kisheria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Usijenge nyumba kwenye mpaka ni kosa kisheria

    MAANA YA SETBACK KWA LUGHA RAHISI Setback ni nafasi ya wazi ambayo lazima uache bila kujenga kati ya nyumba yako na mpaka wa kiwanja chako. Mfano rahisi kama hauna elimu ya ujenzi: Fikiria kiwanja chako ni karatasi. Halmashauri inakuchorea mstari ndani ya karatasi hiyo. Inakuambia: "Jenga...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Je, ikitokea tukaachana na mwanamke mali tutagawana hali tuliwa hatukufunga ndoa?

    Mimi ni nimeishi na mke wangu kwa miaka 8 I mean hatukufunga ndoa na tumefanikiwa *kujenga nyumba *kuwa na biashara ndogo ya uwakala *Kupata watoto watatu Ishu iko hivi mwaka mmoja uliopita nilianza kuhisi mahusiano kupoteza mwelekeo, hadi sasa mwanamke anadai tuachane akafanye maisha yake...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada kisheria kero ya mkopo

    Salaam! Naomba kupata ufafanuzi nini nifanye kwenye hili; Nilichukua mkopo wa Tzs. 5m hati ya dhamana. Nimefanikiwa kurejesha Tzs. 4.3m hadi sasa. Deni lililobaki ni Tzs. 700,000 ambayo deni halisi ni 500,000 na 200,000 ni interest kwa kuchelewa kukamilisha rejesho, mpaka muda huu nipo nje ya...
  4. JamiiForums Tanzania CAG: Baadhi ya Taasisi za Umma zilisaini mikataba bila mapitio ya Kisheria, ikiwemo TANESCO (Tsh. Bilioni 12) na UDOM (Tsh. Bilioni 4)

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles Kichere amesema baadhi ya taasisi hazikuzingatia mapitio ya kisheria wala ushauri wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika kusaini mikataba yenye thamani ya Tsh. Bilioni 56. Ameeleza hayo Machi 30, 2026 wakati akisoma Ripoti ya...
  5. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ushauri wa kisheria juu ya mgogoro huu wa ardhi

    Habari ndugu zangu. Kuna ndugu yangu ana nyumba huko Mbezi Msakuzi. Leo wameitwa na mwenyekiti wa mtaa na kuelezwa kuna mtu amekwenda ofisini kwake akamueleza anaomba ampatie barua ya kufufua mipaka ya eneo lake. Kwa maelezo ya mwenyekiti, mama huyo anadai mumewe alinunua eneo mwaka 1989 na ana...
  6. JamiiForums Tanzania Mambo ya kisheria unayotakiwa kuyajua kabla haujaamua kumuoa Single Mother

    Kwenye sheria hazitumiki hisia, kinachoangaliwa ni kile kilichoandikwa kwenye vitabu. Hivyo maamuzi yoyote utakayofanya hata kama ni kwa nia nzuri lazima ujue kuna consequences zake. Kumbuka kwenye sheria hauwezi kujitetea kwa kusema "nilikua sijui" Yafuatayo ni mambo ya muhimu kuyajua...
  7. U

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uongozi unaweza kuwa halali Kisheria, lakini ukakosa uhalali wa kijamii

    Historia inaonesha uongozi unaweza kuwa halali Kisheria lakini ukakosa uhalali wa kijamii Takribani miezi minne baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Tanzania inakabiliana na kipimo halisi cha demokrasia yake na uwezo wa upinzani kuwakilisha sauti za wananchi. Kwa mujibu wa utafiti wa...
  8. JamiiForums Tanzania Idu nacheka ninapofuatilia kesi ya Lissu. Kwamba mtuhumiwa anawafundisha waendesha mashitaka nini cha kufuata kisheria!

    Nakunywa zangu balimi huku nachanganya na Konyagi ndogo. Mtuhumiwa wa kosa la uhaini anatoa shule kwa mawakili wa serikali. Kwamba ushaidi mpya ni tofauti na ushahidi wa nyongeza. Hawa mawakili wa serikali wanalipwa mshahara kwa kodi za mkulima kama Idugunde
  9. JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara uliyeamua kuendesha biashara yako kwa kuzingatia misingi ya kisheria ili kufanikisha ukuaji endelevu bila vikwazo, usipite bila kusoma.

    Mfanyabiashara uliyeamua kuendesha biashara yako kwa kuzingatia misingi ya kisheria ili kufanikisha ukuaji endelevu bila vikwazo, kuanzia sasa usijitese. Wasiliana na kampuni yetu yenye wataalamu waliobobea na wenye uzoefu wa kutosha katika Sheria na mifumo ya kodi. Kumbuka kuwa kuanzia tarehe...
  10. JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara uliyeamua kuendesha biashara yako kwa kuzingatia misingi ya kisheria ili kufanikisha ukuaji endelevu bila vikwazo, usipite bila kusoma.

    Mfanyabiashara uliyeamua kuendesha biashara yako kwa kuzingatia misingi ya kisheria ili kufanikisha ukuaji endelevu bila vikwazo, kuanzia sasa usijitese. Wasiliana na kampuni yetu yenye wataalamu waliobobea na wenye uzoefu wa kutosha katika Sheria na mifumo ya kodi. Kumbuka kuwa kuanzia tarehe...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Ni kosa kisheria kumhonga au kumshawishi shahidi kwa zawadi ili atoe ushahidi

    Kitendo cha CCM kutangaza kuwa kitawalipa watakaokwenda kutoa ushahidi kwenye tume ya Chande hiyo ni rushwa ya wazi, na kumshawishi shahidi kwa njia yeyote bila ridhaa yake ni sawa na kumlazimisa. Haikubaliki iwe mahakamani au kwenye tume ni kosa kwa mujibu wa sheria za Tanzania. Takukuru...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Rais wamejishau kuwa X imefungiwa hapa nchini? X haiurusiwi kisheria

    Wanatumia x ili kupasha habari watu kimakosa.
  13. JamiiForums Tanzania Prof. Abdallah Safari: Kiswahili sio lugha Taifa kwa mujibu wa sheria, tunatumia kimazoea tu

    prof. Abdallah Safari ambae ni Profesa wa sheria na muandishi nguli wa vitabu ambae amewahi kuandika vitabu kama vile riwaya ya Joka la Mdimu katika mahojiano yake ameeleza kuwa lugha ya kiswahili sio lugha ya taifa bali tunaitumia tu kimazoea akirejelea kuwa katiba haina kifungu kinachobainisha...
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 RC Chalamila: Tutachukua hatua kwa tuhuma za Padri Kitima, kuhusu TANESCO kuhusika kwenye shambulio dhidi yake

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema Ofisi ya Mkoa kwa kushirikiana na TANESCO haitabaki kimya kufuatia kauli zilizotolewa na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) Padri Charles Kitima, kuhusu tukio la uvamizi alilodai lilihusisha kuzimwa kwa umeme na Shirika hilo...
  15. JamiiForums Tanzania Suali fikirishi. Je Ngao ya Uhuru na Umoja yalindwa kisheria na yaweza kubadilishwa kwa utashi wa raisi au taasisi ya uraisi kiholela?

    Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama kwenye mimbari inoonyesha ngao ya Uhuru na Umoja lakini ikiwa imeondolewa imebadilishwa na kuondoa historia yake. Hii ngao ina historia kubwa sana kwa taifa letu kuanzia wakati wa ukoloni hadi mwaka 1971 ilipokubalika iwe ni ngao inoonyesha mamlaka ilosimama...
  16. JamiiForums Tanzania Tukishachukua Nchi, Kifo Cha Hayati Magufuli kitachunguzwa, Wahusika wa Mauaji hayo Kuchukuliwa Hatua Kali za Kisheria !!Hakuna Cha Msamaha hapa !!

    Yaan nyinyi kama mlimteka Polepole mkadhani ndio mmezima Jinsi zenu, kimewalamba !!!!. Jiandaeni !! Sisi tumeamua kuisafisha Nchi hii kuanzia Mizizi yake !!.
  17. JamiiForums Tanzania Je, unafahamu kuwa kufanya lamination ya nyaraka zako kunaweza kuharibu thamani yake ya kisheria?

    Inaonekana maridadi. Inaonekana salama. Lakini pindi unapofanya lamination ya nyaraka halisi, kisheria unaweza kuonekana umeziathiri au kuzibadilisha bila kujua. Watu wengi hulaminate vyeti, hati za kiapo, risiti na nyaraka nyingine wakidhani wanazihifadhi. Ukweli ni kwamba, unapozifunika kwa...
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jonh Heche, Tangu niachiliwe sijapewa passport yangu ya kusafiri bila sababu zozote za kisheria

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Jonh Heche, amedai kuwa tangu aachiwe huru na Jeshi la Polisi amekuwa akifuatilia pasipoti yake ya kusafiria bila mafanikio. Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa X (zamani Twitter), Heche amesema pasipoti hiyo ni muhimu kwa ajili...
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mnyika, Japo Uchaguzi Sio Huru, Wa Haki na Halali, lakini Usimwite Rais Haramu!. Baada ya Kuapishwa ni Rais Halali Kisheria japo Sio Ki Haki!

    Wanabodi, Tanzania tuna changamoto kubwa sana ya kutafsiri sheria, kuna tofauti kubwa kati ya uhalali wa kisheria na haki ni vitu viwili tofauti. Mimi japo ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitegemea kwa kujitolea, ila pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, ila sio wakili wa...
  20. JamiiForums Tanzania Watanzania, msijaribu kwenda kumtoa Lissu

    Watanzania!. Nimeona uzi wa britanicca kuhusu kwenda kwa lissu na wengine wamechangia kwenda huko. Mkienda na mkajaribu kumtoa mnaweza kumuweka kwenye hatari kubwa sana ya usalama wake. Wapo watu wahovu wanaweza kujipenyeza na kumdhuru. Kwa sasa yupo sehemu salama. Uhakika wa yeye kutoka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…