kiserikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mla Bata

    Msaada: Ripoti ya mwaka ya Asasi zisizo za kiserikali (NGO’s)

    Wasalaam, Wakuu kwa wale wenye uzoefu wa masuala haya, mwanzoni wa mwaka jana tulifanikiwa kusajili NGO yetu wizarani, na kwa bahati mbaya kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu hatukufanikiwa kufanya shughuli yoyote ya taasisi kwa mwaka mzima ikiwa ni malengo yetu kwa mwaka ujao kuwa active...
  2. S

    Donor countries hawaanzi na sala na dua katika shughuli za kiserikali lakini watumishi wake ni waadilifu sana. Hapa Tanzania sasa!!

    Yawezekana ndiyo maana kama taifa hatutoboi. Kila siku tunaogelea kwenye mabalaa na majanga. Ni kwasababu tunamdhihaki Mungu wetu wa mbinguni. Hawa hawa viongozi wetu ambao ni wafujaji wa kodi zetu, wezi wa mali ya umma na wala rushwa wakubwa ndiyo kila wakikutana kwenye mikutano, warsha na...
  3. GENTAMYCINE

    Je, huu Utamaduni 'Unaoboa' huwa ni takwa la Kikatiba, la Kiserikali, la Kichama ( CCM ) au ni la Kujipendekeza tu?

    Utamkuta Waziri, Mkuu wa Mkoa na Wilaya pamoja na Watendaji wengine kila wakiwa wanatolea Ufafanuzi wa Jambo fulani wakiwa Wanahojiwa na Waandishi wa Habari ni lazima tu Watalazimisha kumtaja Rais wa Nchi (mfano wa sasa Samia) na hata kwa Wengine waliotuongoza Watanzania huko nyuma. Hivi kwani...
  4. The Sunk Cost Fallacy

    Rais Felix Tchisekedi wa DRC awasili Nchini kwa Ziara ya Kiserikali ya Siku 4, kutembelea Bandari ya Dar es Salaam

    Habari za leo wana jukwaa, Kama kichwa kinavyosomeka, Rais wa DRC amewasili nchini kupitia Zanzibar ambako atapumzika na kisha kuanza ziara rasmi ya kiserikali nchini ya siku 4. Pamoja na mambo mengine atatembelea bandari ya Dar na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake Rais Samia. Ikumbukwe DRC...
  5. BARD AI

    Kwanini mazishi ya Kiserikali ya Shinzo Abe yana utata?

    Wiki moja iliyopita, viongozi wakubwa wa kimataifa walikusanyika London kwa ajili ya mazishi ya kiserikali ya Malkia Elizabeth II wa Uingereza. Sasa wengi wao wanaelekea upande wa pili wa dunia kwa mazishi mengine ya kiserikali ya Waziri Mkuu wa zamani wa Japan aliyeuawa, Shinzo Abe. Lakini...
  6. Uhakika Bro

    Mitandao na e-mail za taasisi za kiserikali, emails hazifiki

    Zile email ni geresha ama? Tukisema tujaribu namba za simu napo labda. Wahusika.............
  7. Rashda Zunde

    Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGOs) yanayofanya upotoshwaji

    Eneo la Loliondo ni eneo pekee Tanzania lenye idadi kubwa ya mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) yanazojishughulisha na masuala ya Ardhi na Haki za Binadamu nchini. Kwa sasa kuna jumla NGOs 17 katika eneo hilo. NGOs hizo zimekuwa zikifanya upotoshwaji kwa jamii kuhusu masuala yanayohusu...
  8. Lu-ma-ga

    Tujikumbushe enzi za kuanza na Mungu na kumaliza na Mungu kazi za kiserikali

  9. The Dictator

    TCRA ni kati ya vyombo vya kiserikali vyenye kujiendesha kienyeji sana.

    Ni aibu kuona chombo kikubwa kama hiki ndani ya serikali kikiendeshwa bila weledi na sembuse kisichopenda kuwajibika litokeapo kosa kati ya matawi inayoyasimamia. Mfano hai ni hiki kinachoendelea sasa kwenye mgogoro kati ya watoa huduma na wateja juu ya upandishaji holela wa bei za data...
  10. JanguKamaJangu

    Asilimia 95 ya Taasisi Zisizo za Kiserikali hazijahamia katika mfumo wa Digitali, Mradi wa #DIGITALNGO wafungua njia

    Mkurugenzi wa Taasisi ya Media Convergency, Asha Abinallah, akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi wa #DigitalNGO ambao unatarajiwa kuwa kichocheo cha mabadiliko na mapokeo ya kidijitali kwa mashirika yasiyo ya kiserikali nchini Tanzania. Hafla hiyo ilifanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar...
  11. Wilhelm Johnny

    MSAADA KUNA ULAZIMA WA KUCHANGIA UJENZI WA OFISI ZA KISERIKALI

    Wakuu niko dodoma mjini hapa mitaa ya changombe kuna kijana anapita akichangisha fedha za kujenga ofisi ya serikali za mitaa anataka buku kila frame za kubeba matofali naomba kujuzwa nikimtimua kisheria ni kosa au maana buku ni ndogo ila hii serikali imeshatuona wananchi wake ni nyumbu kuna...
  12. kmbwembwe

    Kama hakuna chochote kiserikali kumkumbuka Magufuli na sisi hatuna habari na mwaka mmoja wa Rais Samia

    Tunaona tu watu wakisifia mwaka mmoja wa rais Samia utafikiri Magufuli alikufa ili Samia awe rais. Juhudi zozote za aina yoyote kumpotezea Magufuli haziwezi kufanikiwa. Magufuli ametufunza na kutuongoza kwa mengi yenye uzalendo mkubwa. Ajabu hata wale vigogo waliyoimba kumsifia kama ndege...
  13. Yericko Nyerere

    Kwenye msafara wa Kiserikali wa Rais Dubai, Shaka ana nafasi gani?

    Kuna jambo limenistua kidogo japo linaonekana la kawaida lakini ni kubwa sana katika siasa na uadilifu, Huyu Mwenezi wa CCM Bwana Hamdu Shaka, ana role gani kwenye ziara ya Rais huko Dubai katika mkutano huu wa kibiashara? Mlinzi? Mwekezaji? Mfanyabiashara? Mjasiliamali? Machinga? Kangomba...
  14. Samia atosha tukutane2030

    Serikali iivunje GPSA au iwaondoe viongozi wa ngazi za juu ili manunuzi ya Kiserikali yasisuesue

    GPSA au Wakala Wa Manunuzi Serikalini ni miongoni mwa taasisi zinazoikwamisha serikali katika kupiga maendeleo ya haraka. Siku nyingine nitakuja kwaajili ya taasisi nyingine lakini leo twende na GPSA. Hii Wakala ni mhimili muhimu sana katika gurudumu la maendeleo hapa nchi ila Lina mauzauza...
  15. Yericko Nyerere

    Makosa ya kiserikali ya 2019 yanayoendelezwa 2021. Nini kifanyike?

    Unaliona hilo bango? Linanikumbusha Tarehe 5 December 2019 niliandika makala nikionya matendo ya serikali ambayo yalikuwa yanakinzana na dunia ya ushindani inavyokwenda, Nilionya baada ya kujiridhisha kwamba Tanzania inaenda kushoto huku Watani zetu wa Jadi Kenya na dunia kwa ujumla wanakwenda...
  16. ESPRESSO COFFEE

    Je, wasanii wanaposhiriki kutoa burudani kwenye matamasha ya kiserikali huwa wanalipwa?

    Nianze kwa kukiri wazi kuwa, Tangu Nianze kufuatilia Matamasha ya Wasanii wanayo yafanya kwenye Jamii, Nimeona WASANII WA KITANZANIA wanaongoza Sana Kufanya PERFORMANCE zao Kwenye Matamasha/Mikutano Ya Kiserikali Kuliko Nchi Yoyote Ile Duniani. Mbaya Zaidi na Zaidi, Nimeona WASANII WENGI WA...
  17. U

    Ili uwe na nguvu nchini unahitaji hivi vitu vitatu

    Kwahiyo pambana sana kijana, hili ni somonhasa kwa vijana lazima uwe na nguvu tatu muhimu uweze kuheshimika 1. Nguvu ya kiserikali, lazma uwe karibu na serikali na watu wake wa juu ikiwemo Rais, waziri, rcs , wabunge, igp, mabeyo, 2. Nguvu ya uchawi - maadui ni wengi unahitaji ulinzi wa...
  18. Yericko Nyerere

    Uongo wa kiserikali umefika mwisho, tujisahihishe kwa Mbowe tujenge nchi

    Mwezi April 2021, Baada ya dakika chache tu ya kufariki Rais Magufuli aliyekuwa mfuasi kindakindaki wa hayati John Magufuli bwana Job Ndugai aliyeapa kumuongeza muda wa kutawala kidikteta Tanzania atake asitake, alimgeuka mchana kweupe na kulitangazia taifa kuwa serikali ya Rais John Magufuli...
  19. Unavoidable Servant

    Ziara ya Rais Samia mkoani Arusha ni ya Kichama au Kiserikali?

    Kwanza nadeclare interest, namuunga mkono mama na nina imani naye. Ila nikifuatilia hii ziara yake ya Arusha napata shida kidogo kama wenzetu wenye madaraka wanaelewa vizuri tofauti ya shughuli za kichama na za kiserikali? Hakuna ubishi CCM ndio inaunda serikali lakini hakuna ofisi ya CCM...
  20. U

    Hivi mpangilio wa madaraka Kiserikali ukoje kiprotokali?

    Kwa hii nchi yetu kumekuwa na stori nyingi za vijiweni , yaani Nani anariport kwanani Nani ni mkuu wa majeshi, Sasa leo nimekuta mabishano kijiwe Cha drafti, yaani wakuu watano wa hii nchi ya muungano ni Nani namba 1,2,3,4,5, hata Rais Samia aliwahi kusema hapo nyuma kabla ya kuwa mkuu wa nchi...
Back
Top Bottom