Wakati kuna Nuru, sio tu kuhusu kile ambacho macho yako yanaweza kuona ni kuhusu kile ambacho akili yako inaweza kuelewa. Hapo ndipo jicho la tatu linapoingia. Ni kama maono yako ya ndani, sehemu yako ambayo huona zaidi ya mambo ya nje. Nuru inapogusa sehemu hiyo yako, hufungua ufahamu wako na...
Hello jamiiforums
Leo tuangalie watanzania wenye vipato fulani si vikubwa ila kuna vitu viko ndani ya uwezo wao
Sadaka siyo lazima utoe kwenye nyumba za ibada,hapana!
Fanya haya ili kukuza biashara na kazi zako hakika kama unaamini katika Mungu na roho wa kweli utayaona mafanikio na...
[4/25, 13:22] Dr Rwakiunge Anointing Oil For Everything: Yes, hilo linawezekana tena kwa urahisi sana.
Kwenye mada yetu ya Nguvu za Ziada (Paranormal abilities) tutakayoanza kuisoma mapema wiki kesho, tutajifunza mengi sana na hilo likiwemo ili wanaotaka kufanya bilocation wafanye na huo ndio...
Naomba niliweke katika picha hii
Dini inafundisha katika muktadha wa software na hardware!
Dini ni platform ya kumuongoza mwanadamu kiroho na kimwili ili aondokane na mahangaiko na mateso kutoka kwa shetani.
Huwezi kuwahubiri watu wenye njaa wakakuelewa!
Huwezi kuwahubiri watu kiroho pasipo...
JE WAIJUA NGUVU YA MVUA
♦️Unajua mvua ni BARAKA ?
♦️Mvua haishukii ardhi pekee bali inashuka na kwenye nafsi pia
♦️Mvua husafisha husda
♦️Unajua kua mvua inaweza kusikia?
♦️Unajua mvua hubeba dua zako? Omba kwa sanna ukiwa ndani ya mvua
♦️Mvua husafisha huzuni zako.
♦️Mvua huosha kile ambacho...
Ninavyofahamu, Dubai ni jiji la "Kimataifa" lililopo katika nchi ya Kiislamu!
Wakristo wanaoishi huko wanapataje huduma za kiroho?
Kuna Makanisa? Kama yapo, ni ya madhehebu gani?
Kila kitu lazima utumie nguvu kukipata,siyo uganga,nguvu ya mchungaji au Nani bali ni wewe kuandaa mipango sahihi ya kupata vitu unayotaka walau Kwa asilimia 50 ya malengo yako.
Hata wale unaowaona au kuwasikia kuwa waliirithi mali kutoka kwa Baba na babu zao,bado wanapambana kuhakikisha...
Mwanadamu ana nguvu mbili ya ndani na ya nje .
Mwanadamu ameumbwa akiwa kamili au kwa mfano wa Mungu, uungu u ndani mwake,hivyo haitaji nguvu toka nje ili aweze kujiendesha labda tu kwa asiyeelewa jinsi ya uuungu ndani mwake unafanyaje kazi,kila kitu kimo ndani mwako uhitaji mganga,nabii wala...
Kadiri tunavyokabidhi nafsi zetu kwa Mungu, ndivyo tunavyojifungua kutoka kwa vifungo vya ubinafsi na kuanza kuona ulimwengu kwa macho ya huruma na upendo. Wakati roho zetu zinapojisalimisha kwa neema ya Mungu, mioyo yetu inajawa na uchungu wa kweli, uchungu unaotokana na kuona mateso na...
1. Vyakula vya Kuimarisha Mwili
Matunda na mboga mboga: Spinachi, broccoli, karoti, parachichi, na berries (blueberries, strawberries).
Protini za afya: Maharagwe, choroko, samaki wenye mafuta kama salmoni, na karanga.
Vyakula vya nafaka nzima: Uji wa shayiri, quinoa, na mchele wa kahawia...
Habari wakuu
Naamini wengi mnavijua visima ambavyo miaka mingi havikaukiwi maji .
Maji hayo yana nguvu kiroho endapo yatatumiwa ipasavyo,
Kiimani inaaminika maji haya mtu akiyaoga kwa kunuia au kumwaga eneo la kazi, basi jambo lake halitakauka kama maji hayo yasivyokauka ktk kisima hicho...
Kwenye imani za kidini utaambiwa maisha yako si ya kimwili ni ya kiroho.
Lakini likija suala la pesa hilo ni la kimwili na wala halina mjadala kuhusu kutoa hela..😂
Kama maisha yako ni ya kiroho, Kwa nini utoe fedha kimwili?
Kama maisha yako ni ya kiroho, Hata hela na sadaka inabidi zitolewe...
kila mtu ana aura. Aura ni kiputo cha mwanga wa kiroho, sauti na hisia ambayo inamzunguka kila mtu.
✍️ Kupitia mbinu rahisi na mazoezi, unaweza jifunze kufahamu zaidi aura zako na za watu wengine.
✍️ Kwahiyo kadri unapopata mwamko wako wa kiroho basi utauona huu ulimwengu ni mpya kwako...
Habari yenu ndugu na jamaa zangu !
Kwanza ninge elezea kuwa hiki nilicho andika hapa sio hadithi ya kufikirika bali ni mambo halisi yaliyopo mitaani na kwenye yetu.
Kwanza nianze na historia Fupi ya maisha yangu shuleni.
Nisingependa kutaja jina langu ,ila kwa ufupi nilianza shule ya msingi...
Wakuu ulimwengu wa biashara upo kiroho zaidi
Ukiachana na kuwa smart kichwani Ila inabidi uwe vizuri kiroho.
Nimefanya biashara kubwa nimejionea hili swala.
Don't hustle in vain nigga
Pray pray pray.
Poleni na hongereni na kutafuta mkate wa kila siku.
Leo Tundu Lisu ameuthibitishia uma wa Watanzania na Dunia kwa ujumla kuwa yeye yupo serious katika kuleta ukombozi wa mara ya pili dhidi ya utawala wa CCM na serikali yake , ambae ni mkoloni mweusi.
Ninaomba watanzania wote wenye moyo wa...
Hello jamiiforum.
Hope mko salama
Happy birthday to me ,
Nimezaliwa tarehe 2
Mwezi wa pili
Miaka mingi iliyopita.
Hivyo ni kumbukizi nzuri kwangu
Leo tuone madhara ya punyeto kiroho si kimwili, ipo hivi punyeto au kujichua ni hali ya kujisisimua kwa kuvuta picha ya mtu fulani anatevutia...
Hellow wakuu mpo?
Hakuna asiyeyafahamu maziwa, kila mtu anayajua maziwa ni lishe muhimu kwa binadamu sababu yana virutibisho vyote muhimu. Yanaponya maradhi mbali mbali na kuua sumu yeyote mwilini.
Je wajua maziwa fresh yanaweza kutatua changamoto mbali mbali za kimaisha ikiwemo kusafisha...
Ndugu zangu shetani hajalala shetani anafanya kazi mpaka sasa. Kuna watu hawajuwi vile shetani anafanya kazi ila kwa wale tuna soma Biblia shetani sio kiumbe mzuri.
Shetani ktk hii dunia ya leo anafanya kazi kwa namna ukijuwa unaweza kuogopa watu,zawadi,maneno,vyakula, macho ya watu nk.
Ndugu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.