Muda huu hata wakiambiwa na wananchi walale chini kwenye tope ili wapate kura watalala tu!
==============
Leo Oktoba 7, 2025 Mgombea Ubunge wa jimbo la Ubungo Professa Kitila Mkumbo ameendelea na kampeni zake za nyumba kwa nyumba, mtaa kwa mtaa katika mtaa wa Kimara Baruti uliopo kata ya Kimara...
CCM wanatuletea maigizo matupu kwenye hili suala! Rushwa imeshamiri kila kona ya nchi, halafu bado wanathubutu kudai kwamba wanapambana nayo.
Swali la msingi ni: wanapambana kivipi, au wanatuzuga tu?
=============
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Prof. Kitila Mkumbo...
“Kazi ya serikali ukiacha mambo ya ulinzi na usalama ni kutengeneza fursa kwenye maisha ya watu wake kwa kufungua fursa za wananchi kutengeneza ajira na biashara na katika hili Mama Samia amefanikiwa sana, wakati anaingia madarakani tulikuwa tunasajili miradi 207 tu leo tunasajili zaidi ya...
Kupitia akaunti yake ya mtandao wa X aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Prof. Waziri Kitila Mkumbo Septemba 29, 2015 aliwahi kuandika "Nchi zote zenye akili hupima uwezo wa kifikra wa wagombea urais kupitia midahalo. Hapa kwetu wanakwepa. Ujanjajanja na ulaghai...
Kitila aliitembelea mitaa mbalimbali ya kata hiyo kunadi sera, kueleza aliyotekeleza, kusema atakayofanya akishinda, kusikiliza changamoto na kutoa majibu ya suluhu zake.
Katika kuendelea na kampeni hizo Kitila alikutana na mabondia ambao pia ni wafanyabiashara katika soko la Ndizi Mabibo na...
Mgombea ubunge wa jimbo la Ubungo Professsa Kitila Alexander Mkumbo Septemba 23 ameendelea na kampeni zake katika kata ya Sinza kuinadi ilani ya Chama cha Mapinduzi na kumuombea kura mgombea Urais wa chama hicho Dkt Samia Suluhu Hassan.
Soma pia: Prof. Kitila aridhishwa na zoezi la kura za...
Wakuu habari,
Hizi ni baadhi ya picha na video za Mgombea Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Professa Kitila Mkumbo akipita mtaani kusaka kura kutoka kwa wananchi kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025
Je, ataendelea na muenendo huu wa kufanya ziara Mtaani katika Jimbo lake...
Profesa Kitila Mkumbo, mgombea ubunge wa Ubungo kupitia CCM, ameendelea na kampeni zake Kata ya Mabibo akifuatana na mgombea udiwani Ashura Seng’ondo. Wananchi wametaja changamoto kubwa kuwa ni barabara ya Bint Kayenga, hususan kipindi cha mvua. Prof. Kitila ameeleza kuwa barabara hiyo ipo chini...
Kampeni za kituo kwa kituo, mtaa kwa mtaa zinazofanywa na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Professa Kitila Mkumbo zimeendelea kusonga ambapo Septemba 12, 2025 alikitembelea kijiwe cha kahawa kilichopo Tabata Mwananchi, jijini Dar es Salaam.
Alipotembelea...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Professa Kitila Alexander Mkumbo leo Septemba 12, 2025 amefanya kampeni za aina yake kwa kuomba kura kwa abiria walio ndani ya Daladala zilizokuwa zinachukua abiria katika Kituo cha Riverside, Ubungo Dar Es Salaam.
Kitila...
Akiwa kwenye kipindi cha Dakika 45 ITV, Professor Kitila Mkumbo ambaye pia ni Mwenyekiti kamati ndogo iliyoandaa Ilani ya CCM, ametoa ufafanuzi kulingana na utafiti kuwa Chama kinafahamu wapiga kura wao
"chama chochote chenye akili duniani huwa vinafanya kitu kinaitwa 'Opinion Poll research'...
Prof. Kitila Mkumbo, Mwenyekiti Kamati ndogo iliyoandaa ilani ya CCM, akihojiwa na ITV anukuliwa akisema, "Tunashindana na vyama 17 Watanzania waelewe nchi hii ni ya vyama vingi sio vyama viwili.....huko Marekani ni nchi ya vyama viwili sio Tanzania."
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Ubungo, wilayani Ubungo mkoani Dar es Salaam wamehoji kwa sauti moja hatua za Mbunge wa jimbo hilo anayemaliza muda wake, Profesa Kitila Mkumbo, kuhusu utekelezaji wa ahadi zake mbalimbali ikiwamo ujenzi wa ukingo wa Mto Gide ambao...
Habari Zenu Wadau,
Niende kwenye Mada Kwa ufupi,
Leo kama Taifa tumezindua DIRA ya maendeleo ya Taifa letu(TDV) na Rais Samia akiandika record baada ya Mkapa. Changamoto kubwa ni kuwa tunaandika Dira ya Taifa bila kuwa na Katiba imara ya kuilinda. Tumeshuhudia ndani ya miaka 25 kila Rais...
"Unajua huyu kuna kipindi aliteleza, Huyu Kitila Mkumbo alikuwa mwenyekiti wa vijana UVCCM mkoa wa Singida, sijui Mbowe alikuja kudanganya nini yule pale, kwahiyo anayo fanya haya ni ya ki-CCM, anakumbuka kule alikotokea. Na hio siri nimeitoa ili watu wajue kwamba uliteleza kidogo lakini umerudi...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais anayeshughulikia Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amesema vyombo vya habari nchini havipaswi kuwa neutral (kutokuwa na upande), bali viwe objective yaani kuwa na misimamo yenye msingi wa ukweli na uchambuzi makini.
Amesema hayo Julai 8, 2025 jijini Dar es...
Waziri wa Mipango na Uwekezaji, na Mbunge wa Jimbo la Ubungo Prof Kitila Mkumbo akizungumza leo Juni 12,2025 akiwasilisha Taarifa ya Hali ya Uchumi Mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo ya Taifa Mwaka 2025/2026 Katika Bunge la 12, Mkutano wa 19 Kikao cha 45
Amewashukuru wananchi wa Jimbo la Ubungo...
Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, leo Jumatatu Juni 02, 2025, aliitwa na Mwenyekiti wa Bunge kutoa swali kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.