kiserikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Unavoidable Servant

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia mkoani Arusha ni ya Kichama au Kiserikali?

    Kwanza nadeclare interest, namuunga mkono mama na nina imani naye. Ila nikifuatilia hii ziara yake ya Arusha napata shida kidogo kama wenzetu wenye madaraka wanaelewa vizuri tofauti ya shughuli za kichama na za kiserikali? Hakuna ubishi CCM ndio inaunda serikali lakini hakuna ofisi ya CCM...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Hivi mpangilio wa madaraka Kiserikali ukoje kiprotokali?

    Kwa hii nchi yetu kumekuwa na stori nyingi za vijiweni , yaani Nani anariport kwanani Nani ni mkuu wa majeshi, Sasa leo nimekuta mabishano kijiwe Cha drafti, yaani wakuu watano wa hii nchi ya muungano ni Nani namba 1,2,3,4,5, hata Rais Samia aliwahi kusema hapo nyuma kabla ya kuwa mkuu wa nchi...
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Napendekeza serikali iweke kipengele cha cheti cha JKT kwenye matangazo yote ya kazi katika Taasisi za kiserikali na utumishi

    Napendekeza serikali iweke kipengele cha cheti cha JKT kwenye matangazo yote ya kazi katika Taasisi za kiserikali na utumishi. Hii italeta maana ya vijana wetu kupitia, mafunzo haya ya JKT. Na italeta hamasa kwa wale ambao hawapendi kwenda kulitumikia Taifa huko JKT. Mimi nimetoa pendekezo tu,
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awa mgeni rasmi katika Mkutano wa mwaka wa Jukwaa la Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGO) Dodoma

    Rais Samia: Nakushukuru Waziri wa Maendeleo ya Afya, Jinsia, Wazee na Watoto pamoja na Uongozi wa baraza la Mashirika yasiyo ya kiserikali kwa kunialika kwenye mkutano huu wa mwaka wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali nataka nikiri kuwa nimefurahi sana kushiriki katika mkutano huu. Rais Samia...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Watu wenye uzoefu wa kusimamia na kuongoza miradi na shughuli za shirika lisilo la kiserikali

    Habari za wakati huu wakuu Naomba kuwasiliana na watu wenye uwezo na uzoefu wa kusimamia na kuongoza miradi ya shirika lisilo la kiserikali. Kwa wale watu ambao waliwahi kufanya kazi kwenye mashirika kama wafanyakazi ,wasimamizi ,viongozi nk, naomba tuwasiliane pls , Pia naomba ushauri na maoni...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Serikali wekeni dini mbali na mambo yenu ya Kiserikali ili nyote muwe huru

    Wiki hii watu wametokwa na povu sana kutokana na matukio mbalimbali yalioashiria mwanzo wa kuanza kutomaswa tomaswa kwa dini zao ambazo zilikuwa zimepewa hadhi maalum ya kuwa zisizogusika au 'untouchables' kwa muda mrefu. Mzee wa Upako ni mmojawapo wa watu waliotokuwa na povu hilo hadi kufikia...
  7. The Conscious

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu utaratibu wa kufunga ndoa ya kiserikali

    Wakuu habari za majukumu. Tafadhali kwa anayefahamu utaratibu wa kufunga ndoa ya Kiserikali naomba anieleweshe Gharama zake zipoje na ni vitu gani vinahitajika ili niweze kufanikisha Ninachohitaji zaidi ni cheti cha ndoa kama kuna member anafahamu utaratibu mwingine wa kupata cheti cha ndoa...
Back
Top Bottom