kipaumbele

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    Tetesi: Imevuja: Njama ya kuifuta CHADEMA yabainika, Ndio kipaumbele cha kwanza cha Mwigulu

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba tayari mipango ya kuifuta Chadema kwenye Daftari la Msajili imekamilika Habari zingine zinadokeza kwamba huo ndio ushauri wa Mwigulu Nchemba kama Kipaumbele chake cha kuleta maendeleo Usiondoke IF kwa ajiri ya Taarifa zitakazofuatia Baada ya Timu Yetu...
  2. Fbn

    Kuna mada hapa JF haikupewa kipaumbele ila Kitima alipoeleza mmeelewa

    Kitima anacho sema nilisema kabla ya kitima kuwa kuna watu walizikwa wakiwa wazima ila waliitaji kutibiwa majerehaa ya risasi,wengine walipelekwa mochwari,wengine waliitaji ICU, wengine walimaliziwa kabisa kuficha ushaidi. Na hii order ilikuwa na vikosi maalumu ambavyo mpaka wengine idara...
  3. Just Pray

    GE2025 Balozi Nchimbi: Mgombea aliyeshinda kura za maoni apewe kipaumbele cha kuteuliwa au kupendekezwa na vikao

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeelekeza kuwa katika mchakato wa uchujaji na uteuzi wa wagombea wa nafasi za ubunge, uwakilishi na udiwani kwa Uchaguzi Mkuu wa 2025, mgombea aliyeshinda kura za maoni apewe kipaumbele cha kuteuliwa au kupendekezwa na vikao husika ili mchakato uendelee. Kwa mujibu...
  4. Dalton elijah

    Msongo wa Mawazo: Janga Lisilopewa Kipaumbele

    Msongo Wa Mawazo ni tatizo kubwa barani Afrika, lakini bado haupewi uzito unaostahili. Watu wengi wanateseka kimya kimya kwa hofu ya kuhukumiwa, wakibeba maumivu ya kiakili yanayoharibu afya zao, familia zao, na maisha yao kwa ujumla. Jamii zetu zimezoea kuficha mateso ya ndani kwa maneno kama...
  5. W

    Ni kwa nini degrees na diploma za IT zinazidi kukosa soko kwenye ajira zisizo na connection, kipaumbele ni computer science na computer engineering ?

    IT iliwahi kuwa kozi yenye dili sana lakini sikuhizi imekuwa haipewi kipaumbele, ajira nyingi wana prefer kushortlist computer rngineering na computer science
  6. M

    Ziara ya Rais Samia Maswa: Maswali Yaibuka Kuhusu Kipaumbele cha Miradi

    Wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akitarajiwa kutua wilayani Maswa kwa ziara ya kihistoria, sintofahamu imeibuka miongoni mwa wananchi na wadau wa maendeleo juu ya maamuzi ya ratiba ya shughuli atakazozindua. Katika ratiba rasmi, Rais Samia amepangiwa kuzindua...
  7. BigTall

    Edo Kumwembe: Viongozi wa Nchi Masikini wanapenda sana ufahari, alichokisema Tarimba si kipaumbele cha Mtanzania

    Mchambuzi wa masuala mbalimbali ya Kijamii ikiwemo Michezo na Siasa, Edo Kumwembe kupitia Kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi FM amechambua kauli iliyotolewa na Mbunge wa Kinondoni, Abbas Tarimba ambaye alipendekeza Wabunge wapewe 'plates number' maalumu zitakazowatambulisha barabarani kwenye...
  8. Stephano Mgendanyi

    Sanaa za Michezo Zinapewa Kipaumbele Katika UMITASHUMTA & UMISSETA

    SANAA ZA MICHEZO ZINAPEWA KIPAUMBELE KATIKA UMITASHUMTA & UMISSETA Ngoma za asili, kwaya na Muziki wa Kizazi kipya (Bongo Flavor) ni sehemu ya fani ambazo zimekuwa zikishindaniwa katika Mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma Tanzania kwa shule za Msingi na Sekondari (UMITASHUMTA &...
  9. Mshana Jr

    Tuna mengi ya kujifunza Burkinafaso

    Rais wa Burkinafaso Bwana Ibrahim Traore ameamua kuwaongezea mshahara walimu na madaktari nchini kwake Burkina Faso huku akiwa ameshusha mishahara ya wabunge wa nchini humo. Maoni ya mdau: Yaani kaangalia kaona wabunge wanachukua pesa za bure bila kufanya kazi, hizo pesa bora nikawaongezee...
  10. R

    Kwa huyu kocha mpya wa Yanga, Dube kupewa kipaumbele na Aziz Ki kutumia nguvu nyingi kwenye pisi, Kipigo hakikwepeki Derby, Simba wanazirudisha zote 5

    Zinarudi zote na zinaweza kuzidi, Kocha mpya wa Yanga itamchukua muda mrefu kuingiza kikosi kwenye mfumo wake, Motivation ipo chini, wachezaji wamechanganyikiwa kubadilishwa makocha kila leo, Mindset za wachezaji wanajua kocha mpya anatimuliwa muda wowote. Unahitaji akili za kawaida kabisa...
  11. Daby

    Ulinzi uwe kipaumbele historia ya Habyrimana na Ntaryamira isijirudie

    Marais wa EAC na SADC wasicheke na Rwanda, Uganda na waasi...... chochote kinawezekana....ni aheri kuogopa nyasi kuliko kun'gatwa na nyoka. Waasi wakitangaza kusitisha mapigano mara nyingi kuna jambo wanalipanga. DRC na Burundi kuweni makini....mnaweza kuwa mkutanoni na PK mkiwa mnarudi...
  12. matunduizi

    Pastor Tony: Kwenda mbinguni sio kipaumbele cha mkristo, Pesa ndio kipaumbele

    Anasema ndio maana kitabu kinachohusu watu kwenda mbinguni (ufunuo) kimewekwa mwisho kwa maana sio kipaumbele cha Mungu. Kipaumbele cha mcha Mungu ni Hela au Pesa. Anasema hata ukimuita popote atatetea hoja yake. 👇👇👇👇👇 https://vm.tiktok.com/ZMkHPdmAq/ My take. Miaka ya mwanzoni mwa tisini...
  13. W

    Moto wa california ni mwanzo tu, Sifa zinawekwa kando watu wanapewa kazi kwa kuwapa kipaumbele waliobadili jinsia, wamarekani weusi, wanawake, n.k.

    DEI (Diversity, equity and Inclusion) ni ajenda inayotumika kwenye baadhi ya majimbo ya marekani hasa yale yenye uwakilishi wa chama cha Democrats walichomo kina Kamala Harris, Lengo la DEI ni kufanya sehemu za kazi na uongozi kuwepo na watu wa matabaka mbali mbali Tatizo linapokuja hii DEI...
  14. Stephano Mgendanyi

    Ulega Ataka Wazawa Wapewe Kipaumbele Ujenzi wa Barabara

    ULEGA ATAKA WAZAWA WAPEWE KIPAUMBELE UJENZI WA BARABARA Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amewataka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), kuhakikisha unatoa kipaumbele kwa vijana wazawa katika ujenzi wa miradi ya barabara inayoendelea nchini ili kupata ajira, kukuza ujuzi na uchumi kwa...
  15. kwisha

    Manabii wamekuwa wengi mpaka sasa inakera

    Manabii wamekuwa wengi mpaka unajiuliza Mungu gani uyu ambaye anaonyesha manabii wake habari tofauti tofauti. Mara uyu anakuja na ili. Uyu naye anakuja na ili tofauti na la yule wakwanza God , GOD, GOD, GOD. Na wakibahatisha jambo fulani tu ndo kwisha habari zenu Kuna mmoja uko youtube...
  16. incredible terminator

    Wahadzabe ni kabila ambalo ni zaidi ya kivutio cha Utalii ila hawapewi kipaumbele kama tunavyowapa Maasai

    Kusema kweli saiz kabila la kimasai halina maajabu tena ya kufanya tuwape kipaumbele kama kivutio cha watalii kwa kuwa maisha yao ni maisha ya kawaida kabisa, ukiachana na ufugaji wao na uvaaji wao hakuna kingine cha maajabu kinachofanya kutangazwa kama kivutio cha watalii. Katika filamu ya...
  17. Tlaatlaah

    Kuukosa umakamu mwenyekiti Chadema taifa maana yake ni kukosa fursa, sifa na kipaumbele cha nafasi ya kugombea urais kupitia Chadema 2025

    Je, Tundu Antipas Lisu atavumilia kubaki mtiifu na mvumilivu kuishi katika upweke wa kutokua na nafasi yoyote ya uongozi ndani ya chadema tunapoelekea uchaguzi mkuu Oct. 2025? Au atavuka boda na kujiunga na chama kingine cha siasa kujaribu azma na ndoto yake ya kujaribu kugombea urasi tena...
  18. M

    Sekretarieti ya Ajira tunaomba ufafanuzi kuhuzu Ajira za walimu tangazo linalosambaa mtandaoni kwamba wenye kadi ya ccm watapewa kipaumbele

    Nimeweka tangazo kama linavyosomeka namba zilizotumika ni namba za UVCCM dar es salaam . Inaonekana vijana walio uvccm watapewa kipaumbele kwenye hizo ajira Huu ni mchezo ambao haukabiliki haiwezekanu tukaungiza siasa kwenye Ajira . Kua UVCCM haiwezi kukupa uhakika was Ajira tunaomba haki...
  19. Tlaatlaah

    Napendekeza bima ya afya iwe ni kipaumbele cha kwanza kwa mwaka mpya 2025 katika malengo ya kila mdau na members wa JF

    Ni hiyari sio lazima lakini ni muhimu sana, my friends ladies and gentlemen. Wazo hili limenijia baada ya kuona mateso ambayo wengi tunayapitia tunapokumbwa na dhahama za maradhi mbalimbali, na kujikuta badala ya kwenda hospital kupata matibabu ya uhakika, tunajifungia majumbani na kujifariji...
  20. Natafuta Ajira

    Usijitoe, usiwekeze, jipe kipaumbele mwenyewe

    Ukweli ni kwamba mwanamke unae-date nae kuna uwezekano mkubwa kajiweka tu kwako kwa sababu anahitaji pesa. Ni masikini, hana kazi(kama anayo kipato chake akitoshelezi lifestyle anayoitamani) na kwa sasa wewe ndie jibu la tatizo lake Atakapojipata ndio utajua ujui. Atakulaumu, atahoji hayo...
Back
Top Bottom