https://youtu.be/tXhJ6gAj-Cs?si=bEedIn-AZpN-b4LQ
Aliipona English inataka kumponyoka akamshikilia Mchina kujivika ujasiri.
My Take
Kama kwenye CV yako umesema Iam fluent in speaking English, basi ondoa mara moja
OFA YA KITABU CHA KIINGEREZA
Mimi kama mwalimu wa kingereza imenibidi nikupe ofa ya kitabu (soft handbook)
DOWNLOAD hapo👇
in case utaitaji msaada wa vitabu vingine au namuna ya kukitumia hicho kitabu (soft hand book)
Tuwasiliane kwa namba 0623446608
Ubarikiwe!
OFA YA KITABU CHA KIINGEREZA
Mimi kama mwalimu wa kingereza imenibidi nikupe ofa ya kitabu (soft handbook)
DOWNLOAD hapo👇
in case utaitaji msaada wa vitabu vingine au namuna ya kukitumia hicho kitabu (soft hand book)
Tuwasiliane kwa namba 0623446608
Ubarikiwe!
Imagine hii ndo barua iliyotolewa na polisi makao makuu kuhusu hali ya ndani ya nchi.
Ndo maana tunasema tusomeshe watoto wetu shule nzuri na wasome elimu kuliko hizo aibu za kutojua lugha za watu.
Haya ndo madhara ya kuajiri watu waliopata zero form 4
Barua imetoka makao makuu ambapo ndo roho...
UFAFANUZI: Forget vs. Leave
I forgot my book at home. ❌
I left my book at home.✅
Many learners confuse “forget” and “leave,” but the two are not interchangeable.
The phrase “I forgot my book at home” is incorrect because forget refers to failing to remember, not leaving...
'I congratulate Kenyans who've bought Tanzanian tickets', CS Murkomen joins CHAN banter
Interior Cabinet Secretary Kipchumba Murkomen has become the latest high-profile figure to wade into the lighthearted football banter between Kenya and Tanzania ahead of the 2024 African Nations Championship...
Chini ya Rais Samia Vyuo vipya 5 vya VETA vyajengwa mkoani Kagera kikiwemo cha Burugo kilichogharimu zaidi ya TZS20bn.
Rais Samia amepeleka shillingi Billioni 128 mkoani Kagera kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya elimu, bilioni 4.1 kujenga shule mpya ya bweni kwa wasichana.
Katika kipindi cha...
Kuna vilaza wanadhani kuongea vingereza vingi kwenye mikutano na wananchi au kuwa na mialiko ya makongamano ulaya ndio sifa ya kuingoza nchi .
Acheni kujidanganya...tupo wababe wa vingereza na uwezo mkubwa wa presentation and public speaking tumetulia tunawacheka tu.
Acheni utoto !
Habari zenu. Naomba kuuliza kw MTU ambae ana diploma ya Business Administration kw mfano hizi nafasi za mwandish mwendesh ofisi au MTENDAJI ambazo sifa Zake ni Kam ifuatavyo
" Mwenye stashahada ya uhazili au Cheti cha NTA level 6 ya uhazili . Aidha awe amefaulu somo la hatimkato ya Kiswahili...
Ubaya Ubaya!
Katika mechi ya dhidi ya Al Masry, Simba imefanyiwa vitendo vya dhulma kwa kunyimwa penalty wakati Ateba amefanyiwa faulo na golikipa wa Al Masry. Tegemeo langu lilikuwa ni kumuona angalau kapteni shabalala akihamasisha wachezaji wenzake wamlazimishe refa kwenda kuangalia kwenye...
Imezuka tabia ya wahubiri vijana kuhubiri kwa kuchanganya kiswahili na kingereza (broken English) na tabia hii mimi binafsi inanifikirisha sana.
Kiufupi nikishajua muhubiri huyu ni mchanganyaji wa lugha huwa siwezi kumsikiliza hata nusu dakika. Sijui ndio ujanja au ndio waumini wanaelewa zaidi...
Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania kipindi Cha nyuma aliwahi kusifiwa Kwa umahiri wake wa kuongea lugha ya Kingereza na Waandishi wa Habari wa CNN wakati wakimhoji na Ile ni kutokana na umahiri wake mkubwa wa kutema Yani, kutema ung'eng'e, lugha ambayo ilikuja Tanzania Kwa Njia ya Meli...
Nilifikiri ni mimi tu napata shida kuwaelewa wahindi na kingereza chao lakini kumbe sio mimi tu.
Kwenye mkutano wa Rais Trump na Waziri mkuu wa India, Trump amelazimika kutumia wakalimani kutafsiri kingereza cha Inda ili aweze kuelewa.
Kuna wakati niliwahi kufanya kazi na wahindi kutoka India...
Kwa hatua hii je? Niendelee kujifunza au nitakuwa napoteza tu muda wangu?
Nia ninayo.
Asante sana kwa mdau mmoja aliyenipa hii njia naamini nitatonoa kwa kiasi chake.
Hii tabia ya kuzuzuka na kusheherekea pale Mtanzania hasa mwanasiasa akijua kuongea Kingereza hata kwa kunyoosha sentesi mbili tu imepitwa na wakati na ni ushamba.
Pia wanasiasa wasiojua Kingereza ni vyema wakatumia Kiswahili tu, hakuna aibu kutumia lugha yako unayoimudu vizuri, hakuna haja ya...
Kwa darasani kwa sasa ni ngumu kurudi labda naweza pata njia nyingine nzuri ya kufahamu hasa kusoma na kuongea.
Nataka kufanya hivo kwasababu zifuatazo
1. Napenda Sana kusoma na kuangalia habari za kimataifa.
2. Napenda kusikiliza miziki ya kingereza
3. Napenda kutazama movie za kingereza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.