kingereza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Makonda akiongea Kingereza cha kubangaiza

    https://youtu.be/tXhJ6gAj-Cs?si=bEedIn-AZpN-b4LQ Aliipona English inataka kumponyoka akamshikilia Mchina kujivika ujasiri. My Take Kama kwenye CV yako umesema Iam fluent in speaking English, basi ondoa mara moja
  2. T

    Kingereza na uchumi; jipatie ofa hii ya KITABU kuboresha kiingereza kwa matumizi tofauti kiuchumi

    OFA YA KITABU CHA KIINGEREZA Mimi kama mwalimu wa kingereza imenibidi nikupe ofa ya kitabu (soft handbook) DOWNLOAD hapo👇 in case utaitaji msaada wa vitabu vingine au namuna ya kukitumia hicho kitabu (soft hand book) Tuwasiliane kwa namba 0623446608 Ubarikiwe!
  3. T

    Jifunze kingereza kwaajili ya kujiongezea mvuto wa kujiajiri/kuajiriwa/kuajiri

    OFA YA KITABU CHA KIINGEREZA Mimi kama mwalimu wa kingereza imenibidi nikupe ofa ya kitabu (soft handbook) DOWNLOAD hapo👇 in case utaitaji msaada wa vitabu vingine au namuna ya kukitumia hicho kitabu (soft hand book) Tuwasiliane kwa namba 0623446608 Ubarikiwe!
  4. Barua ya kiingereza kutoka Polisi Makao Makuu, imelia

    Imagine hii ndo barua iliyotolewa na polisi makao makuu kuhusu hali ya ndani ya nchi. Ndo maana tunasema tusomeshe watoto wetu shule nzuri na wasome elimu kuliko hizo aibu za kutojua lugha za watu. Haya ndo madhara ya kuajiri watu waliopata zero form 4 Barua imetoka makao makuu ambapo ndo roho...
  5. U

    Jamaa kaumbuka kijiweni na kingereza kibovu eti kasema I forgot my phone at home badala ya kusema I left my phone at home .

    UFAFANUZI: Forget vs. Leave I forgot my book at home. ❌ I left my book at home.✅ Many learners confuse “forget” and “leave,” but the two are not interchangeable. The phrase “I forgot my book at home” is incorrect because forget refers to failing to remember, not leaving...
  6. Waziri Kipchumba: Nawapongeza Wakenya kwa kununua tiketi za mechi ya Tanzania dhidi ya Morocco, tukikutana nao tutacheza Kingereza ili wasituelewe

    'I congratulate Kenyans who've bought Tanzanian tickets', CS Murkomen joins CHAN banter Interior Cabinet Secretary Kipchumba Murkomen has become the latest high-profile figure to wade into the lighthearted football banter between Kenya and Tanzania ahead of the 2024 African Nations Championship...
  7. Kocha Moroko na kingereza😂🤣

    Oya kama unakubali kingereza Cha kocha Moroko weka msemo wake mmoja hapo chini
  8. Kagera: Rais Samia awajengea wahaya vyuo 5 vikubwa vya VETA kikiwemo cha Burugo alichotumia TZS20bn Sasa pamoja na kupenda kingereza na Ufundi watajua

    Chini ya Rais Samia Vyuo vipya 5 vya VETA vyajengwa mkoani Kagera kikiwemo cha Burugo kilichogharimu zaidi ya TZS20bn. Rais Samia amepeleka shillingi Billioni 128 mkoani Kagera kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya elimu, bilioni 4.1 kujenga shule mpya ya bweni kwa wasichana. Katika kipindi cha...
  9. Lugha ya kiingereza ni changamoto kwa Watanzania

    Kwanini lugha ya kiingereza ni tatizo kwa Watanzania na wanafunzi wengi wa Tanzania hususan wa shule za kata
  10. Kingereza kingi na presentation nyingi kwenye makongamano ya Ulaya sio hoja ya kuzuia uchaguzi!

    Kuna vilaza wanadhani kuongea vingereza vingi kwenye mikutano na wananchi au kuwa na mialiko ya makongamano ulaya ndio sifa ya kuingoza nchi . Acheni kujidanganya...tupo wababe wa vingereza na uwezo mkubwa wa presentation and public speaking tumetulia tunawacheka tu. Acheni utoto !
  11. Wakuu hiki kigezo cha " awe amefaulu somo la hatimkato ya Kiswahili na kingereza Maneno 100 kw dakika 1.

    Habari zenu. Naomba kuuliza kw MTU ambae ana diploma ya Business Administration kw mfano hizi nafasi za mwandish mwendesh ofisi au MTENDAJI ambazo sifa Zake ni Kam ifuatavyo " Mwenye stashahada ya uhazili au Cheti cha NTA level 6 ya uhazili . Aidha awe amefaulu somo la hatimkato ya Kiswahili...
  12. M

    Kocha wa Simba ateue mchezaji (Captain) mwenye hamasa na timu na angalau anayejua lugha ya kingereza kuongea na mwamuzi

    Ubaya Ubaya! Katika mechi ya dhidi ya Al Masry, Simba imefanyiwa vitendo vya dhulma kwa kunyimwa penalty wakati Ateba amefanyiwa faulo na golikipa wa Al Masry. Tegemeo langu lilikuwa ni kumuona angalau kapteni shabalala akihamasisha wachezaji wenzake wamlazimishe refa kwenda kuangalia kwenye...
  13. Ipi ni namna sahihi ya kusema kwa kingereza hii kauli "NINAUMWA MALARIA"

    1: I am sick of malaria 2: I am suffering from malaria 3: I have malaria 4: I am sick malaria 5: I am sick with malaria 6: none of the above (iandike)
  14. Hivi wakihubiri kwa kuchanganya Kiswahili na Kingereza ndio neno linaingia zaidi?

    Imezuka tabia ya wahubiri vijana kuhubiri kwa kuchanganya kiswahili na kingereza (broken English) na tabia hii mimi binafsi inanifikirisha sana. Kiufupi nikishajua muhubiri huyu ni mchanganyaji wa lugha huwa siwezi kumsikiliza hata nusu dakika. Sijui ndio ujanja au ndio waumini wanaelewa zaidi...
  15. Walimu mwenye PDF ya mtokeo ya written interview ya Kiingereza

    kwema wakuu, kama mada inavojielza mwenye pdf naomba aweke hapa ili tujue tmepata ngap ingawa kwenye account nishakuta NOT SELECTED
  16. U

    Hivi ni mwanasiasa Gani alikuwa na Kingereza kizuri Kama B. Mkapa

    Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania kipindi Cha nyuma aliwahi kusifiwa Kwa umahiri wake wa kuongea lugha ya Kingereza na Waandishi wa Habari wa CNN wakati wakimhoji na Ile ni kutokana na umahiri wake mkubwa wa kutema Yani, kutema ung'eng'e, lugha ambayo ilikuja Tanzania Kwa Njia ya Meli...
  17. Trump ashindwa kuelewa kingereza cha India, ahitaji mtafsiri

    Nilifikiri ni mimi tu napata shida kuwaelewa wahindi na kingereza chao lakini kumbe sio mimi tu. Kwenye mkutano wa Rais Trump na Waziri mkuu wa India, Trump amelazimika kutumia wakalimani kutafsiri kingereza cha Inda ili aweze kuelewa. Kuna wakati niliwahi kufanya kazi na wahindi kutoka India...
  18. Safari yangu ya kujifundisha kingereza kupitia simu

    Kwa hatua hii je? Niendelee kujifunza au nitakuwa napoteza tu muda wangu? Nia ninayo. Asante sana kwa mdau mmoja aliyenipa hii njia naamini nitatonoa kwa kiasi chake.
  19. Watanzania imefika kipindi sasa tusizuzuke sana na lugha za Kingereza na Kiswahili kwa wasio Watanzania

    Hii tabia ya kuzuzuka na kusheherekea pale Mtanzania hasa mwanasiasa akijua kuongea Kingereza hata kwa kunyoosha sentesi mbili tu imepitwa na wakati na ni ushamba. Pia wanasiasa wasiojua Kingereza ni vyema wakatumia Kiswahili tu, hakuna aibu kutumia lugha yako unayoimudu vizuri, hakuna haja ya...
  20. Nataka kujua kingereza ni njia gani nzuri?

    Kwa darasani kwa sasa ni ngumu kurudi labda naweza pata njia nyingine nzuri ya kufahamu hasa kusoma na kuongea. Nataka kufanya hivo kwasababu zifuatazo 1. Napenda Sana kusoma na kuangalia habari za kimataifa. 2. Napenda kusikiliza miziki ya kingereza 3. Napenda kutazama movie za kingereza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…