kitabu

Kitabu is an EPUB reading application for macOS, released in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    Tafsiri kamili ya kiswahili ya kitabu alichokuwa anakigawa mzungu kwa watoto, yaliyomo hayana tena shaka, sheria ifate mkondo !

    THE GRANDPA THAT NEVER GREW UP Kabla hujasoma kilichoandikwa ni muhimu kwanza umjue msanii Cher na sherehe za Pride Cher ni msanii mkongwe ambae ana mchango mkubwa sana kwenye itikadi za kuhalalisha mapenzi ya jinsia moja, Harakati zake zilianza kipindi cha miaka ya 60 kipindi ambacho...
  2. Inawezekana kuandika kitabu kizima kwa emoji tu?

    Hizi emoji ni hieroglyphs za kisasa?
  3. N

    Nawezaje kuweka kitabu AMAZON KDP

    Habari ndugu zangu, Nataka kuweka kitabu changu katika mtandao wa AMAZON, ila kuna sehemu moja ya kuweka taarifa za kibenki, sioni option ya Tanzania ili niweze kuendelea. Kuna iprion ya Marekani na nchi nyingine za Ulaya. Msaada tafadhali
  4. Hatimae nimeamua kuandika kitabu kuhusu mtindo wa maisha ya watu wa mikoa ya Kusini mwa Tanzania

    Wakuu baada ya kupiga kambi Mtwara na Newala nimevutiwa sana na ustaarabu, uungwana na ukarimu wa watu wa kusini mwa Tanzania. Sasa ninaandika kitabu kuhusu maisha ya watu wa kusini mwa Tanzania. Kitabu kitagusa nyanja zote kuanzia utamaduni hadi shughuli za kiuchumi ikiwa ni pamoja na fursa...
  5. Wadau Mwenye PDF ya hiki kitabu anisaidie: The occult sciences by Anthony Norvell

    Wadau Mwenye PDF ya hiki kitabu anisaidie: The occult sciences by Anthony Norvell Husika na kichwa hapo juu. Naomba mnisaidie pdf ya kitabu hapo juu👆
  6. Upembuzi wa kitabu cha mtu tajiri zaidi babylon

    UPEMBUZI YAKINIFU WA KITABU CHA MTU TAJIRI ZAIDI BABYLON "THE RICHEST MAN IN BABYLON" Na LEONARD JULIUS SHIGANGA WA MWANAMATINGATINGA. KWAMBA, THE RICHEST MAN IN BABYLON ni kitabu kilichoandikwa na GEORGE S CLASON, kinachoongelea siri ya utajiri iliyokuwa ikitumika na ustaarabu wa kale kabisa...
  7. Kitabu kipya: "Ujasusi Ni Nini Na Je Majasusi Wanafanya Kazi Gani Hasa?"

    Tangazo la kitabu kipya kuhusu taaluma ya Ujasusi. Bei sh 45,000/= (free delivery jijini Dar, mikoani sh 5,000/=). Whatsapp/M-Pesa 0767-340-975 Yaliyomo kitabuni 👉Maana ya ujasusi 👉 Historia ya Ujasusi 👉 Aina za Ujasusi 👉 Ujasusi wa kimtandao 👉Ujasusi kama nyenzo ya diplomasia 👉Ujasusi...
  8. B

    Je umesoma kitabu gani kizuri mwaka huu?. Please share nasi tupate maarifa pia

    Tafadhali Tupia kitabu kilichobadilsha fikra zako au maisha Yako, ulichokisoma mwaka huu.
  9. Biblia ndio kitabu pekee chenye uwezo wa kukupa afya ya akili?

    Asilimia kubwa ya watu duniani ni wagonjwa kiakili kwa kujua au kutokujua. Bahati mbaya watu hawa ambao wengi ni Maprofessionals, Maprof, Wasanii, wachungaji feki (gospelpreneurs), Wanasiasa na wafanya maamuzi ya dunia ndio wanaoaminiwa sana na watu. Hii imepelekea mlipuko mkubwa wa janga la...
  10. E

    Kitabu cha unga sera na mitaala ya elimu 2023

    Ndugu watanzana sera na mitaala ya elmu ya 2023 ni mibovu inahitaji kubadilishwa kabla ya kuanza kutumika. Mama alisema watanzania semeni ili kujenga taifa lenu sasa ego tumeamua kuongea kupitia kalamu. Mitaala na sera ni mibovu kwa kuwa waandaji (kamati) wa mitaala hawaonekani kuelewa taifa...
  11. Bibi Titi Mohamed Katika Kitabu Cha Jim Bailey "The History of Julius Nyerere"

    BIBI TITI MOHAMED KATIKA KITABU CHA JIM BAILEY "THE HISTORY OF JULIUS NYERERE" Nilimfahamu Jim Bailey kupitia kwa Ally Sykes alikuwa na mswada wa kitabu cha picha: "Tanzania: "The Story of Julius Nyerere," na alikuwa anatafuta mhariri wa kitabu hicho. Ally Sykes akanikutanisha na Jim Bailey na...
  12. Kama hauyaelewi Maisha yako na kila unachogusa ni kigumu jaribu kusoma kitabu kinaitwa 'The Power of Your Subconscious Mind'

    Kama unahisi something wrong on ur life circulation, i recommend to you this book, 'The Power of Your Subconscious Mind'. Kama unahisi Maisha yako yamepoteza maana Soma hiki Kitabu. Kila kitu unakitafuta kipo ndani yako ni swala la kuweka juhudi katika kulielekea jambo na ku-reprogram your...
  13. Watu maarafu walioandikwa kwenye Kitabu cha Atlas ya Darasa la 6 Tanzania

  14. TBC1 Kurasa Darasa: Kitabu Cha Maisha ya Rajabu Ibrahim Kirama

    ''Baada ya suluhu ile ya Captain Eltz na Alexander Le Roy iliyomaliza vita ile, Muro Mboyo aliondoka Machame kuelekea Old Moshi. Nyuma akiwa ameacha mke na mtoto mdogo wa kiume aliyeitwa Kirama Muro, ambaye mama yake alikuwa anatokea Kibosho. Jina la mama yake Kirama Muro lilikuwa Makshani...
  15. Usomaji wa Biblia kila siku unaongeza IQ kuliko kusoma kitabu kingine duniani

    Watu wengi wenye IQ kubwakubwa mindset zao zilishawishiwa na Biblia. Newton, Galileo Galilei, Mendel na wanasayansi wengi walikuwa wanazi wa maandiko ya Biblia. Paulo kwa usomi wake maandiko aliwaoutsmart wasomi majiniasi wa kigiriki Pale Aelopagas. Daniel aliwazidi akili wachawi,waganga...
  16. Kila kitabu na zama zake, corner sofa ndiyo habari ya mjini leo.

    Corner sofa ndiyo habari ya town, ukiongeza na flat screen ukutani na TV table ya mstatiri. Uzuri wa corner sofa mgeni anaweza kulala mpaka asubuhi omba tu asiwe kikojozi. Kwa kweli ni mfuko tu lakini corner sofa ya ngozi inapendeza na inadumu kwa muda mrefu. Ukiwa na ukuta mweupe blue...
  17. Kitabu cha Abdul Sykes katika PDF

    Ndugu zangu, Kitabu cha Abdul Sykes hicho hapo chini kwa atakae kukisoma. KInapatikana Hard Copy Ibn Hazm Media Centre katika maduka yake ya vitabu Msikiti wa Mtoro, Manyema (Kariakoo), Mtambani (Kinondoni) na Kichangani (Magomeni) bei Shs: 10,000.00...
  18. Dkt. Dyaboli Moyo aliyeandika kitabu chenye "ukakasi" Wasomi Wajinga ni nani?

    Juzi kati nilikutana na hiki kitabu kinaitwa Wasomi Wajinga. Katika kukipitia nilikuta kina mambo ya kushangaza sana. Ni kama zile play za Kezilahabi. Kina maneno makali na yenye ukakasi. Nimejaribu kumgoogle muandishi wake Dr Dyaboli Moyo nimeambulia patupu. Hata humu JF sijaona sehemu...
  19. Je, nini sababu ya kuwepo kwa makosa makubwa kama haya kwenye kitabu cha physics kidato 4 na 1 cha TIE?

    Mimi ni muhitumu wa Phy kutoka chuo Y, nimeweza notice some very serious errors katika kitabu cha physics form one na form four TIE na kujaribu kuwatumia email lakini sikupata any response. On my personal thought ni kuwa, watoto wanajifunza makosa ya wahariri and not all teachers can notice...
  20. Kwa wale tu Wanaodhani Israel ni Mgeni Middle East kitafuteni Kitabu cha Basic Facts of the United Nations ili msiwe Majuha tena

    Wengi wenu mnadhani na mmekaririshwa kuwa Israel iliyopata Hadhi ya kuwa nchi mwaka 1948 ni Mgeni huko Mashariki ya Kati wakati kumbe si Kweli. Taarifa ikufikie kuwa Politically Palestine ndiyo mwenye hilo Eneo linalozozaniwa ila Historically na hata Kitabu Kitakatifu ( Biblia ) Kimethibitisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…