kipindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Sabaya ungekuwa 'Smart' usingefanya Interview na Clouds FM kipindi hiki

    Unless kama mamlaka za uteuzi zimekutuma ufanye Interview ile, Ila kama ni wewe binafsi umejiamulia kwenda kufanya hiyo interview basi wewe na aliyekushauri mmebugi sana. Kubugi kwenyewe ni hivi: 1. Mnajaribu kupreempt maamuzi ya mamlaka za uteuzi kupitia propaganda. Kwamba mnataka upande wa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU, Mtumishi wa Umma anaponunua kipindi kwenye radio au TV kujadili masuala ya utendaji wa Serikali ni rushwa au si rushwa?

    Awamu ya sita inalo Jambo la kutafakari kuhusu mmomonyoko wa maadili unaoendelea Nchini. Tumewalea watu wachache wameafika mahali wananguvu kuliko Viongozi wa kitaifa. Tunaweza tukadhani tunapambana na wapinzani kumbe tunapambana kuuwa usawa katika jamii. Tuna vyombo vya dola ambavyo kwa kiasi...
  3. JamiiForums Tanzania Ushirikina ni kitu kinachochangia sana watu kuogopa kurudi vijijini kwao kipindi cha likizo

    Muhimu: kufanya mila za tamaduni mfano kuchinja mbuzi na kutumia damu katika shughuli za kienzi tamaduni haya ni mambo ambayo yapo karibu kila kabila, huu sio ushirikina bali ni tamaduni. Hapa tunazungumzia ushirikina kama kupigana vipapai (kurogana), kuamka mwili umepigwa chale, kusumbuliwa...
  4. JamiiForums Tanzania Watangazaji wa Kipindi cha Asubuhi Wasafi FM punguzeni 'Kujikomba' kwa Viongozi wa Serikali na wa Chama cha Mapinduzi kwani 'Mnaboa' mno

    Huko mwanzo nilipokuwa nikiwasikia nikadhani labda mtajirekebisha nayo kwani hata Clouds FM na Clouds tv 360 walikuwa na 'Upuuzi' huu ila sasa naona nanyi mmeuiga 'Utamaduni' huu. Hii Nguvu ambayo Watangazaji wa Kipindi cha Asubuhi cha Wasafi FM mnaitumia kwa Kujikomba ( Kujipendekeza ) kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Uchumi wa Tanzania ulikua kwa 6.9% au zaidi kipindi cha mwaka 2017-2019

    - Mpaka napoongea saaahv Tanzania has a gdp of ~($70B)+, nyuma kidogo ya kenya wenye gdp ya ($100B)+, wakati magufuli anaingia madarakani tanzania ilikua na gdp ya $(45.68B), Benki ya tanzania pia ilirekodi ukuaji wa uchumi kwa asilimia 7...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Lazaro Nyalandu ataongea na Watanzania kesho kuelezea udhaifu wa Upinzani kupitia kipindi cha Clouds 360

    Aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds. Wananchi wote mnaombwa kufuatilia ili muyselewe madhaifu ya upinzani na hasa Chadema na...
  7. JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini na Watanzania, hiki ni kipindi cha kumuombea sana Rais wetu Sami zaidi kipindi kingine chochote

    Tukiwa tunapitia kipindi hiki cha mabadiliko ya ghafla ya uongozi wa juu wa nchi yetu ambayo hayakuhusisha uchaguzi. Watanzania tunatakiwa kusimama imara sana, tunatakiwa kuiangalia nchi na kuweka matakwa yetu binafsi kando, tunatakiwa kulinda tunu za taifa letu na kuweka itikadi zetu pembeni...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi wazawa wa kanda ya ziwa tunajifunza nini kipindi hiki Cha mabadiliko ya uongozi? Tulisimama kwa Hali?

    Nimtizamo wangu kwamba tunaliwa vichwa kimya kimya bila kupigiwa kelele. Nadhani tunapoelekea wale watu wote waliopanda kwa kasi miaka mitano iliyopita na wakashindwa kumaintaini nidham kwa wengine tayari wamekwisha. Kwenye chama tumepotea na hakuna anayetaka kutusikia, kwenye serikali...
  9. JamiiForums Tanzania Kipindi cha Dakika 45 ITV: Wakati umefikia sasa kuruhusu maswali kwa wageni waalikwa

    Wanajanvi. Hiki ni kipindi kizuri sana. Ni kipindi cha muda mrefu na maarufu hapo ITV. Wanaalikwa watu wazito wenye maslahi kwa umma! Mwandaaji wa kipindi bi Farhia anajitahidi sana kauliza maswali fikirishi kwa wageni wake. Hata hivyo kipindi kinakosa mvuto. Ni cha upande mmoja. Muulizwa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Godwin Gunele: Rais ni taasisi hivyo Kikatiba inabadilika kila baada ya miaka 5, hivyo Rais Samia anatumikia kipindi cha Hayati Magufuli

    Mwanasheria nguli Dr Godwin Gunele amesema Rais siyo mtu bali ni taasisi ambayo kikatiba inakaa kwa miaka 5. Kwa maana hiyo awamu tuliyopo ni ya 5 siyo ya 6 kwa sababu Rais Samia siyo " President elect" bali ni makamu wa Rais aliyechukua nafasi ya Rais aliyefariki. Dr Godwin anasema hata...
  11. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Kauli ya Rais Samia Suluhu kipindi cha kampeni 2020

    Kauli hii ilitolewa na Mh. Rais Samia Suluhu kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu uliofanyika Octoba 2020
  12. J

    JamiiForums Tanzania ITV kumkaribisha Dkt. Marcus Albanie wa CHADEMA katika kipindi cha Kipima Joto ni jambo la kupongezwa

    Jana ITV walimualika kamanda wa Chadema Dr Marcus Albanie kwenye kipindi cha Kipima Joto kilichohudhuriwa pia nu CAG mstaafu CPA Uttoh. Kwa kipindi kirefu makamanda wa Chadema hawajaonekana katika vipindi vya Malumbano ya Hoja na Kipima Jotto kama tulivyozoea na badala yake wamekuwa wakialikwa...
  13. JamiiForums Tanzania Kipindi mzee wangu Magufuli yupo walikuwa hawaongei ameondoka sasa ndio wanajidai wanajua kutumia maiki

    Kipindi mzee wangu JPM yupo walikua hawaongei ameondoka Sasa ndio wanajidai wanajua kutumia maiki. Watu hadi wanatunisha mishipa na misuli kama yote. Mpaka unaweza kukimbia yaani. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Msitufokeee bhanaaa, kama mlikua na ubavu mngezungumza kipindi yupo, huo ndio uanaume kinyume na...
  14. JamiiForums Tanzania Freemason wa enzi za Kikwete walienda wapi?

    Salaam kwenu wakuu, Kama mada ilivyo naomba kuuliza wale jamaa waliokua wanamiliki mikwanja na ndinga kali town mpaka wananzego wakaaminishwa mafanikio mpaka uwe freemason wako wapi wakati huu? Mbona uvumi wa hiyo jamii ya siri umepoa kwanini? Nao vyuma vimekaza? Au ndio walukua wazee wa...
  15. JamiiForums Tanzania Mnaosisitiza Rais Samia atakuwa 'one term President' mlisikia wapi kuwa anataka kipindi cha pili?

    Naona wanaharakati wa twita kila baada ya sentensi mbili kuhusu Mama yetu kipenzi mnasema atakuwa 'one term president'. Hivi ni lini alisema anataka vipindi viwili? Considering namna alivyoingia madarakani, hamfikirii kuwa labda alikuwa na mipango yake kabla msiba haujaingilia kati? She might...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mavazi ya kuepuka katika kipindi cha mvua

    Epuka nguo nyeupe, viatu virefu, kaptula, mapambao mengi kama hereni au mkufu, vilevile usivae sketi au gauni zinazomwaga. Ni vizuri ukawa na kawaida ya kubeba mwamvuli mdogo unaoweza kuweka kwenye pochi au begi katika kipindi cha mvua.
  17. J

    JamiiForums Tanzania Aina ya mavazi yenye muonekano mzuri ukiwa kazini katika kipindi cha mvua

    Vaa sweta na snika. Snika ni viatu aina vyenye muonekano kama raba. Unaweza kuvaa sweta ndefu na suruali kwa mwanamke, kama utavaa sketi au gauni ni vizuri ukavaa sweta fupi ili uwe na muonekano mzuri zaidi. Kwa mwanaume vaa suruali na sweta fupi kiasi, sweta inayofika hadi shingoni ina mvuto...
  18. JamiiForums Tanzania 'Vetiver' nyasi zenye uwezo wa kuzuia mmomonyoko wa udongo

    VETIVER GRASS Vetiver Grass ni aina ya nyasi ndefu zenye majani marefu, membamba na magumu. Vetiver Grass kwa jina la kisayansi zinajulikana kama "Chrysopogon zizanioides" na asili yake ni India. Vetiver Grass zinauwezo wa kukua mpaka sentimita 150 ambazo ni sawa na futi tano na mizizi yake...
  19. JamiiForums Tanzania Kipindi unaanzisha biashara hali ilikuwaje?

    Wakuu habari, Katika vitu vigumu katika biashara ni kufanya biashara uizoee na ikuzoee, pia ukiona biashara yako imesimama vizuri sana nina imani ni baada ya kipindi kirefu kupita Katika biashara wengi huwa tunawahi kukata tamaa kwa kuwa tunaingia tukiwa na matarajio makubwa. Walio wengi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…