Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amesema Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI inaendelea kusimamia uboreshwaji wa miundombinu ya elimu nchini, ili kuhakikisha kila mtoto wa Kitanzania anapata haki yake ya msingi ya elimu bora katika mazingira...
Wakati wa kuzindua iPhone 18 series itatoka na iPhone Fold. Ni iPhone ya kukunja ya kwanza kutoka Apple.
Base model ya 256 GB itakua $1,999 wakati ya juu ya 1TB itakua $2,400.
Hapo bado ushuru, na faida za wenye maduka.
Kazi ipo.
Kwa nini Watanzania wanapenda kulazimishana kuongea na watu
Unakuta mtu unapenda kukaa peke yako kimya bila kusumbua watu, unashangaa wanaanza kukuuliza mbona huongei na watu, na kuanza kukupangia kuwa unapaswa uanze kuongea na watu
Kuna muda unawasikia wanakusema kimyakimya eti huongei na...
1)Idara ya uzinzi
Ni sekta namba Moja Ambayo ,imeonekana Kuwa na matumizi mabovu mno ya Fedha ,vijana wamekengeuka ,Wanahonga sana michepuko na girlfriends ukilinganisha na bei Elekezi.
Kijana anaamua kujilipua kuingia mahusiano yenye gharama kubwa sana kwasababu ya kupagawishwa na shepu na...
Kuna thread flan nmeisoma hapa kuhusu matajiri haswa Kanda ya ziwa huko, majina yao ni ya kitamaduni tamaduni flani na ya kiafrika sio Wala ya kizungu
Embu nichagulieni Moja na Mimi,..
Embu ona majina yao, OTAWA, SAULI, LUGUMI, Kuna yule mwamba wa mwanza bilionea yule..nimemsahau jina ., mzee...
Pamoja na kuteua tume ya mchongo itakayo kuja na majibu ya uongo ili muendelee kuudanganya umma na kujisafisha.
Tambueni umma wa sasa sio wa miaka ya uhuru hili mulielewe kabisa na umma wa sasa umewakataa.
Baada ya hayo tambueni hizi ndio hoja za msingi za vijana.
Kukithiri kwa vitendo vya...
Wakati Shirika la Habari la China, CGTN (China Global Television Network), linaendelea kuonesha umahiri wake katika kukuza utamaduni, sanaa, na fikra za kitaifa kupitia filamu kama “The Legend of the Monkey King” na “Nezha”, Shirika la Utangazaji la Taifa Tanzania (TBC) linaendelea kutumia...
Kanda ya ziwa bado safari ni ndefu, sijui wamepatwa na nini
Wananchi wa Buhongwa Wilayani Nyamagana Mkoani Mwanza wakiwa wamejitokeza kwa wingi pembezoni mwa barabara, tayari kwaajili ya kumlaki na kumsikiliza mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya...
Kupitia mtandao wa kijamii wa facebook dorothy Gwajima amechapisha akileza kuwa wewe binti ambaye, fikra zako zinakutuma uwe mvivu mvivu kusoma au kujishughulisha na masuala ya maendeleo na kuwekeza kwenye harakati za yuko ambaye, Mungu alishamwandaa kwa ajili ya maisha yangu mimi, atanipa kila...
Kwanini Vijana wengi wa Kitanzania Wanaona Kujihusisha na Siasa ni kupoteza muda wakati hii ndiyo ungekuwa nafasi Yao kutengeneza undugu na kuongeza marafiki na kuwasaidia katika kufanikisha swala ajira
Huko Telegram kuna makundi ya WhatsApp yanatangaza kuuza video inayo waonyesha wawili wali Tanzania wakifanya mapenzi ya jinsia moja..
Makundi ha to yanatoza Kati ya she elfu tatu hadi tano, na watu wengi sana wanalipa hela kujiunga kwenye ma group hayo ili wapate kuona video hizo.
Ni kwamba...
Tarehe 11 Agosti 2025, Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Broadhurst, nchini Botswana, ilitoa hukumu dhidi ya raia wa Tanzania, Emma Sezary Beda (42), baada ya kumtia hatiani kwa kosa la umiliki wa dawa za kulevya aina ya “dagga” (bhangi).
Kwa mujibu wa taarifa za Jeshi la Polisi la Botswana, tukio...
Watanzania tulio wengi tumeshindwa kabisa kufanya biashara ya pamoja kama wanafamilia au watu wa ukoo mmoja kwanini?
Tofauti na jamii za kiarabu, kihindi na hata familia nyingi za kizungu hudumisha tamaduni hii ya biashara za kifamilia. Yani kutoka kwa muasisi (hasa alieleta mageuzi ya...
#houseforsale
Nyumba ya gorofa tatu
ground floor
1) 1 bedroom en-suite
2) kitchen with separate dish washing room
3) kitchen pantry
4) laundry room
5) computer room
6) entertainment room
7) combined dining room area and sitting room area
8) separate sitting room
9) common toilet
first...
Pyramids ya Misri imeweka bei ya Doła 3 milioni (Sh8 bilioni) kwa timu inayomhitaji mshambuliaji Fiston Mayele katika kipindi cha dirisha hili la usajili.
Mayele aliyeongoza kwa kufumania nyavu kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika msimu uliopita akipachika mabao sita, anawindwa na klabu kadhaa za...
Wakuu,
Kwa hiyo kumbe kuna watu wa "usalama" walikuwa wanaripoti contents ambazo hawazipendi?
Jamaa hajasema ni aina gani ya contents lakini huhitaji D mbili kujua anaongelea mi aina gani anazozingumzia.
Basi sawa!
=============================
Kwa mara ya kwanza, Raphael Mwango, Afisa...
Timu ya vijana wa Kitanzania kutoka jamii ya Watanzania wa Diaspora waliozaliwa nchini Somalia kwa wazazi wa asili ya Kitanzania na Kisomali, imeibuka mabingwa wa Ligi ya Vijana mjini Mogadishu.
Ushindi huo umeonesha uwezo mkubwa wa vijana hao ambao licha ya wengi wao kutowahi kufika Tanzania...
#houseforsale
Nyumba ya gorofa tatu
ground floor
1) 1 bedroom en-suite
2) kitchen with separate dish washing room
3) kitchen pantry
4) laundry room
5) computer room
6) entertainment room
7) combined dining room area and sitting room area
8) separate sitting room
9) common toilet
first floor...
Wanadai maisha ya Iran ni cheap sana, ukiondoka na 1 milion TZS unaishi mwaka mzima bila shida kabisa.
Wanasema 2500 ni sawa na pesa za Iran rial 100 ambapo lita moja ya mafuta ya gari ni rial 3. hivyo yani kwa 2500 za kibongo karibu unapata rita 33 za mafuta.
Wanasema iran wana mitandao yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.