kiswahili

  1. Neno UVIKO-19 wamelipata wapi?

    Habari zenu wana Jamiiforums, poleni na majukumu ya kutwa nzima. Bila kupoteza muda, ugonjwa wa Corona baada ya kuonekana kutokuwa kwenye mjumuisho wa magonjwa hatari yanayotambulika na shirika la afya dunia yaani WHO, Hivyo WHO waliamua kuuingiza kwenye orodha ya magonjwa hatari na kuutafutia...
  2. Sehemu ya maji iliyoingia nchi kavu Dar, pale unavuka na feri au daraja la Kigamboni inaitwaje kwa Kiswahili?

    Eti wandugu sehemu kama ile kwa kiswahili inaitwaje?
  3. M

    Maana ya dhana hizi za Kiuchumi kwa Kiswahili

    Naomba kujua kiswahili Cha Cost Benefit Analysis Cost effectiveness Value for Money Cost effeiciency
  4. Naomba ufafanuzi wa msamiati Kunyambuka

    "Kunyambuka" inawezekana likawa siyo geni kwako mwanabodi, lakini Mimi kwangu ni geni .naomba ufafanuzi ndugu wataalamu wa lugha na msamiati wa Kiswahili. Kunyambuka nyambuka, ndiyo kufanyaje? Ikiwezekana members wote, kusanyeni comments zote kwa pamoja halafu mnijibu, siyo comments zinakuja...
  5. Kuna app ambayo naweza kuweka makala ya Kiingereza initafsirie?

    Habari wakuu kwema? Nataka nijue kama kuna app ambayo naweza nkapaste stori au makala fulani ya Kiingereza halafu initafsrie nataka nitafute ujuzi tofaut tofauti tatzo lugha nayo inakua ngumu naomben msaada kwa anaeijua hyo app #yesbishoohaswaaaa
  6. Ufundishaji wa Kiswahili na Taaluma za Kiafrika nchini China

    2021年4月23日至4月26日,上海外国语大学东非研究中心主任、东方语学院斯瓦希里语专业负责人马骏老师,东非研究中心副主任、斯瓦希里语专业宁艺老师率领斯瓦希里语专业5名同学赴京参加“全国非洲语言教学研讨会暨首届中国高校非洲语言学科竞赛”,随后前往清华大学国际与地区研究院参加交流研讨活动。...
  7. SoC01 Utofauti computer developer vs programmer vs coder [Kiswahili]

    Habari wana JF Leo nina mada fupi juu ya utofauti wa kazi za hawa watu watatu tajwa hapo juu kwenye kichwa cha habari katika sekta ya TEHAMA (Teknolojia ya Habari na Mawasiliano) . Mada hii itachochea wale ambao wanahitaji kuwa na uelewa wa maswala ya TEHEMA na pia kwa wale walio ndani ya...
  8. Vishazi katika lugha ya Kiswahili

    Salaam Wakuu, Leo tuendelee kujikumbushia masuala mbalimbali yanayohusu lugha. Baada ya kuangalia maana ya Virai na aina zake katika somo lililopita (Soma: Fahamu zaidi kuhusu Virai, muundo na aina zake) leo tutatazama kwa kina kidogo kuhusu vishazi. Katika somo hili tutatazama maana ya...
  9. R

    TANZIA Mwandishi wa vitabu vya kiswahili na kiingereza Greyson Mhilu amefariki dunia

    Mhilu, alifariki jana akiwa ARUSHA baada ya kuugua muda mfupi. Msiba uko UKUN, BAGAMOYO. Wakati wa uhai wake amewahi kuwa Mkuu wa Shule EAGLES, Bagamoyo na kufundisha shule mbalimbali zikiwemo LILIAN KIBO na MBEZI BEACH za DAR es SALAAM. Ameshiriki kuandika vitabu vingi na kuedit vingine...
  10. Niccolo Machiavelli na kitabu chake The Prince (Of principality). Kwa kiswahili; kuhusu Uongozi. Tusome na kujadili

    KIONGOZI (nimeonelea ndiyo iwe title) Sasa kitabu hiki kinapatikana ndani ya maktaba app (by pictuss). Inapatikana playstore. Kimeandikwa na: Niccolo Machiaveli, 1513. Kimetafsiriwa na: Pictuss, 2021. Email: Pictuspublishers@gmail.com. ©Pictuss2021 Haki zote zimehifadhiwa. Hakuna sehemu...
  11. S

    SoC01 Changamoto za Waswahili kwenye Kiswahili na utatuzi wake

    Kiswahili ni lugha adhim inayotumika sana katika ukanda wa afrika ya mashaliki, Asili yake ni inchini Tanzania ambako ndiko kuna waswahili wenyewe hasa, Pamoja na juhudi za Kiswahili kama lugha kukua na kuendelea zikiendelea, kiswahili kinapitia changamoto zifuatazo kutoka kwa waswahili wenyewe...
  12. Kwanini tusisome shule kwa Kiswahili?

    Hata maneno na michoro ni biashara na fahari kubwa me nadhani imefika muda kama taifa kuanza kusoma elimu zote kwa kiswahili na inawezekana msikariri kwamba lugha yetu haiwezi kutuletea mapinduzi kwenye maeneo yetu. Tunachelewa bure tunaua vipaji vingi kwa utumwa wa kijinga. Naombeni CHADEMA...
  13. SoC01 Unavyoweza kuuza Kiswahili Kidigitali na kujiingizia kipato

    Je Kiswahili ni bidhaa? Kwa vipi Kiswahili kinaweza kuuzika? Swala hili linaweza kuwa geni kwako hasa kama hujawahi kupata fursa yakutangamana kimazungumzo au maandishi ya manguli hawa walugha yakiswahili kuhusu ubidhaishaji wa Kiswahili, ambao ni prof, Clara Momanyi, Dkt Mahenge, Wallah bin...
  14. Midlife Crisis: Life Begins at 40

    Miaka ya sabini ilitoka series moja nchini Uingereza iitwayo The Fall and Rise of Reginald Perrin. Reginald (au Reggy) alikuwa na umri wa miaka 46. Alikuwa na mke na watoto wawili ambao walishaondoka nyumbani. Reggy alikuwa meneja kwenye kampuni anayofanyia kazi. Kadri siku zilivyoenda Reggy...
  15. Taasisi ya Elimu yakanusha taarifa zilizoenea kuhusu sababu za kuahirishwa kwa somo la Historia ya Kiswahili

    Salaam Wakuu, Taasisi ya Elimu Tanzania TET yaibuka na kukanusha habari zilizoenea kuwa waliahirisha somo la historia ya kiswahili kwa sababu vitabu vilivyoandaliwa kwa somo hili vilijikita kusifia watawala. Soma: Mitaala ya somo la Historia iliyositishwa ilijaa propaganda za kumsifu Magufuli...
  16. Maana ya baadhi ya maneno kwa kiswahili

    Naomba kufahamishwa maneno yafuatayo yanayotumika kumu"address" viongozi mbalimbali wa kiimla na wakisiasa. Emperor na empress Chief Prince na princess Crown prince na crown princess His/her majesty His/her highness Duke His/her worship His/her Excellency Na mengineyo mengi. Unaweza...
  17. SOFTWARE Jisomee vitabu vya Kiswahili bure ndani ya App hii?

    Sasa ndani ya App yetu ya maktaba unaweza kujisomea vitabu vyote vilivyomo bure kabisa. Ingia playstore na install Maktaba by pictuss APP. Unaweza kusoma vitabu hata ukiwa offline. Link ya app inapatikana katika post no 16. Vitabu vilivyopo mpaka sasa. 1. Hekaya za Abunuwasi na hadithi...
  18. Naomba kujua vitabu vya science fiction vilivyoandikwa na Watanzania/ kwa Kiswahili

    Kama kuna mtu anafahamu kitabu cha aina hiyo, kilichoandikwa na Mbongo au kwa Kiswahili, naomba anijuze.
  19. Picha: Tazama mchanganuo wa nafsi katika lugha ya kiswahili na Kiingereza

  20. Aina za Viwakilishi (W) katika lugha ya Kiswahili

    Salaam Wakuu, tuendelee na somo letu pana la aina za maneno. Katika andiko hili tutasonga zaidi kwa kutazama kiundani Viwakilishi na aina zake. Twende pamoja. VIWAKILISHI Viwakilishi ni maneno yanayotumika badala ya nomino(vibadala vya nomino). Nomino husika huwa haitajwi katika sentensi. Kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…