kisheria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini kuna ugumu mkubwa kufungua kikundi cha maendeleo kisheria

    wadau habari msaada tutani... JOB tupo kama mtu tano tunahitaji kuanzisha kikundi cha maendeleo ila tunataka kukisajili kisheria ili litakapotokea lolote kila mtu awe na haki sasa changamoto inakuja kuna vipengele vingi sana tukienda kwa mwanasheria mf. lazima uwe na physical address + P.O.BOX...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni muda wa atheists kutambuliwa kisheria!

    ---------------- 2024, Aug 24. Dar es Salaam. Saa 3:35 asubuhi. Kwanza nitoe pongezi kwa serikali yetu kutambua na kuheshimu imani za watu. Binafsi ninaamini katika Mungu, tena kindaki ndaki. Lakini kuna jambo halipo sawa mahali. Nikiuliza leo hii wangapi waliujuaje Ukristo au Uislam, watajibu...
  3. JamiiForums Tanzania Hii kauli Dotto Magari kuhusu Elimu. Anatakiwa achukuliwe hatua za kisheria kwa kupotosha na kutukana umma

    Hi Great Thinkers. Katika Pita pita zangu nimekutana na hii clip. In short siyo nzuri na haina afya yoyote. Yaani kwa huyu jamaa anataka kusema elimu haina msaada wowote licha ya mabilion ya pesa yaanyowekezwa ili watu wasome. Bila elimu hata hilo gari analolinga nalo sidhani kama lingepatikana.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Cyber crime: Msaada wa ushauri wa Kisheria na Hatua za Kuchukua

    Kuna utapeli unaoendelea mitandaoni, unaohusisha baadhi ya watu fungua kurasa/pages/Accounts za Instagram kwa kutumia picha za watu wengine (innocent) huku pages hizo zikiwa na maudhui ya kudhalilisha. Kama kuna yeyote ambaye anaweza kushauri njia nzuri ya kisheria ya kuchukua against watu kama...
  5. JamiiForums Tanzania Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimezindua Ripoti ya Msaada wa Kisheria-2023

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) leo, tarehe 20 Agosti 2024, kimezindua Ripoti yake ya Taarifa ya utoaji msaada wa kisheria kwa mwaka 2023. Uzinduzi wa Ripoti hiyo itaambatana na mjadala, ambapo kati ya wazungumzaji ni Dr. Helen Kijo-Bisimba, Dr.Anna Henga ambaye ni Mkurugenzi...
  6. JamiiForums Tanzania Kisheria ikoje ikiwa mtu ataahidi kufanyiwa kitu kubaya Kwa hiari yake

    Leo match kati ya Simba na Yanga Watu wamekuwa wakitoa ahadi mbalimbali ambazo Kwa sheria zetu ni kinyume kufanya lakini wengine wameahidi Kwa maandishi na wamesaini kabisa Mfano Mwijaki ameahidi Yanga akimfunga Simba basi mke wake ni halali yetu wanayanga Mwingine ameahidi akatwe kende...
  7. JamiiForums Tanzania Wizara ya Sheria yawaita Wananchi wenye changamoto za Kisheria waliopo Dodoma kwenda NaneNane

    Kilele cha maonesho ya Wakulima na Wavuvi Nanenane kimewadia, Wananchi wanaendelea kujitokeza kwa wingi kwenye mabanda tofauti likwemo la Mama Samia Legal Aid Campaign ili kupata msaada wa kisheria Jijini Dodoma. Kupitia maonesho hayo yenye kauli mbiu ya “Chagua Viongozi Bora wa Serikali za...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi wa kisheria kwenye jambo hili

    Ikiwa Mtu ametoa tuhuma zinazohusu mtu au chama fulani, lakini kwenye tuhuma hizo akaandika jina ambalo sio sahihi. Je, Mtu huyo anaweza kushtakiwa na wahusika ambao kiuhalisia sio waliotajwa. Mfano badala ya kusema JamiiForum wamefanya hivi au vile, yeye akasema 'jamaaforum!' Je, JamiiForums...
  9. JamiiForums Tanzania Wananchi waendelea kupatiwa msaada wa Kisheria kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Kampeni

    Wananchi waendelea kupatiwa msaada mbalimbali wa kisheria kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Aid Kampen iliyopo chini ya Wizara ya Sheria, katika kampeni hiyo watalamu wamepiga kambi kakitika Maonesho ya Nanenene, Jijini Dodoma. Uwezo Maulid, Mkazi wa Shinyanga Mjini amesema “Mume wangu...
  10. JamiiForums Tanzania Wananchi waendelea kupatiwa msaada wa Kisheria kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Kampeni

    Wananchi waendelea kupatiwa msaada mbalimbali wa kisheria kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Aid Kampen iliyopo chini ya Wizara ya Sheria, katika kampeni hiyo watalamu wamepiga kambi kakitika Maonesho ya Nanenene, Jijini Dodoma. Uwezo Maulid, Mkazi wa Shinyanga Mjini amesema “Mume wangu...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Onyesha Mfano wa Kuheshimu Mamlaka Zilizopo Kisheria ili Iwe Mfano na Faida Kwako Ukistaafu.

    Nimesikitishwa sana na kauli iliyotolewa na Tume ya Haki za Binadamu iliyo chini ya Jaji anayeheshimika kuhusu hukumu ya RC wa Arusha na kwamba mpaka dakika hii hujachukua hatua yeyote. Huku ni kuonyesha dharau kwa mamlaka hiyo ambayo ipo kikatiba na chombo kikubwa cha msaada kwako katika...
  12. JamiiForums Tanzania Traditional Medicine: Utafiti juu ya Changamoto za kisheria katika kulinda Maarifa ya Jadi Tanzania Bara

    Habari wakuu (English version below) Ninafanya utafiti juu ya Changamoto za Kisheria katika kulinda Maarifa ya Jadi katika Tanzania Bara. Ili kupata matokeo ya utafiti yenye thamani, naomba kuchukua dakika 5 za muda wako kujaza dodoso langu: Ulinzi wa Kisheria wa Maarifa ya Jadi katika Tanzania...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi nyie kataa ndoa huwa mnamaanisha kutokuishi kabisa na mwanamke au mnamaanisha kutofunga ndoa kisheria (harusi )

    Aisee unajua tunaweza kuwa tunabishana kuhusu kataa ndoa sijui kubali ndoa lakini hatujui maana yake vizuri. Ndo maana Nina swali je mnachomaanisha ni hamtaki kabisa kuishi na mwanamke pika pakua au hamtaki tu kufunga ndoa kisheria. Kama ni kutoingia kisheria hata mimi nitawaunga mkono ila je...
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu anayetoa huduma za kisheria

    Tunahitaji kucertify documents Pia tunahitaji Body resolution na Partnership bid Mawasiliano yetu 0687746471
  15. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Kisheria kwa watuhumiwa wasio na uwezo wa Wakili binafsi?

    Je, kuna msaada wowote wa Kisheria (ikiwemo kuwekewa mwanasheria na serikali) kutoka Taasisi za Serikali kwa Watuhumiwa ambao hawana uwezo wa kulipia Wakili binafsi?
  16. JamiiForums Tanzania Watu wanaorekodi matukio ya watu wakiwa wamelewa na kuyaposti mtandaoni bila idhini yao washughulikiwe kisheria

    Ipo wazi inajulikana pombe sio chai na mtu akinywa pombe uwezo wake wa kufanya maamuzi kwa asilimia kubwa hupungua. Sasa utakuta kuna huu mchezo wa kuposti watu wakiwa wamelewa kwenye sherehe au sehemu nyingine yoyote ile na wakawa wamechangamka kwa namna moja au nyingine then utakuta mtu hana...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Spika Dkt.Tulia Ackson ana uelewa mkubwa sana wa masuala ya kisheria

    Kama ni uchawa basi mm niko tayari kuwa chawa wake, ni kama Maria Sarungi alivyo chawa wa Tundu Lissu au God bless Lema alivyo chawa kwa Mbowe, mimi ni chawa wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwanini, nimekuwa nafatilia sana shughuli za bunge na leo asbh naangalia kipindi...
  18. JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia ili kupata msaada wa bure wa kisheria nchini Tanzania.

    Msaada wa kisheria ni jambo muhimu katika kuhakikisha upatikanaji sawa wa haki kwa wananchi wote wa jamii. Nchini Tanzania, Sheria ya Msaada wa Kisheria inatambua dhana ya “watu maskini,” ikirejelea wale ambao hawana uwezo wa kifedha wa kuajiri wakili binafsi. Watu hawa wanaweza kukabili...
  19. JamiiForums Tanzania SoC04 Magufulication: Mahakama ya ufisadi iwekwe kisheria kulinda mali za umma na uwajibikaji

    Ni kama ndoto ya usiku wa manane, nazishuhudia zile siku nzito zisizosahaulika za kampeni za wabunge na urais mwaka 2015 , namshuhudia Hayati Dkt John Pombe Magufuli, akimwaga sera zake za kuomba kuchaguliwa kuwa rais, ana iahidi Tanzania na ulimwengu kuwa akichaguliwa tu, ataanzisha mahakama...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni Msaada wa kisheria Wakuu

    Habari wakuu naombeni msaada wenu Nilifukuzwa kazi nikapewa barua ya kufukuzwa na inaelekeza nitapewa madai yangu yote ndani ya siku kumi na nne (14)za kazi, ila Leo ni siku ya 16 sijalipwa chochote je naweza kuwashtaki waajili wangu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…