kiongozi

Enjo Kiongozi (born 27 March 1990) is a Tanzanian cricketer. He played in the 2014 ICC World Cricket League Division Five tournament.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya kijeshi yatoa hati kiongozi wa AFC/M23 Corneille Nangaa akamatwe

    Mahakama ya Kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imetoa hati ya kukamatwa kwa kiongozi wa umoja wa makundi ya waasi nchini humo ya Alliance Fleuve Congo (AFC/M23), Corneille Nangaa. Shirika la Habari la AP limeripoti leo Februari 7, 2025, kuwa mahakama ya kijeshi nchini humo...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Maelfu ya wakazi wa Goma wakusanyika uwanjani kusikiliza Hotuba ya Corneille Nangaa kiongozi wa AFC/M23

    Maelfu ya wakazi wa Goma Alhamis hii walikusanyika katika Uwanja wa Unity kuhudhuria mkutano wa hadhara ulioongozwa na Corneille Nangaa, mratibu/kiongozi wa Alliance Fleuve Congo (AFC/M23). Ambapo amewatambulisha maafisa wapya wa Kivu Kaskazini. Kwa mujibu wa msemaji wa AFC/M23, Laurence...
  3. Mindyou

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiongozi wa chama Thirdway Alliance asema Kenya inaweza kujitegemea bila misaada ya Marekani. Asema shida ni kubwa ufisadi na ubadhirifu

    Kiongozi wa chama cha Thirdway Alliance, Ekuru Aukot, amesema kuwa Kenya inaweza kujitegemea bila msaada kutoka Shirika la Usaidizi la Marekani (USAID) tatizo kubwa limekuwa ni rushwa na matumizi mabaya ya fedha za umma Aukot alisema kuwa Kenya inapata fedha nyingi lakini nchi hiyo haina pesa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa viti maalum Zanzibar, Tauhida Gallos amesema kuwa hakuna kiongozi atakayeihama CCM na kuifanya itetereke hata awe anapendwa vipi

    Mbunge wa viti maalum Zanzibar, Tauhida Gallos ameeleza kuwa hata aondoke nani bado chama cha mapinduzi kitaendelea kuwa imara. "Hakuna kiongozi anayeweza kukiteteresha hiki chama hata uone anapendwa vipi" Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa...
  5. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aga Khan Afariki dunia akiwa na Miaka 88

    Kiongozi wa waislamia duniani ajulikanaye kama HH The Aga Khan amefariki dunia akiwa na Umri wa miaka 88. Kwa Tanzania, Aga Khan atakumbukwa sana kwa kujenga miundo mbinu mizuri sana ya kutoa huduma za afya na elimu. Shule za Tambaza (Dar), Mkendo (Musoma), Mzizima (Tanga) ni baadhi ya shule...
  6. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa umma apimwe kwa Uwezo wake si kwa Jinsia, Ukabila, Dini, Uzanzibari au Ubara

    Salamu wakuu, Siku za karibuni kumekuwa na kundi kubwa la watu wanaopiga matarumbeta kunadi viongozi kwa munajili wa Jinsia. Watu hao wanasahau kabisa kwamba ubora wa kiongozi hautokani na Jinsia yake, Dini yake, Uzanzibari wake, Utanganyika wake, Sura yake nk. Bali ubora wa Kiongozi unatokana...
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania AI yamuweka Kagame kuwa kiongozi bora zaidi kuongoza Afrika moja iliyoungana!

    Ni ChatGPT AI
  8. L

    JamiiForums Tanzania Hakukuwa na sababu ya Profesa Mkenda kuzungumza aliyoyazungumza hadharani. Kiongozi ni kuwa na Kifua na Uvumilivu

    Ndugu zangu Watanzania, Sote tumeyasikia maneno na kauli za Waziri wa Elimu Mheshimiwa Profesa Adolph Mkenda akilalamika kuwa alizungushwa kupata nafasi ya kuonana na Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Mimi...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mbona huyu Bisimwa kiongozi wa M23 anongea kiswahili fasaha hivi?

    Huyu kiongozi wa M23 kwa nini anaongea kiswahili cha Dar es salaam kabisa? Hiki siyo kiswahili cha Congo. Wacongo kiswahili Chao tunakifahamu vizuri, hiki kiswahili cha huyu jamaa siyo cha wacongoman kabisa. Bado nahisi tuna shida mahali. Tanzania 🇹🇿 tuache mambo ya ujirani mwema...
  10. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Kiongozi anasimama mbele ya umma na kujisifia kukopa! Haya ndiyo matokeo baada ya USA kusitisha misaada

    Viongozi wengi wazalendo wa kweli waliopita walisisitiza juu ya Afrika kujitegemea na kuacha kutegemea mataifa ya magharibi. J.K Nyerere, Kwame Nkrumah, Thomas Sankara, John Magufuli na viongozi wengi mashuhuri waliweka msisitizo juu ya Afrika kutumia rasilimali zetu wenyewe kama vile ardhi...
  11. Madwari Madwari

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Nchi za Niordicc wakifanya mkutano nyumbani kwa kiongozi wa Udanish jana 26.01.25

  12. Thabit Madai

    JamiiForums Tanzania Mbeto ashauri wazanzibari kuupuza kauli za kiongozi wa AAF Said Soud

    Chama Cha Mapinduzi kimewaomba wananchi wa Zanzibar kumsikiliza, kumtafakari,kumtazama hatimaye kumpuuza Mwenyekiti wa AAFP Said Soud Said aliyedai zanzibar haina maendeleo yoyote kwa miaka mitano iliopita . Pia CCM kimeiomba Ofisi ya Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa Zanzibar...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Huyu kiongozi tusishangae akiondoka

    Hawa ni wale viongozi wasioweza kukaa bila madaraka. Ni target ya CCM kama Msigwa. Hakuchaguliwa kwenye uongozi mpya. Mke wake ni Covid 19. Huyu mwingine anatumiwa na CCM Salimu mwalimu wanaweza kumnunua lakini kwa dau kubwa sana. Mwalimu pia anaweza kwenda ACT Zanzibar wakampa cheo kule au...
  14. ITR

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa nchi kuvaa suti bila tai ikoje kiitifaki?

    Kuna huyu rais wa Iran ni mtu anaye penda kuvaa suti lakini cha kushangaza huwa havai tai. Yaani huwa ana vaa kama mshikaji fulani tu ,kiitifaki ikoje hii?
  15. I

    JamiiForums Tanzania Hivi hii hali mtaani naiona mimi peke yangu au ni kawaida hii??

    Yaani huku mtaani ni shida sana, nchi yetu imekuwa kama haina kiongozi mkuu wa kukemea yaani. ...wageni (wahindi, wachina n.k) wanazidi kuongezeka mitaani. wamegeuka mamachinga wanazungusha vyombo (uza) kwenye mitaa kwa kutumia magari (noah) wanauza bia yaani vilevi wanazunguka kwenye mabaa na...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Lissu amechangamsha CHAMA, ni kama ilivyokuwa uchaguzi 2020, na hicho ndicho awezacho, apewe maua yake lakini sio kuwa kiongozi mkuu wa CHAMA

    Watu kama Tundu Lissu wana nafasi yao ndani ya vyama vya siasa. Machachari ya Tundi Lissu yanafaa sana kuibua hamasa kwa wanachi. Si mmeona CCM wamepotea kwenye anga tangu kinyang'anyiro cha uchaguzi ndani ya CHAMA kilipoanza mwaka jana mwishoni? Ni kama Paul Makonda, anaweza kukusanya watu...
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Benson Kigaila ndie kiongozi pekee wa kizalendo CHADEMA atakayeidhibiti na kuinusuru CHADEMA

    Amefanya kazi nzuri sana pale BAZECHA na anaendelea kufanya kazi nzuri zaidi pale BAVICHA. Ni matumaini ya kila mwanachadema mzalendo kwamba, the field marshal matonya engr. Benson Kigaila hatakosea BAWACHA na kamati kuu kama kawaida yake, and the mission will be successful completed. kibaraka...
  18. Bams

    JamiiForums Tanzania Mbowe amethibitisha kuwa hata kama CHADEMA ingechukua Serikali, kama yeye akiwa Kiongozi Mkuu, hakuna la pekee

    Leo hii, kama upo ndani ya CCM, na una sifa zote, lakini ukachukua fomu kumchallenge Samia kwenye nafasi ya Urais au Umwenyekiti wa CCM, huo utakuwa ndiyo mwisho wako kisiasa ndani ya CCM. Leo hii, kama upo ndani ya Serikali, halafu ukaikosoa Serikali au Rais au mwenyekiti wa CCM, huo itakuwa...
  19. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Lissu anavimbishwa mno Kichwa na Keybord Worrior

    Yule Maria Sarungi haijulilkani hata anaishi wapi na ni Gener wa Keybord Worrior. Humu sasa ndio kuna idadi isio hesabika ya Ma Keybord Worrior ambao front laini kamwe na daima huwezi waona na hutakaa uwaone. Lisu anavimbishwa kichwa sana na hawa Keybord worrior ambao Ujasiri wao uko kwenye...
  20. Cannabis

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Hakuna kanuni ndani ya CHADEMA zinazotaka ukiwa kiongozi uchangie pesa za mkutano

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA amesema hakuna kanuni ndani ya chama hicho inayosema ukiwa kiongozi unatakiwa uchangie pesa kwa ajili ya mkutano hivyo hata akishindwa kuchangisha milioni 30 kwa ajili ya mkutano huo hatakuwa na kosa. Amesema kuhusu habari ya mamilioni yaliyochangishwa na wengine ni...
Back
Top Bottom