Kizazi cha Adam

Astronomer The Great

Astronomer The Great

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2018
Messages
823
Points
500
Astronomer The Great

Astronomer The Great

JF-Expert Member
Joined May 2, 2018
823 500
Shalom na Assalam aleykum

Zamani nilivyokuwa na miaka saba nilikuwa nafurahi ninapo sikia mtu ana jina zuri liwe la kizungu au kiarabu au la kikabila bila ya kujua maana ya jina hilo lakini kwa sasa nimegundua uzuri wa jina ni maana haijalishi kama ni kiarabu au kizungu au kikabila

Nikikumbuka kila ninapofungua biblia katika kitabu cha mwanzo na kuangalia kizazi cha adam katika mwanzo 5:1-32 sipati taswira maana ya kizazi cha adam

Labda ningependa tuangalie kizazi cha adam katika mwanzo 5:1-32

Tukianza na Adam mwenyewe,jina Adam limetokana na neno la kiebrania adamah likiwa na maana mtu au nyekundu.Waebrania wanawasimulia vizazi vyao kupitia vitabu kama huyu alikuwa mtu wa kwanza kwao

Tundelee na mwanzo 5,Baadae Adam akamzaa Sethi na lakini jina Sethi kwa kiebrania maana yake kujaaliwa au kuchaguliwa.Uthibitisho ktk mwanzo 4:25 ambapo hawa aliposema Bwana amejaalia huyu baada ya Abel kumua Kain

Sethi akamzaa Enoshi,Jina Enosh limetokana na neno la kiebrania e-nos-e-nosh ambapo mzizi wake ni anush kwa kiarabu inakuwa anuwash likiwa na maana kifo au kufa

Enoshi akamzaa Kenani na jina Kenani kwa kiebrania maana yake ni huzuni

Kenani akamza Mahalel,Jina Mahalel ni neno la kiebrania lenye muunganiko wa maneno mawili Mahal likiwa na maana mbarikiwa na el maana yake mungu

Mahalel akamzaa Yared,Na jina Yared maana yake kushuka

Yared akamzaa Enoko na jina Enoko kwa kiebrania limetokana na neno Chanock likiwa na maana kufundisha

Enoko akamzaa Methuselah na neno Methuselah ni muunganiko wa maneno mawili kwa kiebrania muth kifo na Shalah kitaleta au kuleta

Methusela akamzaa Lameki na neno Lameki ni neno la kiebrania ambapo waingereza wanalitumia mpaka leo Lament likiwa na maana kukata tamaa

Lameki akamzaa Nuhu(Noah) na jina Nuhu kwa kiebrania limetokana na neno Nocham likiwa na maana mapumziko

Ukikusanya kizazi chote cha Adam inakuwa kama ifuatavyo:-

Adam-Mtu
Sethi-Amejaaliwa
Enoshi-Kufa
Kenani-Huzuni
Mahalel-Mbarikiwa mungu
Yared-Atashuka
Enoko-Kufundisha
Methuselah-Kifo chake kitaleta
Lameki-Kukataa tamaa
Nuhu-Mapumziko

Ukikusanya vizuri kwa pamoja itasomeka katika mwanzo 5:1-32 vinaleta maana ifuatayo Mtu Amejaaliwa kufa (na) Huzuni (lakini) Mbarikiwa mungu atashuka (chini) Kufundisha (na) Kifo chake kitaleta Kukata tamaa (na) Mapumziko

NB: Huu uzi si wa dini ukileta habari za ushabiki wa dini sina muda ila mwenye uelewa zaidi katika kizazi hiki cha adam atusaidie tupate elimu dunia na elimu akhrea
 
C

Christian Brother Hood

New Member
Joined
May 31, 2018
Messages
4
Points
45
C

Christian Brother Hood

New Member
Joined May 31, 2018
4 45
Abel na Kain kwanini hawapo?
 
Astronomer The Great

Astronomer The Great

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2018
Messages
823
Points
500
Astronomer The Great

Astronomer The Great

JF-Expert Member
Joined May 2, 2018
823 500
Hivi kati ya Adam na hivyo vizazi vyake ulivyoorodhesha na Lugha ya kiebrania ni kipi kilianza?
Fikiria kwanza tena kwa umakini kabla sijakijibu jaribu kuusumbua ubongo utaona jibu limeshakuja
 
masoud mshahara

masoud mshahara

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2018
Messages
4,746
Points
2,000
masoud mshahara

masoud mshahara

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2018
4,746 2,000
Shalom na Assalam aleykum

Zamani nilivyokuwa na miaka saba nilikuwa nafurahi ninapo sikia mtu ana jina zuri liwe la kizungu au kiarabu au la kikabila bila ya kujua maana ya jina hilo lakini kwa sasa nimegundua uzuri wa jina ni maana haijalishi kama ni kiarabu au kizungu au kikabila

Nikikumbuka kila ninapofungua biblia katika kitabu cha mwanzo na kuangalia kizazi cha adam katika mwanzo 5:1-32 sipati taswira maana ya kizazi cha adam

Labda ningependa tuangalie kizazi cha adam katika mwanzo 5:1-32

Tukianza na Adam mwenyewe,jina Adam limetokana na neno la kiebrania adamah likiwa na maana mtu au nyekundu.Waebrania wanawasimulia vizazi vyao kupitia vitabu kama huyu alikuwa mtu wa kwanza kwao

Tundelee na mwanzo 5,Baadae Adam akamzaa Sethi na lakini jina Sethi kwa kiebrania maana yake kujaaliwa au kuchaguliwa.Uthibitisho ktk mwanzo 4:25 ambapo hawa aliposema Bwana amejaalia huyu baada ya Abel kumua Kain

Sethi akamzaa Enoshi,Jina Enosh limetokana na neno la kiebrania e-nos-e-nosh ambapo mzizi wake ni anush kwa kiarabu inakuwa anuwash likiwa na maana kifo au kufa

Enoshi akamzaa Kenani na jina Kenani kwa kiebrania maana yake ni huzuni

Kenani akamza Mahalel,Jina Mahalel ni neno la kiebrania lenye muunganiko wa maneno mawili Mahal likiwa na maana mbarikiwa na el maana yake mungu

Mahalel akamzaa Yared,Na jina Yared maana yake kushuka

Yared akamzaa Enoko na jina Enoko kwa kiebrania limetokana na neno Chanock likiwa na maana kufundisha

Enoko akamzaa Methuselah na neno Methuselah ni muunganiko wa maneno mawili kwa kiebrania muth kifo na Shalah kitaleta au kuleta

Methusela akamzaa Lameki na neno Lameki ni neno la kiebrania ambapo waingereza wanalitumia mpaka leo Lament likiwa na maana kukata tamaa

Lameki akamzaa Nuhu(Noah) na jina Nuhu kwa kiebrania limetokana na neno Nocham likiwa na maana mapumziko

Ukikusanya kizazi chote cha Adam inakuwa kama ifuatavyo:-

Adam-Mtu
Sethi-Amejaaliwa
Enoshi-Kufa
Kenani-Huzuni
Mahalel-Mbarikiwa mungu
Yared-Atashuka
Enoko-Kufundisha
Methuselah-Kifo chake kitaleta
Lameki-Kukataa tamaa
Nuhu-Mapumziko

Ukikusanya vizuri kwa pamoja itasomeka katika mwanzo 5:1-32 vinaleta maana ifuatayo Mtu Amejaaliwa kufa (na) Huzuni (lakini) Mbarikiwa mungu atashuka (chini) Kufundisha (na) Kifo chake kitaleta Kukata tamaa (na) Mapumziko

NB: Huu uzi si wa dini ukileta habari za ushabiki wa dini sina muda ila mwenye uelewa zaidi katika kizazi hiki cha adam atusaidie tupate elimu dunia na elimu akhrea
Kwanini huishie kwa Nuhu?
 
Astronomer The Great

Astronomer The Great

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2018
Messages
823
Points
500
Astronomer The Great

Astronomer The Great

JF-Expert Member
Joined May 2, 2018
823 500
Hicho kitabu kilitungwa na watu kama wewe ndiyo maana kimeenda kwa hesabu kama ulivyo sema hapo juu ila mbele walijichanganya.
Inaonekana una points nzuri embu tufafanulie ili tupate kujifunza walijichanganya vipi?
 
Kipanga boy

Kipanga boy

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Messages
1,253
Points
2,000
Kipanga boy

Kipanga boy

JF-Expert Member
Joined May 28, 2017
1,253 2,000
Wanasema huwa kinajitafsiri chenyewe mm nikisoma kitabu cha genesis kuanzia adam hadi nuhu sipati taswira
Taswira umeshaipata sema hujataka kutumia, kuna mtu alisema neno lililotajwa Mara nyingi zaidi kwenye biblia ni "usiogop" la pili ni "kufa" nilibaki mdomo wazi aliposema lengo la biblia ni kukutoa hofu ya kufa huku shetani akitumia woga wa kufa kuuutesa ulimwengu
 
Astronomer The Great

Astronomer The Great

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2018
Messages
823
Points
500
Astronomer The Great

Astronomer The Great

JF-Expert Member
Joined May 2, 2018
823 500
Taswira umeshaipata sema hujataka kutumia, kuna mtu alisema neno lililotajwa Mara nyingi zaidi kwenye biblia ni "usiogop" la pili ni "kufa" nilibaki mdomo wazi aliposema lengo la biblia ni kukutoa hofu ya kufa huku shetani akitumia woga wa kufa kuuutesa ulimwengu
Nimekuelewa hapo umesma neno la kwanza usiogope na lipi ni kufa mimi nimechukua somo lako hili usiogope na kufa
 
Forum statistics

Threads 1,284,931
Members 494,336
Posts 30,845,470
Top