kisasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rafiki Electrical

    Vifaa bora vya umeme vya kisasa, Kariakoo

    📍Rafiki Electrical & Tech Solutions ni solution kwa mahitaji yako ya vifaa bora na vya kisasa vyenye usalama Mkubwa. Tunauza, kusambaza na kutengeneza Vifaa bora vya umeme wa: 🎯Viwanda 🎯Majumbani 🎯Minara n.k Tunapatikana Kariakoo, Narung'ombe na Gogo. Tunatuma Tanzania na nje ya Tanzania...
  2. B

    Kitchen cabinet za kisasa kwa bei chee

    kitchen cabinets za kisasa kwa bei chee.. maboss zangu ata ukiwa bado ujahamia tutakutengenezea kisha kuvifunga lailon ili kuzuia vumbi na michubuko ad utapako hamia unakuta kitchen cabinet yako bado mpyaaaaaa inang'aa🔥🔥.. gharama inategemea na ukubwa wa sehem yako ya kabati pia Aina ya material...
  3. F

    Wazazi wa kisasa kwenye kusomesha Watoto shule wanafanana na wauza maduka wa sinza

    Wazazi wa kisasa kwenye kusomesha watoto shule wanafanana na wauza maduka wa sinza. Duka la sinza fremu kodi milioni, decorations za duka zinatumika milioni 10. Halafu mtaji wa bidhaa za kuuzwa dukani thamani yake laki 7 tu. Hivyo hivyo kwa wazazi. Mtoto primary analipiwa ada kwa mwaka...
  4. ELI COHEN

    Kama kijana wa kisasa achana na haya mazoea ya kiduanzi ambayo yamekuwa ruba kwenye jamii zetu

    Unapoenda kutembelea mtu toa taarifa kwanza, usilalale zaidi ya siku mbili kupelekea kuleta usumbufu hadi unalala na watoto wadogo. Ni aibu katika karne hii bado una unahangaishwa na mambo ya kufikirika. Unashindwa kuchukua risk kisa unahofia upande ambao hauna hata hakika nayo ila unauheshimu...
  5. N

    Matumizi ya AI katika mifumo ya ulinzi yanaweza kuongeza kwa kiwango kikubwa uwezo wa kugundua vitisho

    Jeshi Letu la JWTZ Linatumia Teknolojia ya AI Kuboresha Ufanisi Kwenye Ulinzi? Katika mifumo ya ulinzi ya jadi inayotumia rada za kawaida, changamoto kubwa imekuwa uwezo mdogo wa kuchambua taarifa kwa haraka na kwa kina. Rada za zamani zinaweza kugundua kitu angani au baharini, lakini mara...
  6. W

    Unahitaji sakafu tarazo imara na ya kisasa?

    Tunatoa huduma za ujenzi wa sakafu ya tarazo kwa shule, maghala (godowns), majengo ya biashara na makazi kwa ubora wa hali ya juu. ✅ Tunatumia vifaa bora na wataalamu wenye uzoefu ✅ Ujenzi imara unaodumu kwa miaka mingi✅ Bei nafuu na makubaliano mazuri ✅ Tunazingatia viwango vya ujenzi na...
  7. Luxe Light Craft

    Taa za kisasa

  8. Luxe Light Craft

    BORESHA MUONEKANO WA NYUMBA YAKO KWA KUFUNGA TAA BORA ZA KISASA

    Luxe Light Craft Wauzaji wa taa za kisasa, zenye muonekano wa kipekee tipo kwaajili yako. Whatsapp +255764379293
  9. Luxe Light Craft

    Taa za kisasa zinauzwa

    BADILI MUONEKANO WA NYUMBA YAKO, KUFUNGA TAA NZURI NA ZAKISASA KUTOKA Luxe Light Craft TUNAUZA TAA NZURI KWAAJILI YA NYUMBA YAKO, IWE; HOTELI, HOSTEL, APARTMENTS, OFISI NA DUKA PIA. TAA ZA UKUTANI(NJE NA NDANI), MAPAMBO, TAA ZA FENSI, TAA ZA GARDEN, TAA ZA NGAZI N.K WASILIANA NASI SASA...
  10. Luxe Light Craft

    Je, unahitaji taa za kisasa kwa ajili ya Finishing ya Nyumba yako?

    Je, Unahitaji Taa Za kisasa kwaajiki ya Finishing ya Nyumba yako? Luxe Light Craft, tumekuja kwaajili yako. Karibu ujipatie taa bora na za kisasa kutoka kwetu. Tunazo Taa Aina zote! Tunapatikana kariakoo📍 Wasiliana nasi kwa whatsapp namba +255764379293
  11. Website Tanzania

    Unahitaji Website ya kisasa na ya kitaalamu?

    Pata Website yako ndani ya SIKU 3 TU! Natoa huduma ya Website Design kwa bei nafuu na ya uhakika: GHARAMA: Tsh 300,000 TU Bei hii inajumuisha: Kutengeneza website kamili Hosting (Kuweka website online) Usajili wa Domain Name (Jina la website yako) Professional Emails 5 zinazoendana na...
  12. Hharyson

    IPE NYUMBA YAKO MUONEKANO WA KISASA KWA LANDSCAPE KALI KUTOKA KWETU 0624004650

    IPE NYUMBA YAKO MUONEKANO WA KISASA KWA LANDSCAPE KALI KUTOKA KWETU 0624004650 HAPA TUMEHUSIKA FROM DESIGN IDEAS PERGOLA AND OUTDOOR LOUNGE POOL CONSTRUCTION TUPIGIE UPATE KAZI BORA
  13. Rehema Pm

    Jiko la kisasa :Pika kisasa na plate nne (2Gas +2umeme)

    Habari wana-JF, Je, umechoka kuchelewa kupika kwa sababu gas imeisha ghafla au umeme umekatika katikati ya maandalizi? Suluhisho limefika! Tunakuletea Jiko la Kisasa (Built-in/Table top) linalounganisha nguvu mbili kwa pamoja: • Plate 2 za Gas: Kwa haraka na ufanisi wa hali ya juu. • Plate...
  14. Tanzania Railways Corp

    Wahudumu wapya 65 watakaohudumu ndani ya treni ya kisasa ya SGR

    Wahudumu wapya 65 watakaohudumu ndani ya treni ya kisasa ya SGR, leo wamehitimu mafunzo yao ya wiki nne tayari kuanza majukumu yao Februari 02, 2026 Mafunzo hayo yaliyolenga kuwapa maarifa na stadi ili kuleta tija, yalijikita katika maeneo mbalimbali hususani katika kuwahudumia abiria kwa...
  15. M

    Arusha ipo karibu na Nairobi yenye gereji za kisasa; kwanini bado hata matajiri wanasita kununua magari mapya ya Ulaya (0 km)?

    Kenya watu wanaojiweza wana magari latest kwasababu huduma za gereji zipo za uhakika. Arusha hadi Nairobi ni safari ya masaa tano tu unaweza kwenda na kurudi kwa mafuta lita 50 kwenye chombo kama BENZ gl 300. kwanini hata matajiri bado wanasita kununua vitu latest vya ulaya ?
  16. michu03

    EPOXY FLOOR TECHNOLOGY: Kwa Nini Inakuwa Trend Kubwa Kwenye Ujenzi wa Kisasa?

    EPOXY FLOOR TECHNOLOGY: Kwa Nini Inakuwa Trend Kubwa Kwenye Ujenzi wa Kisasa? Utangulizi Kwa kipindi cha hivi karibuni, teknolojia ya Epoxy Floor imekuwa ikizungumzwa sana kwenye sekta ya ujenzi, hasa mtandaoni. Wauzaji wa kemikali za ujenzi, wakandarasi, mafundi pamoja na wamiliki wa majengo...
  17. M

    Ni kwanini watanzania wengi bado wanapenda magari ya zamani yenye gearbox za 4AT badala ya gearbox za kisasa yenye CVT ?

    Magari mengi yenye gearbox za 4at ni yamiaka zaidi ya 15 iliyopita Magari ya CVT ni ya kisasa zaidi na yanatumia mafuta kidogo Lakini unawakuta watu wapo radhi kununua gari yenye 4at yenye gharama kubwa zaidi kuzidi yenye cvt. Kwanini watanzania wanaogopa CVT ?
  18. M

    Natafuta ng’ombe wa kisasa wa maziwa

    Natafuta ndama wa ng’ombe wa kisasa wa maziwa. Itafaa zaidi wakipatikana mkoani Mbeya. Kitulo siku hizi wameshindwa kabisa kuendana na demand iliyopo. Hivyo hivyo Uyole wameshindwa.
  19. ELI COHEN

    Sikuwahi kutegemea kama punyeto inaweza kutambulika kama janga, najiuliza, vijana wa kisasa wame-overdose au mitandao ndio ime expose?

    Haimaanishi ilikuwa ni lazima kijana ufanye punyeto katika processs ya ukuaji wako lakini pia haimanishi ilikuwa sio jambo la kawaida kufanya punyeto, ni kitu cha enzi na enzi, Lakini kwa sasa punyeto haisomeki kama step ya maisha ila inasomeka kama sehemu ya maisha, maana katika wingi mkubwa...
Back
Top Bottom