kisukari

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini asilimia kubwa ya Watu (kutoka Kilimanjaro ) wanasumbuliwa na kisukari na shinikizo la juu la damu?

    Salaam wakuu! Hivi kwa nini asilimia kubwa ya Wachaga (kutoka Kilimanjaro )magonjwa yao makuu ni kisukari na shinikizo la damu la juu? NB: Ikiwa una historia ya ndugu wa karibu, ambao wana tatizo la kisukari au shinikizo la damu, ni vyema ukachukuwa tahadhali mapema kwa kubadili mwenendo wa...
  2. JamiiForums Tanzania Marekani huenda ikaiwekea China vikwazo kutokana na teknolojia ya kuponya ugonjwa wa kisukari

    Vyombo vya habari vya Marekani vimetoa ripoti kwamba, kampuni za kutengeneza dawa nchini humo zinashawishi Bunge la nchi hiyo kuiwekea China vikwazo, kwa sababu China imefanikiwa kubuni teknolojia mpya ya kutibu ugonjwa wa kisukari. Timu ya wataalam kutoka Hospitali ya Changzheng ya Shanghai...
  3. JamiiForums Tanzania Prof. Janabi: 90% ya Wagonjwa wa Figo wanaosafisha Damu Muhimbili ni kutokana na Kisukari na Shinikizo la Juu la Damu

    Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo, Prof. Mohamed Janabi amesema kila siku takriban Wagonjwa 150 wa Figo wanasafishwa Damu hospitalini hapo na 90% wamegundulika kuwa na Kisukari na Shinikizo la Damu Amesema kama watu wasipochukua hatua za...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Watu wamekuwa waoga kutumia sukari kwa hofu ya kupata kisukari, lakini ukisoma kuhusu chanzo cha kisukari, sioni popote wanaposema sukari ndio chanzo

    Mimi si dakari wala mtaalamu wa mambo ya lishe, bali nimejaribu kusoma vyanzo mbalimbali kuhusu huu ugonjwa na kote nilikupita sijaona palipoandikwa moja kwa moja kuwa sukari ndio chanzo cha kisukari kwa maana ya mtu asie na huu ugonjwa akitumia sukari nyingi ana uwezekano wa kupata kisukari...
  5. JamiiForums Tanzania Kisukari ni tatizo kubwa zaidi kwa Waarabu na watu wa visiwani!

    Katika nchi 15 zenye asilimia kubwa zaidi ya wagonjwa wa kisukari duniani nchi 5 ambazo ni Kuwait, Misri, Qatar, Saudi Arabia na Sudan ni za kiarabu. Nchi moja ya Pakistan ina ustaarabu unaokaribiana na Waarabu nchi nyingine 10 zilizobaki katika listi hiyo ni visiwa vidogo vidogo. Inasemekana...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Afrika ndiyo kinara wa kufanya kazi ngumu lakini kisukari ni tishio je kazi ngumu sio mbadala wa mazoezi?

    Afrika watu wanafanya kazi ngumu sana lakini bado kisukari ni tishio, nilikuwa Dodoma kukawa na upimaji wa Bure Cha kushangaza vijana below 40 wengi tu wana sukari. Nikazama gugo kudadisi statistics zinatisha watu jamii ya black race wapo kwenye risky ya kupata kisukari ukilinganisha na...
  7. JamiiForums Tanzania Hospital nzuri ya wagonjwa wa kisukari

    Habari wakuu, Mzazi wangu anasumbuliwa na ugonjwa wa sukari moyo na figo โ€ฆkwa siku za karibuni hali imezidi kubadilika anashindwa hata kutembea ,,akila pia anatapika... Nimefikia hatua ya kubadilisha hospitali labda madaktari wanatofautiana tratment na ujuzi Kwa anaejua hospitali naomba...
  8. JamiiForums Tanzania Dkt Greyson: Kubet kunasababisha ugonjwa wa kisukari

  9. JamiiForums Tanzania Serikali yasema haiwezi kugharamia Matibabu ya Kisukari na Tezi Dume kwasababu huduma nyingine zitasimama

    Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, ametoa kauli hiyo wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Igalula, Venant Protas aliyependekeza Serikali ianze kugharamia Matibabu ya Wagonjwa wa Kisukari na Tezi Dume ambapo amesema gharama za kutibu Magonjwa hayo ni Tsh. Bilioni 346.42 kiasi...
  10. JamiiForums Tanzania Nashindwa kudhibiti kisukari licha ya kutumia dawa na kufuata masharti

    Siku moja tukiwa tunaongea na wagonjwa katika mijadala ya kawaida kuhusu kudhibiti kisukari na presha, mgonjwa mmoja aliuliza swali la muhimu sana. Dr. Mimi nashangaa, ninamuiga mume wangu aina ya vyakula na kiwango lakini yeye ameweza kudhibiti ila mimi siijaweza. Tatizo nini? Wagonjwa...
  11. JamiiForums Tanzania Je, kisukari hakiwezi kutibika kwa transplant ya kongosho?

    Habari za majukumu wana jukwaa? Nimekuwa nikijiuliza hili swali. Ikiwa ugonjwa wa kisukari ni matokeo ya organ ya kongosho kushindwa kuzalisha kimeng'enya cha insulin cha kutosha kwenda ku balance kiwango cha sukari kwenye damu. Je, haiwezekani muathirika wa hili tatizo akafanyiwa upasuaji...
  12. JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya Kimataifa ya Ugonjwa wa Kisukari, hauna tiba zaidi ya Insulin for life. Je, tiba asili na tiba mbadala ni Effective?

    Wanabodi, Leo ni Siku ya Kimataifa ya Ugonjwa wa Kisukari, huu ugonjwa uko kwenye kundi la magonjwa yasiyo ambukiza, ugonjwa huu hauna tiba za kihospitali zaidi ya kudungwa sindano ya Insulin for Life! kwa maisha yako yote. Kuna wanganga wa kienyeji wa tiba asili na riba mbadala ambao...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Je, Matibabu ya saratani na kisukari kwa tiba mbadala ni uhalisia?

    Kuna madai mengi kutoka hizi sanitarium clinics kwamba wanaweza kutibu kansa aina zote na kisukari aina zote Ila binafsi simfahamu mtu yeyote aliyekuwa na magonjwa haya akatibiwa akapona. Mwenye ushahidi atusaidie tuweze kuamini kwani kuna watu wengi wanasumbuliwa na haya maradhi duniani kote.
  14. JamiiForums Tanzania Nililogwa ili nife kwa kisukari na pressure

    Hii ni kitu kilochonitokea Mimi Binafsi wakati nikiwa naishi Wilaya ya Mlele (Inyonga) Mkoa wa Katavi. Sitataja majina halisi ya watu waliohusika na nitajitahidi kuficha baadhi ya vitu ili kuficha uhalisia wangu. Kwa majina naitwa Kinengunengu, nikiwa nimegraduate SUA pale na kupata kazi Wilaya...
  15. JamiiForums Tanzania KWELI Nyama nyekundu ni hatari kwa Mgonjwa mwenye kisukari

    Hivi ni kweli kuwa nyama nyekundu ya mifugo kama ng'ombe, mbuzi na kondoo humletea matatizo mgonjwa wa kisukari?
  16. JamiiForums Tanzania NPS: Malaria, Shinikizo la Damu, Uzazi, Saratani na Kisukari Magonjwa yanayoongoza kutesa zaidi Watanzania

    Hivi unakumbuka mara ya mwisho uliumwa maradhi gani? Ripoti ya utafiti wa ufuatiliaji kaya (NPS) 2020/2021, imeyaorodhesha maradhi matano yanayoongoza kulaza wagonjwa hospitalini nchini, ambayo ni malaria (asilimia 0.7), matatizo ya uzazi (asilimia moja), homa (asilimia 0.4), tumbo (asilimia...
  17. JamiiForums Tanzania Swali la kujiuliza kwa yeyote mwenye kisukari na presha. Changes everything!

    Zamani wakati ni mapyamapya kisukari na presha yalisemwa kuwa ni magonjwa ya matajiri. Je hilo limebadilika au kutokana na ukwasi wa watu binafsi kuongezeka. Na utajiri umekuwa kitu cha kawaida ndio maana sasa hivi tunasema ni magonjwa ya watu wote hata wa kawaida. Tuliweke sawa hili jambo...
  18. JamiiForums Tanzania Siku ya Ugonjwa wa Kisukari Duniani

    Siku ya Ugonjwa wa Kisukari Duniani inatoa fursa ya kuongeza uelewa wa ugonjwa wa kisukari kama suala la afya ya umma duniani na nini kifanyike, kwa pamoja na kibinafsi, kwa ajili ya kuzuia, kutambua na udhibiti bora wa Ugonjwa huo Ugonjwa wa Kisukari ni hali ya Kiwango cha Sukari kuzidi kwenye...
  19. JamiiForums Tanzania Je, Kisukari kina tiba? Fahamu tafiti zilipofikia mpaka sasa

    Kama una miaka 30+ uko katika hatari ya kupata kisukari. ๐—๐—ฒ, ๐—ธ๐—ถ๐˜€๐˜‚๐—ธ๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐—ธ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ฏ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ? ๐— ๐—ฝ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐˜€๐—ฎ๐˜€๐—ฎ ๐—ต๐—ฎ๐—ถ๐—ท๐—ฎ๐—ณ๐—ฎ๐—ต๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐—ฑ๐—ฎ๐˜„๐—ฎ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜†๐—ผ ๐˜๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐—ธ๐—ถ๐˜€๐˜‚๐—ธ๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ Wengine wakiwa na imani kwamba kila ugonjwa una tiba yake, kwasasa dunia bado haijapata dawa ya kutibu ugonjwa huu mbaya na hatari. Kisukari inaongoza kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali yakiri kuwepo uhaba wa vifaa tiba vya Saratani na Kisukari

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema watu 25,000 walifariki kwa ugonjwa wa Saratani ndani ya mwaka 2020 pekee na kuufanya ugonjwa huo kuwa tishio zaidi ya Uviko-19 ilioua watu chini ya 1,000 hadi sasa. Waziri Ummy pia amekiri kuwepo kwa uhaba wa vifaa tiba na dawa kwa wagonjwa wa Saratani na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ