kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Sabaya siyo mkosaji wa kisiasa ni jambazi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu alihojiwa na Dar 24 Media siku chache zilizopia. Akiwa katika mahojiano hayo Lissu amezungumza masuala mengi yanayohusu mwenendo wa kisiasa nchini. Aidha alipoulizwa kuhusu kumchukulia Mkuu wa Wilaya wa zamani wa Hai, Lengai Ole Sabaya kama Mkosaji wa...
  2. JamiiForums Tanzania Tumpinge Lissu kwa hoja. Kutumia ulemavu wake kama hoja ya kisiasa ni kumwezesha kupata kura za huruma kwa wananchi

    Binafsi sikubaliani kabisa na ushenzi aliofanyiwa Lissu na watu ambao hadi leo hawajajulikana. Lile tukio lilikuwa ovu mno kuwahi kutokea. Mimi naamini katika utawala wa sheria. Kama kuna kosa alifanya basi ilipaswa tu kumfikisha mahakamani na sio kumshindilia marisasi. Kila ninapokumbuka...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kuitwa msaliti, is a curse, inaondoa heshima na hadhi kisiasa!

    Najua wengi mtatukana matusi mengi ila mkashindwa kukubaliana na ukweli! Kokote kule, msaliti huchukiwa na kila mtu, awe mke ama mume akimsaliti mwenzake, huibuka chuki na pengine mgogoro mkubwa ndoa unaanzia hapo na hata kuvunjika kwa ndoa! Watu wengi hawafikii katika hali ya kufunga ndoa na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tabia ya viongozi wa CCM kuwahadaa wananchi kwq kula wali maharage ni ushamba wa kisiasa.

    Watanzania wapo kwenye umasikini mkubwa. Ufisadi umekithiri alafu mnajifanya kula wali maharage
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kwa sababu ukuu wa mikoa na wilaya zimekaa kisiasa' nashauri wapigiwe kura na wananchi!

    Kwa jinsi ilivyo, ukuu wa mikoa na Wilaya, utafika wakati watu wataanza kukataa kuteuliea kwa jinsi wanavyokuwa kwenye hatari ya kutenguliwe muda wowote! Unateuliwa leo kesho huna kazi, huku ni kudhalilishana! Kwa kuogopa fedheha hizi pamoja na kumpa wakati mgumu mteuaji wao kuwa sijui...
  6. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu tengeneza CHAWA wako ufike mbali zaidi kisiasa. Usidanganywe, uchawa ndiyo siasa za kileo nchini

    Kwa Tanzania ya leo kisiasa ni Uchawa tuu. Hakuna jipya! Usitegemee chawa wa mwenzako, tengeneza wako. Ukilielewa hilo, 2025 haitakupa shida!
  7. T

    JamiiForums Tanzania Siasa zile za JPM, wapinzani wengi ziliwapandisha hadhi ya kisiasa huku wakiwa weupe pee!

    Upinzani ili ung'ae, tusidanganyane! Unahitaji kashikashi ya watawala, pia inahitaji serikali iliyoshindwa kabisa na isiyohonga vjongozi wakuu wa wapinzani! Maana hao ndio wanaobeba matumaini ya wengi! Utawala unaotia kashikashi wapinzani, ukweli usiopingika, huufanya upinzani usikilizwe na...
  8. JamiiForums Tanzania Joto la kisiasa lililopo litawahamasisha vijana wengi kutaka mabadiliko. Pongezi kwa Rais Samia

    Mabadiliko ya kweli kwenye nchi huletwa pale tu vijana wanapohamasika kujihusisha na siasa. Vijana wanaweza kubomoa au kujenga nchi. Kiongozi dhalimu Charles Taylor aliwatumia vijana kujiwezesha kurudi madarakani huku akiwa kamwaga damu za watu wengi wasio na hatia wakiwemo wazazi wa hao vijana...
  9. JamiiForums Tanzania Maswali ya kisiasa yenye kuhitaji majawabu yake

    Karibuni wadau kwa majawabu yenu juu ya maswali yangu haya yafuatayo. 1. Kwa nini wanasiasa wa TANU na vyama baadhi miaka ya 1950s walishinikiza suala la wao kupewa uhuru kutoka kwa Muingereza? Sababu gani ya msingi ili wafanya wao kushinikiza hitaji lao? 2. Kwa nini Serikali ya Jamhuri ya...
  10. JamiiForums Tanzania Hongera Mbowe umeshinda mchezo wa kisiasa

    Hongera Mbowe umeshinda mchezo wa kisiasa. Kwa masaa 24 nimekuwa nikierejea Hotuba ya Mh Mbowe ya jana pale Mwanza na nimekuwa nikisikiliza mapokeo ya watu nje na ndani ya Chama katika mitazamo tofautitofauti, Wengi tumeelewa na tulitarajia hotuba kama hii, lakini wapo ambao hawajang'amua hasa...
  11. JamiiForums Tanzania Kuruhusiwa kwa mikutano ya kisiasa nchini nani kufaidika zaidi kati ya CCM na vyama vya upinzani?

    Kumekuwa na mijadala mirefu inayoendelea nchini, Kwa wananchi kujiuliza, hivi kuruhusiwa Kwa mikutano ya hadhara ya kisiasa, ni nani watakaofaidika zaidi, je ni CCM au vyama vya upinzani? Kwanza, kabla ya kutafakari ni nani atafaidika zaidi, tujiulize kwanza, nini chimbuko la kufungiwa Kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Yanga bado hatujaweza kutia akili. Tunategemea sana Viongozi wa Kisiasa kutubeba

    Ikija tokea kukawa na viongozi ambao hawalalii upande wetu ......TUMEKWISHA. Sasa hivi nachoka hata kuishabikia Yanga baada ya kuona kila jambo tunabebwa na viongozi wa Kisiasa. Matches zetu zinachezwa hivyo hao TFF wameshaingia woga linapokuja suala letu maana simu zinazopigwa kwao...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aiteka mijadala ya kisiasa mitaani, wananchi waupongeza uongozi wake

    Ndugu zangu watanzania, Rais Samia Ameendelea Kuiteka mijadala ya kisiasa Mitaani, kila mahali Ni Rais Samia. Ni Rais Samia juu ya uchapa kazi wake ulio tukuka. Ni Rais Samia juu ya kuimarisha demokrasia. Ni Rais Samia juu ya kuendesha na kuongoza maridhiano. Ni Rais Samia juu ya kulituliza...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Wakimbizi wa kisiasa warudi nchini, hali ni shwari

    Kwa heshima kuu napenda kuwashauri ndugu zetu waliokimbia nchi warejee nchini kwani chini ya uongozi Wa mama Samia nchi ni shwari na salama. Nakuomba mheshimiwa Tundu Lisu na Godbless Lema rudini nchini tuijenge nchi yetu. Chini ya uongozi wa Rais Samia Tanzania nikinara cha Amani barani...
  15. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe wanasiasa wanaofanya siasa za matusi, na kashfa zilizosababisha mikutano ya hadhara ya kisiasa kuzuiwa

    Taarifa zilizotoka za kuruhusu mikutano ya hadhara ya kisiasa hapo majuzi zinadai kuwa mikutano hiyo ilizuiwa baada ya baadhi ya wanasiasa kufanya mikutano hiyo kuwa pango la matusi,kashfa na uchochezi. Hebu kwa uchache tukaone haadhi ya video za wanasiasa hao
  16. JamiiForums Tanzania Asante Rais kuruhusu mikutano, tunakuomba uruhusu haki nyingine ambayo imeporwa ya Watanzania wote kuchagua na kuchaguliwa

    Wanabodi, Hii ni makala ya Leo kwenye Nipashe Jumapili ya June 8, mwaka 2021, katika safu hii, niliandika makala ya kumpongeza Rais Samia, kwa kuwasisitiza watendaji wa serikali kutenda haki, kufuatia baadhi ya haki zilizotolewa na katiba yetu na kugeuzwa ni hisani, Asante Rais Samia kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Ruhusa ya mikutano ya kisiasa ni pigo kwa vyama uchwara

    Salaam wana jf.baada ya rais Dr Samia suluhu Hassan kutengua zuio la mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa ,nikama kufunga dirisha lakuingiza hewa Safi ndani ya taifa. Nimeona watu wakifurahia sana Jambo hili si wana siasa tu hata wasiokua wanasiasa pia. Lakini kwa upande wa pili hili ni pigo...
  18. JamiiForums Tanzania Wapinzani tuwe na busara za kisiasa. Mikutano ya kisiasa sio ishu ya maana hata huko USA na Magharibi chaguzi zikiisha siasa zinahamia bungeni.

    Mikutano ya kisiasa itasaidia nini kama bunge halina meno? Kupiga porojo kwenye majukwaa kutasaidia nini kama bunge haliwezi kuisimamia serikali? Tulipaswa kuwa na bunge ambalo linaweza kuwadhibiti CCM kuliko kukomaa na kupayuka kwenye majukwaa kama kasuku.
  19. JamiiForums Tanzania Wana CHADEMA tusikenue mikutano ya kisiasa haitatusaidia kisiasa. Kashfa ya kulamba asali ilishatumaliza

    Tuna nini cha kuwaambia wananchi? ~ Tunapinga ufisadi? ~ Tunapinga uharamia wa tozo? ~ Tunapinga vipi wakati tunalamba asali na wanaokandamiza wananchi?
  20. JamiiForums Tanzania Siwaelewi CCM: Magufuli alipopiga marufuku mikutano ya kisiasa walipongeza, sasa hivi Samia kairuhusu wanapongeza pia!

    Kwa kweli sielewi kabisa misimamo ya wana-ccm, wakati ule mara tu alipoingia madarakani mwaka 2016, Rais wa wakati huo, Hayati Magufuli, alipopiga marufuku mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, huku akijua wazi kuwa anaisigina Katiba ya nchi, walijitokeza wana-ccm kibao, waliopongeza hatua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…