Freeman Aikaeli Mbowe,
aliwahi kua mwenyekiti wa chadema taifa kwa kipindi kirefu kiasi, lakini tangu uongozi mpya wa chama hicho ulivyoshika hatamu, Chadema masalia nayo imekosa utulivu wa kisiasa, lakini pia Chadema masalia haina agenda, sera wala hoja ya kueleweka.
Chadema masalia imekua...
Kukitangazwa TU maandamano basi wao huanza kusitisha huduma ya maji kwa kusingizia TANESCO..Lengo lao kuwatia hasira wananchi waichukie serikali Yao Kisha watoke waandamane ..
Walianza hii michezo tokea mwaka Jana kuelekea uchaguzi mkuu...
Hapo TANESCO wamekanusha kuhusika
Watu wengi hujiunga na vyama vya siasa kwa sababu ya ushawishi wa marafiki, familia, viongozi maarufu au hisia za wakati huo. Hata hivyo, hatua muhimu ambayo mara nyingi hupuuzwa ni kuelewa itikadi ya kisiasa inayosimamia chama husika.
Itikadi ndiyo msingi wa mawazo, sera na maamuzi ya chama...
👉 Taarifa za ndani zinaonyesha kujiuzulu kwa Mkuu wa Majeshi wa Gambia kumetokea katika mazingira ya msukumo mkubwa wa kisiasa na kiusalama.
👉 Vyanzo vya karibu na Ikulu vinadokeza kuwa hatua hiyo haikuwa ya kawaida, bali imechochewa na mnyororo wa tuhuma zinazomzunguka.
👉 Ingawa...
Nikisomaga historia za uhuru wa nchi za Afrika inaonekana kwamba ilikuwa ni mapambano makubwa sana yaliyohitaji juhudi za ajabu kutoka kwa viongozi kama Julius Nyerere, Jomo Kenyatta na wengine wengi.
Lakini nikiangalia kwa karibu, miaka ya 1950 na 1960 ilikuwa kipindi ambacho tawala nyingi za...
Wakuuu Kuna Mtu hapa wa chomboni Mstaafu wa juu ambaye bado Connection yake huko Usalama IPO intact kabisa, kanipenyezea Taarifa hapa kua KUMBE SERIKALI, MAHAKAMA ,NA VYOMBO VYA USALAMA TANZANIA, WAMETUMIWA ORODHA YA IDADI NA AKINA NANI AMBAO VIKWAZO VITAWAKUMBA.........Mwisho
Kwa sasa...
KWA: Uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Viongozi Wote wa Mataifa ya Afrika.
KUHUSU: Vita Mufilisi Dhidi ya Sauti za Wananchi na Kupuuza Bomu Halisi la Kiuchumi na Usalama wa Taifa.
Waheshimiwa Viongozi,
Nawaandikia waraka huu wa wazi kutoa tahadhari ya kimkakati kuhusu mwelekeo wa sasa...
Chadema wawe makinini sana kila wanapoenda kufanya mikutano.
Maana imeonekana wanaCCM wamechanganyikwa na sasa hawapati usingizi.
Ulinzi uimarishwe maana kama wameanza kukata watu mapanga msishangae wakachoma magari ya Chadema kama kule Chato.
Kama wiki moja tu wamechanganyikiwq hivi je...
Yote mnayoyaona na kuyasikia, msingi wake mkuu ni kama nilivyoeleza katika kichwa cha habari cha uzi huu.
Wamechafuka na kukataliwa ndani na nje ya nchi na kwa akili zao, CHADEMA ndio wamewaponza, wanasahau ni ulevi wa madaraka na kupuuza madai ya msingi ya wananchi ndio umewafikisha hapo...
Nimeshangazwa mitandaoni watu wamekomalia kuwa inshu hiyo ni ya kisiasa, wengine wameenda mbali eti mganga anaetuhumiwa si mganga ni ka mchezo tu, kuikinga serikali.
Kama tutaendelea hivi sioni haja ya kufatilia siasa mana naona imekua too much, tumeanza kuwa wajinga, watu wamekamatwa kichwa...
kuna theories nahisi kwamba huenda January Makamba kapumzishwa kwenye spotlight ya siasa za kila siku ili kulinda brand yake kisiasa dhidi ya scandals, migogoro ya ndani, na kelele za uchaguzi wa ubunge.
Wapo wanaoamini strategy inaweza kuwa hii
usimuweke sana kwenye mapambano ya majimboni...
Wakili wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), William Maduhu akihojiwa na Wasafi FM leo Mei 20, 2026, amesema hoja za kisiasa zijibiwe kisiasa na sio mwanasiasa atishiwe na kujibiwa na Msajili wa Vyama vya Siasa au Jeshi la Polisi, kwani mfumo wa nchi unaruhusu uwepo wa vyama vingi...
Na hiyo huchangiwa zaidi na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM kwa 100%, hali ambayo huwakosesha kabisa vyama vya siasa vya upinzani nchini agenda. Matokeo yake hali hiyo ni kwamba wapinzani wanaonekana kama matapeli tu wakisiasa wanapokua kwenye medani za siasa nchini.
Hata hivyo,
kukosa...
Mnalalamika nini? Mnasema tume imeundwa kinyume na katiba ya ya JMT kwa kuwa haikufuata matakwa ya ibara ya 74.
Mkashiriki uchaguzi ambao mlitambua hauko huru. Mpaka Ayatollah wa ujiji akashindwa ubunge na mtubambae hajui Hansard ni kitu gani.
Leo mnalalamika nini? Mlidhania Chadema wao ni...
Tumalize huu ubishi ulioenea kuwa kati ya Mwenyekiti wa ngome ya vijana ACT, Kijana machachari Abdul Nondo na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kuwa kisiasa nani zaidi?... Mimi sina upande wowote. Tupige kura.
Wakuu,
Anazungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam
Pasipo na shaka, kuwa matukio ya ghasia ya tarehe 29 Oktoba...
Rais wa TLS, Wakili Boniface Mwabukusi amesema hayo tarehe 30 Aprili 2026 wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwenye Ukumbi wa AICC jijini Arusha.
Amebakiza makunyanzi tu usoni.
Amekuwa hana ushawishi na hata CCM waliokua wanamtumia walishamtosa.Ndio maana ameshindwa na kilaza Kama baba Levo ambaye hajui hata Hansard ni nini
Shetani hana rafiki. Ayatollah wa ujiji