kitaifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Sheria kuhusu sikukuu za kitaifa kwa watumishi wa umma

    Habari wana bodies,napenda kujua Juu ya Sheria na miongozo juu ya watumishi wa umma wanaofanya kazi hadi siku za mapumziko ya sikukuu za umma,je wanastahili kupata stahiki gani kwa mujibu wa sheria?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tathmini yako ni ipi kuhusu mgawanyo wa miradi ya serikali mikoani, serikali inajali usawa kulingana na uhitaji katika kutekeleza miradi l?

    Ni muhimu kuangalia kama rasilimali zinagawanywa kwa haki, zikihakikisha mikoa yote inapata fursa sawa ya maendeleo, bila upendeleo wowote. Tathmini yako ni ipi kuhusu mgawanyo wa miradi ya serikali atika kila mkoa ? Je, serikali inazingatia usawa kulingana na uhitaji halisi wa wananchi katika...
  3. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Mawasiliano Wakati wa Mizozo ya Kitaifa

    GTs, Katika siku za karibuni tumeshuhudia kuzimwa kwa huduma za mtandao na vizuizi katika majukwaa ya kijamii nchini. Hatua kama hizi, ambazo mara nyingi hutolewa kama “za kiusalama,” zimeleta maswali mazito kutoka kwa wananchi kuhusu uwazi, usimamizi wa taarifa, na haki ya kupata habari...
  4. JamiiForums Tanzania WITO WA KITAIFA: Taifa letu linajivua gamba, tuvumiliane

    Nyakati kama hizi haziepukiki. Taifa linazeeka na linahitaji Reforms. Kama waasisi wa Reforms walidhani itabakia kwenye tafsiri zao, basi walikosea sana. Reforms ni OVERHAUL. Hakuna cha Ceteris paribus. Mabadiliko yasipowagusa ni kazi bure. Sio suala la mvinyo mpya, chupa ya zamani. Hata baadhi...
  5. JamiiForums Tanzania Sifa za Range Rover SUVs za Kisasa zenye Ulinzi Maalum kwa Viongozi wa Kitaifa

    Magari mapya ya VVIP aina ya Range Rover SUVs huja na teknolojia ya kisasa yenye ulinzi wa juu unaojumuisha ballistic protection ya B6+ hadi B7, vioo vinavyostahimili risasi, run-flat tires zinazoruhusu gari kuendelea na safari hata likipigwa risasi, kinga dhidi ya milipuko, pamoja na mfumo...
  6. JamiiForums Tanzania Wito kwa wananchi kuomboleza msiba mkubwa kitaifa

    A call for citizens to mourn a major national tragedy We, members of different communities in Tanzania, with great sorrow and heavy hearts, acknowledge the tragic events that have occurred in Tanzania, where brutal killings have claimed the lives of 3,000 innocent people. We announce that we...
  7. JamiiForums Tanzania Wito kwa wananchi kuomboleza msiba mkubwa kitaifa

    Wito kwa wananchi kuomboleza msiba mkubwa wa kitaifa Sisi wanajamii, kwa huzuni kubwa na moyo mzitotunatambua matukio ya kusikitisha yaliyojitokeza Tanzania, ambapo mauaji ya kikatili yamepoteza maisha ya watu 3000 wasiokuwa na hatia. Tunatangaza kuwa sisi wanajamii tutakuwa na siku 3 za...
  8. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuleta umoja na mshikamano wa kitaifa?

    Ndugu Wana JF karibuni kwenye mjadala wa wazi wa kutoa maoni juu ya mambo gani yafanyiwe kazi ili kurejesha umoja na mshikamano wa kitaifa bila kujali tofauti za itikadi zetu za dini na kisiasa. Mimi kama Mtanzania mwenzenu nashauri mambo haya; 1. Kutengwa siku maalum ya kitaifa ya kuomboleza...
  9. JamiiForums Tanzania Yanahitajika maombolezo ya kitaifa na bendera zishushwe nusu mlingoti

    Baada ya kutazama video kadhaa itoshe kusema mauaji haya yaliyotokea ni makubwa mno! mioyo ya watanzania imejeruhika mno! ni mtu mwenye roho ngumu sana pekee, anayeweza kuona ni hali ya kawaida, wengi wanajaribu kulazimisha kusahau lakini bado mioyo inavuja damu, Vyombo vya habari vinajaribu...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi Wananchi hawawezi kuunda serikali mbadala ya kitaifa?

    Embu tufundishane sheria zinasemaje. Ikitokea wananchi wakasema wanaunda "serikali mbadala" ya kitaifa yenye ngazi kuanzia Mwenyekiti au Rais hadi ngazi ya mtaa. Wakatafutwa viongozi wa kuunda serikali hiyo kwa njia watakayoona inafaa kwa ajili ya kuwaletea maendeleo yao. Hata vyama vya siasa...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 CCM mmetuangusha, mmetufedhehesha, mmetutia aibu- kitaifa na kimataifa

    “Asiyesikia la mkuu, huvunjika guu” Uchaguzi wa tarehe 29 Oktoba mwaka huu umeweka historia ya aibu. Aidha CCM sasa imekiuka madhumuni ya uanzishwaji wake maana , chama kiko insensitive kwa wananchi wake. Kwamba kulikuwa na maonyo, kisiasa ,kuwa kunaweza kuwepo maandamano, CCM ,ilijiweka...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 JWTZ mpelekeni haraka Oman kwa Wajomba zake na Itisheni baraza la Uongozi la Kitaifa

    Wananchi tumeshachukua nchi yetu. Tunawaomba sana makamanda wetu tunaowapenda sana. Taasisi pekee tunayoiamini wananchi. Tuondoleeni huyo mama mpandisheni ndege aende kwa wajomba zake Oman. Itisheni haraka baraza la Uongozi la Kitaifa chini ya Jeshi tuanze kuijenga upya nchi yetu.
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tume ya Kitaifa ya Uwiani na Maridhiano yamtaka Gavana Mutahi Kahiga kutoa maelezo kuhusu kauli zake tata juu ya kifo cha Raila Odinga

    Tume ya Kitaifa ya Uwiani na Maridhiano nchini Kenya (NCIC) imemtaka Gavana wa Nyeri, Mutahi Kahiga, kutoa maelezo rasmi kuhusu kauli zake zilizozua utata kuhusu kifo cha aliyekuwa kinara wa ODM Raila Odinga. Kauli hizo zimezua hasira kubwa nchini Kenya, hasa baada ya Kahiga kusema kuwa kifo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mpina shuka hilo basi, tunakuhitaji kwenye mjadala wa Kitaifa

    Watu wa karibu na Mpina, mwambieni/mshaurini ajitenganishe na Zitto na ACT haraka sana. Tarehe 30 tutahitaji kuunda baraza jipya la mageuzi kwa ajili ya mustakabali wa Tanganyika, waliojihusisha na Uchaguzi kwa kiwango kikubwa wanatumika na hili kundi ambalo wengi wao watakuwa kizuizini. Jana...
  15. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza Ijumaa Oktoba 17, 2025 kuwa Sikukuu ya kitaifa ya kumuenzi Odinga

    Serikali ya Kenya imetangaza Ijumaa, Oktoba 17, 2025 kuwa sikukuu ya umma kwa heshima ya aliyekuwa Waziri Mkuu, Raila Odinga, aliyefariki dunia Oktoba 15, 2025 akipatiwa matibabu nchini India. Katika tangazo maalumu la gazeti la Serikali Na. 15007 iliyochapishwa mapema Oktoba 16, 2025, Katibu wa...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) linatekeleza zoezi la ajira kitaifa Oktoba

    Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF), kupitia taarifa iliyotolewa Jumapili, Septemba 14, linasema kuwa zoezi hili litalenga kuajiri Wakandarasi wa Huduma za Kawaida (GSO) – kwa kawaida na wahitimu wa vyuo vikuu, Wakandarasi Maalumu, Wajibu wa Kawaida, Wafundi wa Kazi na Wanawake, pamoja na Askari wa...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametetea ongezeko la deni la kitaifa nchini humo, akisema deni hilo ni endelevu,

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametetea ongezeko la deni la kitaifa nchini humo, akisema deni hilo ni endelevu, haya yakijiri baada ya benki ya kitaifa kusema deni la kitaifa limefikia dola bilioni 46.5 kufikia mwishoni mwa mwezi Juni, wakati pia ripoti ya hivi punde ya benki ya Tanzania...
  18. JamiiForums Tanzania Taratibu za kufuata kitaifa na kimataifa unapotaka kutengeneza app yako ni zipi?

    Wakuu Naomba tuambizane hapa ni zipi taratibu za kufuata unapotaka kutengeneza app yako, haswa taratibu zile za kisheria, za ki-nchi, kimataifa, ila kulinda project yako kisheria dhidhi ya "majangili" ya kuona project za watu na kukopi na kujipatia utajiri kirahisi kwa dhulma. Na kama Kuna...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Je, Rais Hussein Mwinyi amesaliti maridhiano na umoja wa kitaifa Zanzibar?

    https://www.youtube.com/watch?v=MCNhPjrsMLA&t=87s
  20. K

    JamiiForums Tanzania Je Kuna mtu anawaza juu ya umoja wa kitaifa baada ya uchaguzi.

    Leo ndo hitimisho la novena na waislamy Leo wapo diamond jubilee kumuombea raisi ashinde kwa kishindo. . . Acha tuone mwisho wake
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…