Kwa mujibu wa taarifa rasmi ya CHADEMA, Kamati Kuu ya Chama inatarajiwa kukutana tarehe 6 Januari 2025 kwa ajili ya kujadili masuala mawili makubwa: uvujishaji wa taarifa za ndani ya chama na tuhuma dhidi ya Makamu Mwenyekiti Taifa, Tundu Lissu. Hii imeibua maswali mengi, hasa ikizingatiwa kuwa...
Ndio, ni dhaifu kuliko Salva Kiir.
Sasa anaomba Mungu Raila Odinga asijitikise kisiasa, akifanya hivyo jumba la ikulu ya Nairobi litapata nyufa na kubomoka.
Ni kama ng'ombe aliyekatika mkia kwa kuwa hana Rigathi Gachagua, anaonekana muda mwingi ana wasiwasi, mawazo, amekosa uimara kama Rais...
Maria space imemuharibia LISSU kisiasa.
1. Uenyekiti CHADEMA ni wazi uko mbali na yeye.
2. Akihamia chama chengine kama Chauma uwezekano wa chama hicho kuwekewa biti na kujikuta LISSU anayumba yumba.
3. ACT WAZALENDO upande wa Zanzibar hawatukubali kumpokeaa LISSU watahofu ya Lipumba.
Mwisho...
SULTANI JAMSHID ALIYOISHI DAR ES SALAAM KAMA MKIMBIZI AKIJITAYARISHA KWENDA NCHI YA TATU ILI TANGANYIKA ISIWE NA MGOGORO NA ZANZIBAR.
Mchezo huu hauhitaji hasira, mtu ni kwao, karibu sana Sultan Jamshid.
TOKA MAKTABA:
AIISHUKURU SERIKALI YA TANGANYIKA KWA KUMPA NJIA YA KUPITA KUELEKEA...
SI MNASEMA SO CALLED "MARIDHIANO"/PROCESS TO MARIDHIANO AS PUT BY NGURUMO HAYANA FAIDA, SASA
Maana mnamuona LISU ni mwamba usiopenyeka.
Sasa namuomba Rais Samia apige marufuku mikutano ya kisiasa huyo Mwamba anayeaminika ataleta
mageuzi akiwa Mwenyekiti aje aifungue/ akaidi aifanye...
Naona kuna wimbi la wasusiaji wa Chadema hasa wale wanaharakati kwasababu wanataka Lissu awe mwenyekiti.
Hata mimi nafikiri ni wakati Lissu angetakiwa kuwa mwenyekiti lakini tupiganie sababu za kutaka Lissu awe mwenyekiti.
Tupiganie midahalo na kuelimishana sio kuzuia midahalo. Elimu ipatikane...
Kiistoria, kila unapobaki mwaka mmoja au miwili kuelekea uchaguzi mkuu wa rais na wabunge nchini, ndani ya chadema kunaibuka minyukano.
Hii ilikuwa kweli mwaka 2008 na 2009, kuelekea uchaguzi mkuu wa 2010
Na Ikawa kweli 2013 na 2014, kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015
Na sasa ni kweli pia...
Usahihi wa Makonda;
Inaweza ikaamsha watendaji kuwahi majukumu yao kwa haraka na kwa wakati.........si mbaya.
Usahihi wa Mchengerwa;
Desturi hii ikiingia katika akili na damu za watu wetu, ambao wengi wao uelewa wao ni mdogo sana na ambao huchagizwa na mihemko ya kisiasa au kikanda na kikabila...
Huu ndiyo ukweli kuwa Chadema ikisambaratika CCM itakuwa imara kuliko wakati wo wote tangu mfumo wa vyama vingi uanzishwe.
Ikitokea Mbowe akajitoa katika kinyang'anyiro cha kuwania tena kiti cha uenyekiti Taifa Chadema basi CCM itakuwa tumbo moto. Hii itawapa nguvu baadhi ya makada wa CCM...
Mbowe anaweza kulaumiwa kwa mambo yote lakini jambo moja kubwa ambalo hawezi kulaumiwa nalo ni kung'ang'ania au kukaa madarakani muda mrefu. Lissu mwenyewe ambaye ndiye mpinzani mkuu wa Mbowe katika nafasi ya mwenyeketi kwa sasa na anayetaka ukomo wa kushika madaraka ndani ya CHADEMA uwekwe...
Hakuna ubishi ya kwamba Lissu ni moja ya akili kubwa tulizonazo hapa nchini ukiondoa mapungufu ambayo hakunaga binadamu asiekuwa na mapungufu.
Kitendo cha Lissu kutaka kuwa Mwenyekiti wa chama chake na kuanza kuonekana kutishia utawala wa mzee Mbowe na dalili mbaya kwa chama na Lissu pia.
Mzee...
Elie Mpanzu aka Joshua Mutale toka kongo.
Huu ni usajili wa kisiasa na inawezekana asichezee kabisa Simba msimu huu.
Simba ni mabingwa wa kufanya sajili za kisiasa kutuliza joto la mashabiki.
Lakini pia Mpanzu hana quality ambayo wengi wanaamini anayo ni winga wa kizamani wa kucheza kwenye...
Kila ukaribiapo uchaguzi aka uchakachuaji, wachumiatumbo wengi uhama vyama kwa sababu mbali mbali mzuri na mbaya. Japo tunasema ni uhuru kidemokrasia, je huu una tofauti gani na umalaya wa kawaida ambapo huu ni umalaya wa kisiasa uliohalalishwa ili kuvinufaisha au kuvidhoofisha vyama?
Ukweli ni kwamba kwa sasa upepo wa siasa unavuma CHADEMA, macho na masikio ya wengi yameelekea huko.
Chama tawala ni kama wamesahaulika kwa muda, je hii ni ishara njema kwao kuelekea 2025?
Nini sababu ya chama tawala kupoteza ushawishi katika kipindi hiki kifupi? Je ni mbinu hafifu za kisiasa...
Tukiacha unafiki Tundu Lissu amebadilisha kabisa siasa za Tanzania
Joto la kisiasa lipo juu vyombo vyote vya habari mpaka gazeti la Uhuru habari ni Tundu lissu.
Sasa naona Tundu Lissu ndiye Rais ajaye wa Tanzania
Kama atachaguliwa kuwa mwenyekiti wa chadema akafanya reform ya chama...
Tundu Lissu leo amechukua fomu na amedai fomu hiyo amelipiwa na Sativa.Kwanini amemtaja Sativa? amemtaja Sativa ili wanachadema waone namna anavyopendwa na wahanga wa matukio ya utekaji, hizo ni mbinu za siasa za kutafuta sympathy kutoka kwa wapiga kura, hata hiyo hoja ya kupigiwa simu na mtu...
Uwanzishwaji na uwendeshaji wa vyama vya siasa vya Tz nigiza nene kiasi ukiingia nikama umenasa kwenye ulimbo usijuwe palitokea.
Hakuna mtu atakaye nielewa kama hukuwahi kugoma kwenye vyuo huwezi nielewa ila nataka kusema nibora hata visingekuwepo maana huu ni mtego wa panya na hakuna...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Tundu Lissu, amesema kuwa pamoja na kuwa na urafiki wa muda mrefu na Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa, kwa sasa hawezi kumkwepa kumkabili kisiasa, kwani Msigwa amehamia chama pinzani na si mwanachama...
Mbowe ni kiongozi anayekumaliza kisiasa badala ya kukuinua, na hili linaathiri maendeleo ya Chadema," alisema Tundu Lissu leo, Alhamisi, Disemba 12, 2024, wakati akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Mlimani City.
Lissu alieleza kuwa Freeman Mbowe ameongoza chama kwa muda mrefu...