kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mahitaji ya kisiasa na kibinadamu kwa Ally Bananga

    Mtaalum ya Masuala ya Psychologia, Abraham Maslow Mnamo mwaka 1943, Alikuja na Majibu ya utafiti wake, Katika Mahitaji ya Binadamu, aliwela Wazi mahitaji Matano(5), kama nilivyoonyesha hapo chini. Ally Bananga Ally Bananga Kuna watu wanamchukulia mtu wa kawaida sana, na kutamani hata kufifisha...
  2. JamiiForums Tanzania Polisi KAWE mnatumika kisiasa. Kamwe hatukubaliani na mnayofanya

    TAARIFA KWA UMMA. Nimefika kituo cha Polisi Mbweni kufuatilia hatma ya dhamana ya BAWACHA na mwanahabari wetu wa Mgawe Tv ndg. Harlod Shemsanga waliokamatwa asubuhi ya leo kwasababu ya kutokuwa na kibali cha kufanya Jogging. Nimefika Mbweni Polisi saa 9:20 alasiri hii, mbele ya ofisi ya...
  3. JamiiForums Tanzania Tuangalie hii kiundani huenda ikawa kweli au si kweli kuhusu Nelson Mandela

    Kuna Habari kama Sio stori inasomeka kama ifuatavyo Huyu Mandela aliyeiongoza South Africa alikuwa Feki alitengenezwa na Makaburu, Makaburu walimuua Mandela halisi halafu Wakamtengeza wa kwao ili awe Kibaraka wao hapo SA Watu wanauliza Kwamba iweje Mandela aliyefungwa miaka 27 Jela halafu...
  4. JamiiForums Tanzania Mke wa Rais wa zamani wa Ivory Coast aasisi harakati ya kisiasa

    Mke wa Rais wa zamani wa Ivory Coast Bi Simone Gbagbo leo ameshiriki katika uzinduzi wa harakati ya kisiasa, ikiwa ni hatua moja kuelekea kuasisi chama chake cha siasa kwa ajili ya uchaguzi wa rais wa mwaka 2025. Simone Gbagbo ametilia mkazo mwelekeo wake wa kuwa na "Kodivaa yenye nguvu, iliyo...
  5. JamiiForums Tanzania Katika utawala wake, hayati Magufuli hakwenda New York kuhutubia UNGA, je tulirudi nyuma kiuchumi na kisiasa?

    Miaka mitano yote akiwa madarakani tuliwakilishwa na mawaziri wa nje. Na hakuna mtanzania aliyeona labda tumepungukiwa kiuchumi. Zaidi ya kuona maendeleo kwenye sekta za afya, miundo mbinu na ukusanyaji mapato. Safari hii tumewakilishwa na mkuu wa nchi. Je, ndio kusema taasisi kubwa kama Imf...
  6. JamiiForums Tanzania Utapeli wa kisiasa wa CHADEMA: Robert Amsterdam hana leseni ya kufanya shughuli za uwakili Tanzania

    Shughuli za uwakili nchini Tanzania hufanywa kwa mujibu wa Sheria ya Mawakili (The Advocates Act) ambayo kimsingi, inatoa masharti, ikiwemo kuhudhuria shule ya sheria (Law School) na kisha kuapishwa na Jaji Mkuu baada ya kufaulu. Huyu Robert Amsterdam hana leseni ya kufanya shughuli za sheria...
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA wanahitaji huruma ya kisiasa. Mbinyo waliopata unatosha

    Kwa ujumla wamepata fundisho kuwa taifa letu linahitaji amani ndio maana kila mtanzania anataka kila hitaji la kisiasa lipatikane kwa amani. Hakuna haja ya kulumbana na kuvutana juu ya suala lolote ambalo ni hitaji la kisiasa. Hakuna haja ya kuleta jazba na vitisho juu ya hitaji la kisiasa...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan anaipaisha Tanzania kimataifa kisiasa na kiuchumi

    Rais Samia Suluhu Hassan anaipaisha Tanzania kimataifa kisiasa na kiuchumi. Rais Samia Suluhu Hassan alianza na ‘Royal Tour’ kama sehemu ya kui - brand Tanzania katika uso wa dunia, na sasa safari hii ya New York pamoja na kuhudhuria Baraza la Umoja wa Mataifa na mikutano mingine, itatumika...
  9. JamiiForums Tanzania Polisi acheni kutumika kisiasa kuwalinda CCM, Corona ipo Upinzani tu, CCM hakuna?

    Nina mashaka kabisa kama kweli tuna jeshi la polisi hapa Tanzania kama siyo sehemu ya chama cha mapinduzi. Kwa sasa polisi bila haya wanatumika kisiasa kuilinda na kuitetea CCM huku wakikandamiza vyama viingine vya kisiasa. Kama CCM wanakagua utekelezaji wa Ilani yao, ni kazi ya upinzani pia...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kiafya iliimarisha ubinafsi hata katika maamuzi mazuri ya kisiasa na kiuchumi

    Changamoto ya afya ya moyo ya Mkuu wa tano wa utawala wa nchi yetu ilijulikana kwa kuchelewa sana (baada ya kifo chake) kuwa alikuwa na matatizo ya kiafya. Changamoto ya afya ya moyo ambayo ndiyo iliyomlazimu (hili nina uhakika kabisa ukirejea utaalamu wa kiafya) asiweze kusafiri mbali kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya: Mtazamo wa Kisiasa na Falsafa ya Maisha

    Masoud Kipanya, wengi tulianza kumfahamu miaka ya mwishoni mwa 1990 na miaka ya mwanzoni mwa 2000. Kadiri miaka ilivyokwenda ndipo Masoud Kipanya aliendelea kuwa maarufu na kujulikana katika mambo mbalimbali, vijana wengi kumbukumbu yao kwa Masoud Kipanya ni kipindi cha Chuchu ambacho...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anavyowaandaa wanawake wamchague mwanamke 2025, vyama pinzani navyo viruhusiwe kufanya siasa kupambana na huyo Mwanamke

    Rais ametangaza rasmi kwamba wanawake watakuwa na kazi yakumpata Rais mwanamke 2025 means kwa kauli hii amewaambia chama chake kwamba mgombe atakuwa mwanamke aidha yeye au mwanamke mwingine. Hii inatoa tafsiri ya wazi kwamba wanaume kwa upande wake awataruhusiwa kupambana na mwanamke...
  13. JamiiForums Tanzania Utamu wa vyombo vya Dola kuonjeshwa ladha ya madaraka matamu ya kisiasa

    Wadau nawasalimu wote Kila mmoja kwa imani na itikadi yake. Baada ya salamu napenda kujikita katika kufafanua mada Kama kichwa Cha uzi kinavyojieleza. Wote Ni mashahidi katika awamu ya tano tuliona jinsi vyombo vya Dola hasa tiss na polisi vilivyotumika kumlinda RAISI magufuli hasa...
  14. JamiiForums Tanzania Hayati Dkt. Magufuli aliwatumia wamachinga ili kujizolea umaarufu wa kisiasa, hakuwa na huruma na wamachinga

    Tuliyasema haya wakati akiwa hai na tutayasema wakati huu ambao hatunaye. Kwanza Wamachinga hawakuzi uchumi wa nchi hii kwa kiwango kikubwa bali wanaukuza uchumi wa China, India na Thailand maana huko ndiko zitokazo bidhaa wanazouza. Serikali ya Magufuli iliwatumia wanyonge kama mtaji wake...
  15. JamiiForums Tanzania Kelele za Tundu Lissu akiwa Ubelgiji ni sawa na fimbo ya mbali isiyoweza kuua nyoka. Arudi bongoland kuweka mbinyo wa kisiasa

    Fimbo ya mbali haiwezi kuua nyoka hata kidogo. Lazima iwe karibu na kumfikia nyoka na kisha kumuua. Lissu yupo Brussel anakula bata kwa mrija, lakini ana malalamiko mengi juu ya mambo yanayotamaraki hapa Tanzania. Analalamika juu ya kutokuwa na katiba inayokidhi mahitaji ya watanzania. Hivyo...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA wanakosa huruma ya kisiasa toka kwa watanzania? Wanapuuzwa na Watanzania

    Kila jambo mnalolizua wananchi wanalipuuza maana halina ushahidi wa moja kwa moja. Mnadai kila mara Tume sio huru lakini kila chaguzi zikifanyika matokeo ni kama mnaliwa kichwa na wananchi na hakuna sapoti ya wananchi. Sasa hivi mmezirukia mahakama kuwa hazitendi haki kwa sababu tu Mbowe...
  17. JamiiForums Tanzania ZAFELA: Ushiriki wa Wanawake katika nafasi za maamuzi (hasa ya kisiasa) bado ni mdogo

    Na Salma Said, Zanzibar Ushiriki wa wanawake katika masuala uongozi ni jambo ambalo limekuwa likipigiwa kelele sana na watetezi wa haki za wanawake wakitaka kushirikishwa kikamilifu kama azimio namba tano la umoja wa kimataifa linalotaka asibakishwe mtu nyuma. Wadau wanatambua kuwa kuna...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia sasa unaturudisha kwenye tawala za machifu kweli, au ndo njia ya umaarufu wa kisiasa?

    Anachokifanya Rais Samia ni kuharibu amani ya nchi hii. Tumeishi bila ukabila lakini polepole tunarudishwa kwenye mtafaruku bila sababu. Tunalazimisha kutambua machifu bila sababu. Yaani viongozi wa kiukoo, kikabila Watu hawa wanastahili kuachiwa kabisa nje ya mfumo kama ambavyo imekuwa miaka...
  19. JamiiForums Tanzania Jaji Mutungi: Sijazuia mikutano ya ndani ya kisiasa ya vyama

    Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania Jaji Francis Mutungi amesema kauli yake aliyoitoa wali katika mkutano wake na waandishi wa habari Dodoma ilipotoshwa Amesema hajazuia mikutano ya ndani ya vyama vya siasa bali ameshauri vyama vya siasa kujizuia kufanya mikutano ya ndani kwa wakati huu...
  20. JamiiForums Tanzania Generation ya kuanzia 1990's ndiyo italeta ukombozi wa kisiasa hapa Tanzania

    Huu ndo ukweli CCM imekataliwa na most of people. Wengi ni vijana waliozaliwa 1990s Hivyo kizazi cha hakina kayafa kinabidi kiishe chote. Hiki kizazi cha 1950+ kimejaa watu makatili waliopoteza utu na Heshima na wanaofanya siasa za chuki na kukomoana. Pendekezo vyama vya upinzani makini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…