Leo nimeona thxkyu ya kijana mkoja alietutesa sana tanga
Mungu fundi..tukampta bw mmoja toka jkt
Bw huyu kuja bw ali saalum amepewa thxkyu
Namkumbusha kipa wangu bora kabisa wa ssc uwe makini
Hawao viongozi wa simba sawa na wajumbe
Wanakusifia wewe ukiitika wanakugeuka kama alkysalum...
😊, kujichua (masturbation) kwa mwanaume kuna faida kadhaa kiafya na kisaikolojia, ingawa pia ina mambo ya kuzingatia.
Faida zinazojulikana
Kupunguza msongo wa mawazo (stress) – Wakati wa kufika kileleni mwili hutoa homoni kama dopamine na oxytocin ambazo huleta hisia za furaha na utulivu...
Ni wazi polepole alikua na nafasi nzuri mno ya kushauri anachosema sasa ambacho kwa wengi kinaonekana kama ni unafiki mtupu. Ni afadhalli angeshauri wakati akiwa na nafasi halafu ushauri wake ukataliwe kwa vielelezo angalau leo hii angelionekana mtu wa maana kiasi.
Hivi sasa,
historia ina...
Waswahili husema mwanzo wa ngoma ni lele na ukisikia zindindi, zinduna haziko mbali.
Hadithi ya secretariat ya CHADEMA kutimuliwa ilianza na barua ya kada wao ndugu Mchome. Kadhalika hadithi ya CHADEMA kuzuiwa kufanya shughuli za siasa ilianza na mashtaka yaliyofunguliwa na Said Issa Mohamed...
Tumeshajiandaa kwa lolote hasa msimu huu mpya unaweza kuwa mgumu sana kwa kushindwa kuchangia chochote ccm walioenea kila idara za michezo. hata tukose kombe misimu kadhaa ijayo haitakuwa jambo la kushangaza.
kwa upande mwengine Yanga wanaweza kuwa na msimu mwepesi sana kuanzia ratiba, marefa...
Hamjambo!
Moja ya mambo niliyojifunza kwa muda mfupi kuhusu utetezi wa Haki ni pamoja na uhusiano wa Haki na Saikolojia. Na hapo ndipo nikakuta mifano halisi katika jamii yetu.
Nitakupa mifano kadhaa;
1. Huwezi tetea haki za Waumini wa Manabii wa upako ambao unahisi au unajua wanatapeliwa...
Anachanganya mada sana kadri siku zina yoenda sasa wenye akili tunajua amechanganyikiwa anahitaji msaada.
Leo karukia kwa Lisu kutafuta sympathy ya watanzania baada ya kuona kalikoroga tayari. Aliyemshauri polepole sijui alikuwa na malengo ya kumpoteza au alikuwa na maana gani.
Namuonea huruma...
1. Mbinu ya “Chaguo la Uongo” (False Choice Trick)
Mfano:
“Ungependa tukutane saa 9 au saa 11?”
Kwa nje inaonekana ni wewe unachagua, lakini kisaikolojia chaguo zote mbili zinampeleka mpangaji kwenye anachotaka.
Saikolojia Inavyofanya Kazi:
Hii inaitwa Illusion of Control. Wakati ubongo wako...
Kila kitu kinajionyesha wazi kua muungwana anapitia msongo wa mawazo wa kiwango kibaya zaidi, na binafsi yangu napendekeza apatiwe usaidizi wa mapema hasa wa kisaikolojia. Na kwa hulka yake ya kujimwambafai na kufurahisha wafuasi wake na public kwa ujumla, anaweza kuadai kwamba yupo fiti...
Leo Tarehe 7/7)2025 naandika huu uzi kama utabiri
Azam Fc ina resources zote pesa, uwanja na wachezaji wazuri wenye viwango vya kimataifa. Ni kawaida kwa mashabiki wa Simba au Yanga kuiita azam ni timu ndogo timu ya ukwsju na embe huku wengine wakiifananisha na kobe dhihaka zote huelekezwa...
Kwa mujibu wa taarifa rasmi ya CHADEMA, kuna taarifa za kijasusi zinazoibua hofu kuhusu mpango wa kumuwekea sumu Tundu Lissu akiwa kizuizini. Swali kuu ni: tunapoingia uchaguzi mkuu wa 2025, je, hii ndiyo lugha ya kisiasa tunayoruhusu kama taifa?
Kama msomi wa saikolojia ya siasa, jaribio la...
dalili
hofu
kabla
kisaikolojia
kizuizini
kukwama
kumuua
lissu
mkuu
mpango
sumu
taifa
tundu
tundu lissu
uchaguzi
uchaguzi mkuu
uchaguzi mkuu 2025
ukweli
Mpaka sasa, mwenendo wa baadhi ya viongozi wetu unaashiria kuwepo kwa tatizo la kina la kisaikolojia ambalo linahitaji kuchambuliwa si kwa mihemko, bali kwa misingi ya kitaalamu ya clinical psychology na political behavior analysis. Kitendo cha kuwatishia, kuwakamata au hata kuwapoteza raia kwa...
Sasa ndio mtajua kuwa Chadema ilijengwa na Mhe. Mbowe au Lissu.
Gharika kubwa zaidi inakuja. hakuna atakaye salia, Katibu Mkuu, Kamati kuu, Bavicha, Bawacha, wazee wa CHADEMA wote watabwaga manyanga muda si mrefu.
Atakaye enda gerezani kesho j.mosi 10/05/2025, asiache kumwambia ukweli chama...
Ni michezo kadhaa ya derby imepita tangu Simba ipate ushindi mbele ya Yanga. Baada ya hapo tumekuwa tukipokea vipigo mfululizo, ushauri wangu tujue wazi kupata pointi 3 mbele ya Yanga kwa sasa ni jambo ambalo haliwezekani ili tusije kuanza kulaumu wachezaji baada ya mechi. Walau pointi moja...
Salaam ndugu,
Moyo wa mtu ni kichaka,
Na duniani hapa, wanadamu wote hutenda DHAMBI, toba ndio kitu pekee Cha kuharakisha kufanya ikitokea umeteleza.
Ninaona unajaribu Kurudisha watu warudi kumuongelea kiongozi aliyeshindwa uchaguzi na kustaafu.
Yaliyo moyoni mwa role model wako, ummekiri...
Je, binadamu aliwekwa duniani kuishi tu kama mnyama mwingine yeyote—kula, kulala, kuzaa, na kufa bila kuuliza chochote? Je, maisha haya ni mkusanyiko wa matukio yasiyo na maana, au yana lengo ambalo linapaswa kuchunguzwa kwa undani?
Hili ni swali la msingi ambalo kila binadamu anapaswa...
Kuna jambo moja watu wengi huchukulia poa hadi wapitie wenyewe: msaidizi wa karibu sana anaweza kuwa mtesi wako mkubwa kuliko hata adui wa mbali. Ndugu zako—wale mnaoshiriki damu moja—wakiamua kukusaidia, mara nyingi wanakuwa na hidden terms and conditions ambazo hawazisemi hadharani, lakini...
Kuchepuka imekuwa kama kitu cha kawaida katika mahusiano mengi siku hizi — wengine wanakiona kama ujanja, wengine kama sehemu ya maisha. Lakini watu wengi hawazungumzii madhara makubwa yanayotokana na kutokuwa waaminifu.
Baadhi ya madhara ya kuchepuka ni:
Kuvunjika kwa imani (trust) — jambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.