kisasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Vyoo vya kisasa vinavyohamishika vyasaidia kuzuia maambukizi ya virusi kwenye Michezo ya Olimpiki ya Beijing

    Teknolojia zimetoa mchango mkubwa kwenye mapambano ya China dhidi ya janga la virusi, hasa kwenye kipindi ambacho inakuwa mwenyeji wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing. Vyoo vya kisasa vinavyohamishika vimekuwa sifa maalumu ya mfumo wa mzunguko uliofungwa kwenye michezo hiyo...
  2. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Muonekano wa kichwa cha Treni ya SGR

    Kichwa cha treni cha reli ya kisasa - SGR chàwasili Kichwa hiki cha Mkandarasi kinachotumia nishati ya umeme kimewasili bandarini jijini Dar es Salaam kwaajili ya kuanza majaribio ya miundombinu ya umeme katika reli ya kisasa - SGR kipande cha Dar es Salaam - Morogoro.
  3. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Uwanja mkubwa wa kisasa wa mpira wa miguu Dodoma upo katika hatua gani?

    Moja kwa moja.. Miaka kadhaa imepita (toka 2016) tuliposikia kuhusu ujenzi wa uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu Dodoma unatarajia kuchukua watazamaji 80,000 na miundombinu mingine. Ikiwa kama ushrikiano wa serikali ya JMT na Morocco huku serikali ya Morocco ikiahidi kutoa fungu kusaidia ujenzi...
  4. MnolelaKorosho

    JamiiForums Tanzania Shamba la mikorosho ya kisasa inayozaa linauzwa Lindi

    SHAMBA LENYE MIKOROSHO YA KISASA INAYOZAA VIZURI LINAUZWA. ENEO SHAMBA LILIP0: Mkoa wa Lindi, kilomita 4 kutoka barabara kuu ya lami inayoenda Mtwara. UKUBWA WA SHAMBA: Ekari 30 IDADI YA MITI KWA EKARI: Miti ya mikorosho 25 mpaka 30 kwa Ekari moja. STATUS YA MAVUNO: Mikorosho yote inazaa...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Wanaume acheni woga pimeni tezi dume, kuna vifaa vya kisasa

    TATIZO la saratani nchini limetajwa kuongezeka kwa kasi, ikibainishwa kuwapo wagonjwa wapya 42,060 kwa mwaka huku 28,610, sawa na asilimia 68 hufariki dunia kutokana na ugonjwa huo. Taarifa za mwaka 2021 za Taasisi ya Saratani Ocean Road zinaonyesha saratani zinazoongoza kwa wanaume ni tezi...
  6. mmwamba

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba ya kisasa inauzwa

    Wakuu, nyumba nzuri sana na kiwanja ni kikubwa inauzwa Kiwanja kina 2095m² na kina hati (yaani ukubwa wa eneo ni skwea mita elfu mbili na tisini na tano) BEI: Tshs. 250,000,000 (milioni mia mbili na hamsini) maongezi yapo Nyumba(eneo) ipo Madale kwa Mathias kwa mawasiliano nipigie...
  7. Esokoni

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jiunge na Dirm VFD uokoe 50% ya EFD machine, ni bora, salama kisasa zaidi

    HABARI NJEMA... katika kipindi hiki cha kufunga na kuanza mwaka mpya, na kufanyiwa makadilio ya kodi za TRA, ninayo furaha kubwa kukujuza wewe Mfanyabiashara kuwa unaweza kuokoa mpaka 50% ya garama za kununua mashine za EFD endapo utajiunga na mfumo wa Dirm VFD ambao ni mbadala wa EFD machine...
  8. Perfectz

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Sheikh kutoa muda kwa aliyemuibia Simu infinix yake ya kisasa airejeshe vinginevyo!

  9. Rebuild

    JamiiForums Tanzania Je, hii ramani imekamilika?

    Habari nyingi wakuu.. Katika ujenzi ambao nataka nianze Inshaallah baada ya kumaliza mambo mengine sasa nimechorowe ramani hii hapa kutokana na nyumba yangu nataka iwe hivi. Hivyo basi wakuu humu kuna magwiji wa haya mambo ya ramani pamoja na ujenzi wake.Naomba kufahamu kutoka kwenu je hii...
  10. Kecha Boksi

    JamiiForums Tanzania Barabara mpya na za kisasa kwenye miji mikubwa ni kwa ajili ya kupendezesha miji?

    Wasalaam, Hizi barabara mpya na za kisasa za kuingia kwenye miji yetu mikubwa ni kwa ajili ya kupendezesha miji? Fikiria barabara kubwa ya kuingia mji mkubwa wa kibiashara Tanzania? Njia nne kwenda njia nne kurudi. Anzia Kimara mwisho hadi inapoishia ni vibao vya hamsini mwanzo mwisho. Kila...
  11. Prophet of Nations

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Ramani za kisasa zinauzwa Tanzania

    TUNACHORA RAMANI ZA NYUMBA ZA KISASA TANZANIA NZIMA KWA BEI NAFUU SANA WASILIANA NASI LEO KWA WHATSAPP +255 717 040 837/ 0767 267664 UANZE UJENZI.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza ramani za nyumba mbalimbali

    Ramani ya vyumba vitatu , chumba kimoja masta, sebule na choo cha kushea, Ukubwa wa Ramani ni mita 9/kwa mita9/...kupata Ramani yake tuwasiliane 0627571649.
  13. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kuwekeza kisasa kwenye upikaji wa Gongo?

    Naona ndugu zetu wanahangaika sana kutumia kuni, Je tutumie mbinu gani kupika Gongo tupunguze matumizi ya kuni?
  14. L

    JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zafaa kuiga mbinu za kisasa za kilimo kutoka China

    Na Tom Wanjala Mnamo mwaka wa 1978, China ilikuwa miongoni mwa mataifa maskini duniani. Kutoka mwaka huo, taifa hili likaja na mikakati na harakati za kujitoa kwenye hali hii ya umaskini iliyokuwa tishio kwa mamilioni ya raia wake. Ikiwa ni nchi pekee ulimwenguni yenye idadi kubwa zaidi ya...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Nzega, Tabora: Bashe akabidhi zahanati, Gari ya wagonjwa na Pikipiki

    BASHE AKABIDHI ZAHANATI, GARI YA KISASA YA WAGONJWA NA PIKIPIKI KATIKA KIJIJI CHA IDUDUMO Nzega Mjini, TABORA. Mbunge wa jimbo la Nzega Mjini na Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe amefanikiwa kukabidhi zahanati, Gari ya kisasa ya wagonjwa (ambulance) pamoja na usafiri aina ya pikipiki...
  16. Dodoma Demand

    JamiiForums Tanzania Chuo kingine chajitosa kujenga Mall na kumbi za kisasa!

    Chuo cha Mipango Dodoma mbioni kujenga Shopping Mall kama ya MLIMANI CITY ikiwa ni kumbukumbu za Mawaidha ya Mwalimu Nyerere ya MADUKA ya Ushirika. Jengo hilo litajengwa Jendegwa mkoani Dodoma.. Mlimani City Mall ilijengwa na Chuo Kikuu Dar es Salaam na imekuwa ni eneo zuri la kufanyia Utalii...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tafuta fedha au ingia mkataba na sekta binafsi wajenge uwanja wa Mpira wa kisasa Dodoma

    Raisi Samia, utafanya yote, ila kama unataka kuacha jina, basi fanya kila uwezalo kuhakikisha eneo lililotengwa kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa mpira wa kisasa mkoani Dodoma ujenzi huo unaanza na kukamilika kabla ya 2025. Kwa ukimya uliopo na muda uliokwishapita, ni vigumu sisi wananchi...
  18. Kulupango

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata Upinde na mishale ya kisasa kama hii

    Natafuta hizi zana, wapi nitazipata?
  19. B

    JamiiForums Tanzania Iramba wanunua kifaa cha kisasa cha upimaji ardhi na urasimishaji makazi

    Mkuu wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida Mhe Suleiman Yusuph Mwenda siku ya Septemba 23, 2021 amezindua kifaa cha kisasa cha upimaji wa ardhi kiitwacho DGPS S86 RTK chenye uwezo wa kutembea Km 30. Akihutubia katika hafla ya uzinduzi wa kifaa hicho, Mhe Mwenda aliwapongeza kwa pamoja Mwenyekiti...
  20. Phazo Khan

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza vyoo vya kisasa ambavyo havijai

    OCHUBIODIGESTSEPTIC ni mfumo wa Mashimo ya choo yasiyojaa maji taka popote na aina zote za ardhi system inafanya kazi kwenye ufinyanzi na sehemu zenye maji, unaweza kujenga kwenye shule,hospital gest nk, Sifa za mfumo huu ni 1 halijai 2 halitoi harufu 3 huchukua eneo dogo Halijai kabisa wakati...
Back
Top Bottom