Tatizo la kunuka sehemu za siri husababishwa na mabadiliko ya bakteria wa asili, maambukizi ya fangasi, magonjwa ya zinaa, au ukosefu wa usafi sahihi, na linaathiri jinsia zote mbili.
Ingawa umma unadhani ni tatizo la wanawake pekee, wanaume pia hupata changamoto hii kutokana na muundo wa miili...