kisaikolojia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Serikali kupanga upya walimu kulingana na ngazi za elimu, wenye diploma kufundisha elimu ya msingi

    Serikali imeanza mpango wa kupanga upya walimu kulingana na viwango vyao vya elimu, ambapo walimu wenye stashahada watapangiwa kufundisha katika shule za msingi huku wale wenye shahada wakielekezwa kufundisha ngazi ya sekondari. Hatua hiyo inalenga kuongeza ufanisi katika ufundishaji kwa...
  2. kali linux

    Nitaelezea kisaikolojia chanzo na tiba ya Ile hali "mbaya" kimwili na kiakili unayosikia baada ya kuzini

    Hello bosses and roses... Ni muda sana sijaandika kuhusu spirituality na psychology lakini leo nmekutana na uzi wa jamaa mmoja analalamika kwamba hakuzini kwa miezi 6 ila baada ya kuzini tu anajisikia vibaya siku ya nne sasa. Iko hivi, kwanza kabisa kabla ya kuzini mara nyingi kuna moments za...
  3. R

    Upinzani haumalizwi Kwa mkono wa chuma, bali Kwa njia mbadala kisayansi na kisaikolojia Kwa wahitaji wa upinzani wenyewe!

    Kutumia mbinu za kijima yaani mkono wa chuma Kwa kizazi kipya ni ku expose uzembe wa idara ya taifa husika katika kusoma alama za nyakati plus mahitaji ya kizazi husika! Tambiko hubadilika kutokana na mahitaji ya nyakati na kizazi ili kuepuka madhara makubwa Kwa taifa! Kama ccm ndio Tambiko...
  4. Tlaatlaah

    Digital Sadism Contents Creators wa kisiasa wamekata pumzi baada ya kubainika kua ni matapeli wa pesa kimtandao, kisaikolojia, na wapenda fujo

    Nguvu na umaarufu wa uzushi, uchochezi na porojo zao za kujaribu kuwafarakanisha wananchi na serikali yao vimekosa nguvu kabisa sasa, hasa baada ya waTanzania wengi kubaini kwamba wanarubuniwa, wanatumika na kutapeliwa kisaikolojia kwa kwa kuuziwa hadidhi, picha na video za uongo zenye maudhui...
  5. JanguKamaJangu

    Responded Tume yasema waathirika wa Oktoba 29 watapatiwa huduma ya Kisaikolojia

    TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, imesema itawapatia waathirika wa vurugu hizo huduma ya kisaikolojia kutokana na madhila za vurugu hizo kwa kuwakutanisha na wataalamu wa saikolojia. Baadhi ya waathiriwa waliofika na kutoa...
  6. S

    Jamani jobless kutatuua vijana kisaikolojia naomba msaada wenu

    Habari za mwaka mpya wan JF natumai wote wazima wa afya Kama kichwa cha habari hapo juu naomba mwenye kibarua cha kuweza kunipatia risk aniunganishe Elimu yangu : Diploma in medical laboratory na zaid ya 4years of work experience Nilikuja na uzi week chache zilizopita kujieleza kwa urefu...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    Tunakoelekea: Kama viongozi wa dini hawasikilizwi na waumini wao, basi viongozi wa kisiasa wajiandae kisaikolojia

    Hamjambo wote! 1. Mimi ni moja ya wachache ambao tunapomsikiliza mtu yeyote hatumsikilizi kwa cheo chake, umri, Hali za utajiri, rangi. Isipokuwa Nina msikiliza mtu kile anachosema kama ni KWELI, Je ni HAKI, je Kina Ufahamu, maarifa na Akili, na mwisho kina UPENDO? 2. Jambo Hilo ndilo...
  8. sanalii

    PostGE2025 Rais Samia angekuwa na Haya asingefurahia uchaguzi wa 2025

    Binadamu wa kawaida tumeumbwa na haya, sasa unapokutana na binadamu ambae amekosa haya kabisa hata mbele ya umma na kwa ulimwengu huu wa technolojia, basi huyo ujui ni tatizo kubwa sana. Yaweza kua anauwezo mdogo sana wa akili au anashida ya kiakili iliomkumba. Nasema hivi kwa sababu, katika...
  9. Mtu Asiyejulikana

    Nahitaji msaada wa kisaikolojia nimeathirika

    Kwa kweli nmeathirika sana kisaikolojia. Mwanamke akiwa na tumbo kubwa binafsi nashindwa kabisa kupata hamu ya kufanya naye mapenzi. Hili jambo limeniathiri sana. Kuna dada mmoja nampenda ananipenda mara kadhaa najaribu kufanya naye najikuta natumia nguvu kubwa sana ili nimalize. Inanidi ni...
  10. BigTall

    PostGE2025 Matukio ya Uchaguzi Oktoba 29, yalivyoacha kovu la kisaikolojia: Nani wa kutoa msaada?

    “Tulibebeshwa miili ya marehemu waliopigwa risasi… hali hii imetuathiri kisaikolojia, tusaidiwe.” Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025 umeripotiwa kuambatana na matukio mengi ambayo kwa raia wengi yalikuwa mapya na ya kutisha. Simulizi kwenye mitandao ya kijamii na mitaani zimeacha huzuni...
  11. Hance Mtanashati

    Wananchi shitukeni mnaandaliwa kisaikolojia kukubali maridhiano, maagizo mengi yatafanyika kipindi hiki ili kuwapa uhuru wa kutawala

    CCM wamefanya wanachokiweza kuhakikisha wanaingia madarakani kinguvu, wengi waliopinga suala hilo wameishia kupotezwa au kupewa kesi ngumu wengine ndio kama hivyo wamepoteza maisha. Sasa kwa kuwa serikali hii imechafuka kwa kiasi kikubwa na mataifa mengi yametupia jicho hapa nchini na wengine...
  12. FlyingDutchman

    Mbinu ya kisaikolojia iliyotumika kuwauwa ndugu zetu watanganyika kikatili kama wanyama

    Mbinu hii inaitwa " Ishara ya Usalama ya Uongo" in English "false peace signal" Nisameh sana ndugu britanicca mnamo tarehe 26 ulitupa taarifa nyeti kuhusu askari 320 wenye order ya shoot to kill siku ya tarehe 29 , nakili tumekuangusha sana tungeokoa vifo vya watu wengi kama tungesambaza...
  13. funaku

    KISAIKOLOJIA :ALIYESHIRIKI KUHARIBU MALI NA KULETA VURUGU ILIYOPELEKEA VIFO HATOISHI KWA AMANI

    Ukishashiriki katika harakati zenye kuishia katika kuharibu mali ya mtu au yenye maslahi na roho za watu basi ujue hutokaa salama kihisia na kiroho. Leo hii wapo waliopoteza ndugu zao au baba zao kisa ulishiriki kuleta vurugu hakika danu yako na vizazi vyako havitokuwa salama kiroho. Hilo ni...
  14. BICHWA KOMWE -

    GE2025 Vita ya Kisaikolojia katika uchaguzi: Matumizi ya Jeshi na Polisi

    Katika vita yoyote, mshindi mara zote ni yule mwenye kisosi jasiri, nyenzo za vita, na mbinu za ushindi. Hata hivyo, ujasiri ndio kiambata muhimu zaidi katika saikolojia ya mwanajeshi. Bila ujasiri na morali, nyenzo za vita zinaweza zisiwe na maana sana, na unaweza ukajihakikishia kuwa, jeshi...
  15. Getrude Mollel

    Sababu za Kisaikolojia na Kimuundo Zinazofanya Maandamano Kama ya Kenya, Nepal au Madagascar Yasitokee kwa Tanzania.

    Utulivu wa kisiasa wa Tanzania, ukilinganishwa na nchi nyingine za Afrika na Asia ambazo zimepitia machafuko au mapinduzi ya umma, unatokana na misingi ya kihistoria na mshikamano wa kisaikolojia uliojengeka kwa muda mrefu. Ufuatayo ni uchambuzi wa sababu tano kuu za kisaikolojia na kimuundo...
  16. H

    Kila utekaji ni afande Mafwele, hivi ndugu wa waathirika wameshindwa kushughulika naye hata kwa radi?

    Nasikitika sana kuona watu wanamtaja afande mafwele kushiriki ktk kila utekaji na wakati huohuo wakishindwa kuchukua hatua dhidi yake. Hivi kweli ndugu wa waathirika wameshindwa kuungana na kushughulika na Mafwele wala ndugu zake ili kulipiza? Kwa hali hii kweli mtaweza kuandamana hiyo tarehe...
  17. Pdidy

    Kipa wangu wa JKT to Simba Aliy Salum alikuja na sifa hizi hizi kapewa thnkyu..jiandae kisaikolojia

    Leo nimeona thxkyu ya kijana mkoja alietutesa sana tanga Mungu fundi..tukampta bw mmoja toka jkt Bw huyu kuja bw ali saalum amepewa thxkyu Namkumbusha kipa wangu bora kabisa wa ssc uwe makini Hawao viongozi wa simba sawa na wajumbe Wanakusifia wewe ukiitika wanakugeuka kama alkysalum...
  18. F

    Kujichua, faida kiafya na kisaikolojia na mambo ya kuzingatia

    😊, kujichua (masturbation) kwa mwanaume kuna faida kadhaa kiafya na kisaikolojia, ingawa pia ina mambo ya kuzingatia. Faida zinazojulikana Kupunguza msongo wa mawazo (stress) – Wakati wa kufika kileleni mwili hutoa homoni kama dopamine na oxytocin ambazo huleta hisia za furaha na utulivu...
  19. Hyrax

    Kisaikolojia: Mtu mkimya ana Nguvu kuliko mtu mwenye kelele

    Copy hii code kisha ishi nayo.
  20. Hyrax

    Kisaikolojia: Unapokuwa kwenye mazungumzo, ukitaka mtu akwambie ukweli unaoutaka mfanye acheke kwanza.

    Copy Code;
Back
Top Bottom