Najua Prof. Shivji ni mwalimu wa sheria hapo school of Law.
Sina hakika kama huwa anapata muda wa kuielezea au kufundisha sheria kwa lugha ya kiswahili.
Mimi kiukweli baada ya kutoa somo lake la sheria ya umiliki wa ardhi kwa lugha ya kiswahili nimejikuta nakua mpya kabisa kichwani kuliko...
Ilianza rasmi kipindi cha mh. jpm (r.i.p) ambapo kiswahili kilitamalaki kufikia kutumika kisawasawa afrika.
Juzi hapa tena mh. Mwigulu alipokuwa anasoma bajeti, alikipromoti tena kwa kusema usaili fulani (nimesahau eneo rasmi alilolitaja) utakuwa unafanyika kwa kiswahili sasa na si kiingereza...
Huyu mwandishi wa ITV ana ripoti vizuri lakini kushindwa kuongea kiswahili sanifu kumenikera sana.
Huyu mwandishi anaitwa Silemu, katika kipindi cha kuwahoji hao vijana waliotapeliwa fedha na kampuni ya QNET.
Akimwuliza au kuhoji mtu, badala ya kumuuliza UMETOA KIASI GANI, yeye anauliza...
Wadau naleta hili kwenu, kwa sababu naona vyombo hivi siku izi watangazaji wake wengi ni wa Kenya, na wamekuwa na kiswahili cha ajabu ajabu sanaa sio kiswahili ichi chetu cha Tz
Hawa jamaa wana misamiati yao ajabu ajabu sanaa mfano mufti mufti, venye, n.k ...hii misamiati haipo kabisa hapa...
DAR ES SALAAM INDEPENDENT SCHOOL (DIS)
Registration Numbers S. 2544 and DS/02/7/037
English and Kiswahili Teachers
We need very experienced ENGLISH and KISWAHILI Teachers to join our well established Middle School Team Immediately.
English and Kiswahili Teachers Requirements
Experience of...
Habari Za Mchana,
Poleni na majukumu na mihangiko ya Kila Siku na Kwa wale watakaofanya Usahili kesho niwatakie Usahili Mwema.
Sasa nirudi Kwenye topic, hili suala nimekua nikiliangalia Sana kwenye Usahili ukienda lugha inayotumika kuwasahili ni kiingereza. Hivi wanavyofanya hawatendi haki...
Kiswahili chetu huwenda kuna maneno yumkini hayako sawa katika kuleta uwiano wa maneno na au kiko sawa Ila kuna maneno yakitamkwa huonekana ni kama yako sawa na ukija kwenye kuutafuta ukweli, mtu unajikuta neno hilo linalokataza kitu Fulani kisifanyike, basi pia neno hilo hilo linamkataza...
Google imeongeza Lugha mpya 24 zinazozungumzwa na watu zaidi ya Milioni 300 katika Jukwaa lake la Tafsiri za Lugha 'Google Translate'. Idadi hiyo itafanya Lugha zilizopo ikiwemo Kiswahili kufikia 133
Inaelezwa kuwa kati ya Lugha zinazoongezwa, 10 zinatokea Barani Afrika. Kampuni hiyo imesema...
Habari za asubuhi wakuu,
Planet Open School inahitaji mwalimu wa kiswahili na History mwenye uzoefu wa kufundisha kidato cha kwanza hadi cha sita.
Planet Open school inapatikana Mwanza Mjini barabara ya Balewa.
Kwa mawasiliano: 0737-988897/ 0752-137196
Pato la Taifa ni GNI/GNP au GDP? "Nominal" - itakuwa kinaganaga?
Ufafanuzi kwa Kiingereza:
GNP Gross National Product (kisawe = gross national income GNI): total domestic and foreign output claimed by residents of a country, consisting of gross domestic product (GDP), plus factor incomes...
Hamjambo je tunao hapa wataalamu wa uchumi? Pato la Taifa ni GNP au GDP? Nominal - itakuwa kinaganaga?
Ufafanuzi kwa Kiingereza:
GNP Gross National Product (kisawe = gross national income GNI) : total domestic and foreign output claimed by residents of a country, consisting of gross domestic...
Nimesoma hii habari kutoka Bungeni, kabla sijazungumza ninachotaka kuzungumza, isome kwanza wewe mwenyewe uone....
****
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro amesema Sheria 212 kati ya sheria 466 zilizopo hapa nchini, zimetafsiriwa kutoka kwenye Lugha ya Kiingereza kwenda kwenye lugha...
Sioni sababu ya kujifunza kwa Kiswahili Shule ya msingi.
1: Walimu wao wanajifunza kozi kwa Kiingereza.
2: Kiswahili tayari tunakiongea nyumbani hata Mtoto akitoka Shule atakiongea hawezi kukisahau.
Hasara tunazopata
1: Watoto wa shuleza msingi wanakuwa wazito na hawaendani na kasi ya...
Kiswahili na Kiingereza, ni lugha mbili ambazo zipo kwenye mitaala ya elimu yetu nchini, lakini asilimia zaidi ya 80 ya watanzania hawajui lugha zote mbili Kwa ufasaha.
Au hata lugha Moja tu kwa ufasaha na usahihi.
Ni kwa sababu ya uwepo wa lugha mbili ambazo, hupokezana na huingiliana kwenye...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tannzania inathamini mchango wa vyombo vya habari katika kukuza na kueneza lugha ya Kiswahili duniani na kuifanya lugha hiyo kuwa yenye hadhi.
Hayo yamesemwa na Makamu wa Rais wa Jumhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdori Mpango wakati wa ufunguzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.