kipindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kipindi raisi MOI kenya kuna waziri alikuwa anampinga alikufa kifo kibaya na kila mtu aliyefahamu alikufa ndio ujue serikali ni genge chachafu ikifika

    Kuna waziri mmoja kenya ilitokea kupishana na waziri mwenzake sababu ya kuona raisi mambo yake. Lile tukio la mdude mbeya ndio lilimtokea ila kwa vile alikuwa na mguu wa kuku alipambana nao ila walimchukua na kwenda kumtupa porini akiwa amekufa. Kisa kikaanza hapo yani shaidi wa kwanza tena...
  2. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Katika kipindi cha Julai 2024 hadi Aprili 2025, Mfuko wa Utamaduni na Sanaa Tanzania umetoa mikopo yenye thamani ya Shilingi bilioni 2.69 kwa miradi

    Katika kipindi cha Julai 2024 hadi Aprili 2025, Mfuko wa Utamaduni na Sanaa Tanzania umetoa mikopo yenye thamani ya Shilingi bilioni 2.69 kwa miradi 143 ya utamaduni na sanaa.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Yanga inashuka daraja kipindi cha uchaguzi? Hizi hasira za wanayanga watazielekezea kwa utawala uliopo

    Nasemaje...? Ole wake hili liwe kweli, utawala huu uliopo utajutia, utajiongezea upinzani zaidi kwa wanachi hasa mashabiki wa Yanga watauchukia na kuwa sehemu ya upinzani Naiomba serikali isiruhusu hizi akili za kijinga TFF kuishusha daraja Yanga! Na ikiruhusu hili litokee, basi kile...
  4. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Serikali imeendelea kuhakikisha kwamba wawekezaji kwenye Sekta ya Madini wanawajibika kwa jamii Katika kipindi cha Julai 2024 hadi Machi 2025 kiasi

    Serikali imeendelea kuhakikisha kwamba wawekezaji kwenye Sekta ya Madini wanawajibika kwa jamii Katika kipindi cha Julai 2024 hadi Machi 2025 kiasi cha bilioni 20.15 kimetumika kwa ajili ya miradi mbalimbali ya CSR kwa Halmashauri na miji inayozunguka migodi
  5. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Matajili wote mnaopenda kuvaa vito vya thamani, kuweni makini.

    Matajiri wote mnaojijua mnavaaga vito kama vile saa, pete mikufu ya almasi au dhahabu na vitu vingine vya thamani na ni mtu wa watu, mtu wa mitandao (public figure), basi fanyeni harakati zenu kimachale...kaeni chonjo. Ikiwezekana kwa kipindi hiki tengeneza Pete saa au mikufu bandia, na ile...
  6. Fbn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ripoti ya BBC iliyofichua mauaji gen-z kipindi cha maandamano, waandishi wa habari 4 hawajulikani walipo mpaka sasa

    Kipindi cha maandamano ya gen-z kule Kenya mpaka kufikia kwenda bungeni na kutokea mauaji ambayo inashutumiwa KDF ambalo ni jeshi la Kenya kuhusika sasa, BBC ilitoa taarifa kupitia kipindi chake BBC EYE. Wahandishi wa habari walikuwa wamechukua matukio na kupeleka BBC mpaka sasa hawajulikani...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Hivi hii nchi ina waziri mkuu kweli? Au tulimuoverate tu kipindi kile cha kufoka foka.

    Nchi kwa sasa inajiendesha yrnyewe na imefila kwenye ile formulae ya survival of the fittest. Kama huauko fit kujilinda basi unatekwa na wasiojulikana au hakuna anayekujali kabisa as if serikali haipo but waziri mkuu yupo na akishtukiwa huwa anaenda kufoka mikoani with no utekelezajia. He is a...
  8. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Viongozi wasio na Hekima waliibuka kipindi cha JPM na kisha kipindi cha Samia. Hii ni aibu

    Tabia ya Viongozi kusemana kwenye Media na Majukwa ni moja ya Ishara CCM ni chama cha Mfu na hakina maadili. Nepotisme and Favoritisme ni LAANA Nchi haina maendeleo but viongozi wanasutana kama wakewenza ! Heshima ya Utumishi wa Umma imepotea sana. Pia vijana wengi wanaopewa nafasi ni...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hersi uwanja uliotuahidi kutujengea wakati wa kampeni, umefikia asilimia ngapi?

    Nasikia uko mbioni kukamilika wote, hivyo GENTAMYCINE kama mwana Yanga SC lia lia naomba kujua ulikofikia kwa sasa.
  10. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa kipindi cha bao la asubuhi cha leo,ni mujarabu

    Leo chisano jr,gift choni omulangira,che lutengano nazareth upete kuhusu udhaifu wa tff na bodi ya ligi mujarabu kwelikweli,hawa jamaa wamemaliza kitu,yanga mechi na simba hawachezi,labda kama kwenye mechi zake 3 zilizobaki wafungwe moja
  11. Lavit

    JamiiForums Tanzania Barabara za Dar es Salaam kipindi cha mvua zinasumbua sana

    Wakuu tuseme tu ukweli hii nchi bado ni ya hovyo sana, hizi barabara kipindi cha mvua ni mtihani sana hasa ukiwa na gari ya chini! Ukiwa unapita hizi barabara kuu unaweza ukasema mji si ndo huu! Sasa jana nilitoka Kimara nikaenda Tabata, mtaani kwetu kuna madimbwi ila sio ya kutisha kushindwa...
  12. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania kama unataka kiwanja nunua kipindi hiki cha mvua ulijue eneo vizuri

    usinunue kipindi cha kiangazi kama unataka kiwanja tafuta msimu wa mvua eneo unaliona vizuri kama lina asili ya matope au kuna maji yanapita chini kwa chini ili kuepuka changamoto.Na bora matope kuliko ununue kiwanja sehemu ambayo ni wetland.kiangazi hutagundua .
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mitume na Manabii walikuwa maadui wakubwa wa selikari za kipindi hicho, hawa wa leo?

    Ukisoma historia za Dini toka enzi za Mitume na Manabii,Viongozi wote wa Dini walikuwa tofauti na selikari zao za kipindi hicho, sababu ya kuwa na Imani ya Muumba wao, wakazisimamia jamii walizokuwa wanaziongoza na wakakinai ya dunia ,yaani kutokuvithamini vitu vya dunia mali na anasa zake...
  14. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Katika kipindi hiki cha Pasaka jamaa mmoja ameenda na kondoo Hekaluni huko Israel

    Katika kipindi hiki cha Pasaka huko Jerusalem Israel jamaa mmoja jana alienda Hekaluni akiwa na kondoo kwa nia ya kwenda kutoa sadaka ya kuteketezwa baadaye Alikamatwa na polisi walieko kwenye eneo hilo ambalo ni Takatifu kwa Wayahudi, Wakristo na waislamu. Eneo hilo lilikabidhiwa waislam...
  15. MK254

    JamiiForums Tanzania China ililazimisha jamii ndogo ya waislamu wa huko watume video zao kuonyesha wanakula kipindi cha ramadhani

    Kwa mujibu wa taarifa ya TV ya waislamu MNTV, ni kwamba China ililazimisha watu hilo jamii ndogo la waislamu huko kwamba wasifunge ramadhani na watume video kila siku kuonyesha wanakula, ni nchi ambayo imekataza mavitu ya hiyo dini ya kiislamu ambayo husababisha watu wanaingiwa na mihemko ya...
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa madogo wa sasa wa samba boys kweli wataifikia kiwango hii brazil ya kipindi kile

    Na hapo unaambiwa ronaldo alikuwa ana kilo kama 5000 hivi 😁😁 https://youtube.com/shorts/PwnEbSL0oX8?si=GA4CBzUUyhrbYj5s
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha uchaguzi, vyama vyenye wagombea tu ndivyo viruhusiwe kufanya mikutano ya kisiasa, ambavyo havishiriki visubiri baada ya October.

    Ni vyama vile ambavyo vitashiriki uchaguzi mkuu na kuwasilisha wagombea na ratiba za kampeni ndivyo viruhusiwe kufanya mikutano ya kisiasa. Hii itaondoa mvurugano na vurugu zisizo na msingi, na pia kuimarisha ulinzi na usalama Wahuni wengine wasubiri kwanza watu wanaotumia haki yao ya kikatiba...
  18. Half american

    JamiiForums Tanzania Kuishi na kutenda yaliyo mema ni utaratibu wa kuishi kila siku na sio kipindi fulani

    Tukiwa tunahitimisha kipindi cha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan ningependa tukumbushane kuwa kuishi kwa kutenda mema na kumuomba Mungu yapaswa kuwa utaratibu wa kila siku na sio utaratibu wa mwezi fulani tu na ukipita basi watu tunarudia maovu yetu. Hii ni fursa ya mabadiliko ndani ya...
  19. 888I

    JamiiForums Tanzania Kipindi Cha Nijuze Radio Show at Orkonerei Fm Radio

    Tumewasikiliza vijana wa Mirerani kuhusu huduma rafiki za afya ya uzazi, na tumepata maoni ya wanakijiji wa Naisinyai kuhusu ushiriki wa watu wenye ulemavu kwenye uongozi na mikutano ya maamuzi. Kupitia kipindi cha #Nijuze, sauti zao zimepata nafasi ya kusikika na viongozi wametoa ahadi ya...
Back
Top Bottom