Katika kipindi ambacho mapambano dhidi ya maambukizi ya UKIMWI yamekuwa yakitegemea nidhamu ya matumizi ya kila siku ya dawa za (PrEP), au wengi wanavyo ziita kama ARV,
Sasa Tanzania inaanza kuingia katika hatua mpya ya kinga ya muda mrefu kwa kuanza matumizi ya Lenacapavir, dawa inayodungwa...
Nilikuwa katika kijiwe flani cha Wasomo wakati tukijadiliana suala la rushwa, kuna hoja ilianzishwa kwamba moja ya jambo ambalo watu wanalichukuliwa poa ni kwamba linaweza kuwa linachan
gia matukio ya rushwa kuendelea kuwa ngumu kudhibitiwa hasa yale makubwa ni mtu anayeshika nafasi ya...
Uaminifu ni bidhàa inayoadimika miongoni mwa Watanzania.
Kwenye maisha ili ufanikiwe uaminifu ni kitu cha thamani ambacho unatakiwa kuwa nacho
Watu wengi tumeimiliki hii bidhaa iliyoadimika mtaani na umetupa matunda mazuri
Mfanyabiasha unakosa uaminifu, unauza bidhaa mbovu, unauza bei kubwa...
POMBE NI KINGA YA UKWELI KATIKA ASILI.
Kuna maneno mazito sana katika ulimwengu wa kale: wakati babu zetu walipo tumia kinga ya ulevi kusema Ukweli. Walijua wazi kuwa
“Ukweli ni mchungu na huumiza, lakini Uongo ni mtamu lakini Huua.” karibu katika meza ya Mkushi Dr. DOGOLI KINYAMKELA ☠️💀...
Hawa viumbe ni wauaji inapokuja kwenye suala la ngono salama hawajali kabisa.
Yaani manzi mnakubaliana ukaichape hata hakukumbushi ubebe ndomu. Usipojiongeza gono au waya linakulamba.
Ni mara chache sana manzi kukaza utumie kinga, na hata akikaza na wewe ukimkazia uende kavu hapingi.
Kuna...
Katika press yake mojawapo ya bwana comredi humphrey polepole kuelezea kwamba hata wakimroga hawamuwezi na kwamba atawakausha kwa moto wa maombi na ushuhuda alisema anao.
Mimi katika kuzunguka dunia hii na Kinga nnazozijua
Iko 1 ambayo hata apa nchi ya malawi ipo..na wanapewa watu maalumu...
Wafugaji wa kuku
Chukua tunda moja au mawili, kata vipande vipande loweka kwenye maji ya kunywa ya kuku wako.
✅Ni kinga nzuri sana kwa maradhi ya kuku
Mdharau asili hufa masikini
Katiba yetu haijaeleza nguvu waliyonayo wananchi katika kuhoji watawala wa nchi hii
Bali imewafanya watawala kuwa mihungu watu wanaostahili kusifiwa na kuabudiwa huruma utakayoiona kwa kiongozi yeyote wa Tanzania si kwasababu ya katiba Bali ni kwa sababu ya malezi kutoka kwa familia yake na...
#HABARI Bunge la seneti nchini DRC leo litapiga kura kuamua ikiwa limuondolee kinga rais wa zamani Joseph Kabila, ambaye anatuhumiwa kwa makosa ya kivita pamoja na kushirikiana na waasi wa AFC/M23 wanaosaidiwa na Rwanda.
Maseneta watajadili kwanza kuhusu pendekezo hilo la jeshi la Congo kabla...
Hii picha ya sigil Tayari ina:
Nguvu ya kinga (alama ya jicho na siraha za ulinzi).
Mvuto wa pesa (mfuko wa pesa na alama za mafanikio).
Vichocheo vya nishati (alama za sayari, nyota, na pentagram).
Unachotakiwa kufanya sasa:
1. Ichapishe au ichore kwenye karatasi ya kawaida nyeupe.
2...
Napenda kutoa mfano mchache tu wengine mtaweka hapa.
Watawala wakishafika kujenga genge la kuwasimamia kila kona kuna siku watapenda nao nafasi uliyopo washike wao endapo mkipishana.
Swala la sudani lilikuwa funzo tosha ila ndio basi tena.
Hata kule congo laurent kabila nalo lilikuwa hivi...
UJINGA UNAOPEWA JINA: PROPAGANDA YA KISIASA MTANDAONI
Katika zama hizi za kidijitali, mitandao ya kijamii imegeuzwa kuwa uwanja wa vita vya fikra. Lakini vita hivi si vya kuikomboa nchi bali vya kuilinda dhulma na kuzuia hoja za msingi kwa kutumia matusi, kejeli, na uongo.
Kila siku...
Mwanaume aliye kwenye picha anaitwa Han Junjia, dereva wa treni kutoka China.
Picha ya kwanza ilipigwa mwaka 1996, ikimuonesha akiwa amesimama mbele ya treni ya mvuke aina ya SY-class.
Picha ya pili ilipigwa miaka 26 baadaye, ambapo anaonekana akiwa mbele ya treni ya kisasa ya mwendokasi...
Orodha ya viongozi waliomtangulia aliowafutia kinga ya kutoshtakiwa ni wengi miongoni mwao ni raisi mstaafu Biden,Anthony Blinken,Obama na Hillary Clinton.
Kwa upande wa Ukraine raisi Zelensky amejibu mpango wa Trump na Putin wa kugawana ardhi na mali za Ukraine kwa kusema Trump akae mbali na...
Orodha ya viongozi waliomtangulia aliowafutia kinga ya kutoshtakiwa ni wengi miongoni mwao ni raisi mstaafu Biden,Anthony Blinken,Obama na Hillary Clinton.
Kwa upande wa Ukraine raisi Zelensky amejibu mpango wa Trump na Putin wa kugawana ardhi na mali za Ukraine kwa kusema Trump akae mbali na...
Habari za muda huu Wana JF
Leo katika kukaazangu bila ya kazi nikamua bana kumcheki mpenzi wangu nakumuelezea Hali ya afya yangu ili kumpima atanichukuliaje?
Chatting zikawa kama hivi:
Mimi-Maishayangu siyaelewi wangu
Binti-kivipi mbona bila Salam
Mimi- Haina hata haja ya Salam sijui ntaishi...
Habari za muda huu Wana JF
Leo katika kukaazangu bila ya kazi nikamua bana kumcheki mpenzi wangu nakumuelezea Hali ya afya yangu ili kumpima atanichukuliaje?
Chatting zikawa kama hivi:
Mimi-Maishayangu siyaelewi wangu
Binti-kivipi mbona bila Salam
Mimi- Haina hata haja ya Salam cjui ntaishi...
Mfumo mpya wa kinga ya mwili umegunduliwa. Upo katika sehemu ya mwili inayojulikana kwa kusaga protini. Mfumo huo una muundo wa siri unaoweza kutapika kemikali zinazoua bakteria.
Watafiti kutoka Israel wanasema ugunduzi huu utabadilisha uelewa wetu wa jinsi mwili unavyolindwa dhidi ya...
Eti wakuu mume aliyesahau kinga (kondomu) kwenye mfuko wa suruari yake ni wa kufokewa kweli?
Unarudi home mtu kaiona tu basi imeshakuwa nongwa anabwata siku nzima hadi majirani wanasikia.
Hivi wakuu huyu mume si wa kupongezwa huyu, maana anamaanisha anaijali familia yake hataki kuiletea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.