambao haupo.
Ni ukweli uliowazi kuwa serikali imehusika kwa kiasi kikubwa kupanda kwa gharama za maisha kwa sababu ingewezekana kabisa serikali kuchukua hatua za kuzuia kupanda kwa bei za...
Tangu ile video yake ya ngono ivuje aliyokua anatikisa mauno nimekua nikimuona wa hovyo sana, ila kwenye ujumbe wa hii video yake, katiririka hoja zenye mashiko, anaeleza kile ambacho kimewakwamisha Watanzania kwamba kila rais anakuja na maono yake na mambo yake, hamna maono au dira ya taifa...
Wabunge wa Chama cha Mapinduzi msisahau majimbo yenu, 2025 ni kesho kutwa, na sisi tunataka Rais huyu [Samia Suluhu Hassan] arudi madarakani. Na wajumbe wanawasubiri."- Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango.
Chanzo: Swahili Times Mtandaoni
Lini uliteuliwa kuwasemea Watu wote?
UKIWA KIONGOZI WA UMMA CHUNGA NDIMI YAKO USIJE KUWA KITUKO KWA MANENO YAKO
Na Unoko ni Uzalendo
Ukiona mtu anaweweseka kwa sauti serikali kukopa muulize je yeye hana mkopo na kama anao Bondi ya huo mkopo ameiweka serikali au mali zake binafsi?
Kuna wakati tusijifanye tuna uzalendo wa hii...
Simba hawajujipanga kuandaa hiyo shughuli. Ma mc WaPo very dis organised.
Morrison nae ndio kaongea makolokolo Gani ?
Simba SC is very boring.
# Haji Manara is cut from a different cloth
Naamin mpo good wadau,
Leo nlikua kijiwen na wajuba tunapiga piga story ya mambo za Hamza, mara story zikahama mpaka kwenye minyaduano maana kuna dada bonge bonge alipita kijiweni akaharibu kilinge baada ya jamaa mmoja kusema unaeza muona na minyama hivo halafu ukafika 6x6 ukakuta hakuna kitu...
Yaan kuna wasanii hawaeshimu kabisa protocol za mavazi.
Haya cheki huyu jay melody nani anampa kiburi cha kuvaa suruali ambayo haimtoshi, suruali ambayo kavalia mkanda huku kafunga suspendor(sambaloketo:dk1.20).
Ni jambo la kushtusha sana, mbona inafahamika kama una suruali inayopwaya kiunoni...
Yapo mengine unashindwa kuyaeleza hivyo unaiachia video ndio iongee, karibuni sana...
Kama sifa zinalevya, basi Mh Rais Samia Suluhu Hassan kaa chonjo na watu kama hawa!
Juzi kwa mwendazake leo kwako...waepuke wanafiki hawa, kaa mbali nao na waogope kama ukoma!
1.
2.
3.
4.
5.
6.
7.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.