Tanzania, Misri Zakubaliana Kupanua Ushirikiano wa Kimkakati
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, na Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri, Mhe. Abdel Fattah El-Sisi, wamekubaliana kupanua ushirikiano wa kiuchumi kwa kuongeza biashara na uwekezaji katika sekta...