kimataifa

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea kuhusu ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa mkoani Dodoma baada ya kupatiwa mkopo wa kugharamia ujenzi huo?

    Wakati ujenzi wa uwanja wa mpira kwa ufadhili wa mfalme wa Morocco ukiwa hauelewiki maana hakuna kinachoendelea site, naomba kujuzwa ni nini kinaendelea kuhusu ahadi ya kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa katika eneo la Msalato mkoani Dodoma. Nakumbuka iliripotiwa kuwa mkopo wa shilingi...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Palamagamba : Tanzania haijalega katika majukumu ya kikanda, kimataifa na corona

    May 8, 2020 Antananarivo, Madagascar Video Source : millard ayo Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Mh. Prof. Palamagamba Kabudi amepiga kuwa serikali ya Tanzania imeamua kujibagua, kujitenga na kulegalega katika kupambana na gonjwa la Covid-19. Tanzania imetoa uongozi madhubuti ulio...
  3. JamiiForums Tanzania Je, kama Taifa, ikigundulika kwamba ama tunaficha au tunatoa takwimu zisizo sahihi kuhusu janga la COVID-19, tunaweza kuwajibishwa kimataifa?

    Ziko taarifa kuwa upo uchunguzi unaoendelea kuhusu tuhuma kuwa China kwa makusudi ama ilizembea au ilizuia utoaji wa taarifa sahihi kuhusu chanzo na kuenea kwa coronavirus pamoja na idadi ya vifo vilivyotokana na janga hilo. Ikiwa tuhuma hii itathibitishwa, kuna uwezekano wa China kuchukuliwa...
  4. JamiiForums Tanzania Filamu zetu zifikie kiwango cha juu Kimataifa

    Nimechoka sana na nasikia aibu jumlisha wivu , kuangalia filamu za wenzetu zikiendelea kukosha nyoyo zetu hasa kipindi hiki cha Mzee barakoa. Inabidi watu waibuke wasapoti kazi za sanaa yetu kama tulivofanikiwa katika nyanja ya uongozi bora (nitabishiwa hapa), vipaji kichwani (kiakili), na sasa...
  5. JamiiForums Tanzania ‪Tunatoa Wito kuwa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) lifanye ukaguzi Maalumu wa Benki Kuu ya Tanzania ili kubaini kinachofichwa

    #5YearsOfIncompetence
  6. O

    JamiiForums Tanzania Anga la Tanzania lafungwa kwa safari zote za abiria za kimataifa

    Mamlaka ya Usafiri wa Anga imefuta safari zote za ndege za abiria za kimataifa tangu jana. Ndege za mizigo tu ndio zitaruhusiwa kuingia kwa masharti kuwa wafanyakazi wa ndege hizo watawekwa quarantine kwa gharama zao. At last, wanasiasa wamesikiliza ushauri wetu juu ya Corona pandemic.
  7. JamiiForums Tanzania Televisheni za kimataifa: CNN, BBC, Aljazeera nk zinaleta taharuki, zifungiwe kwa muda wa mwezi mmoja!

    Watazamaji wengi wanapata taharuki toka kwenye vituo hivi. Wana equate madhila ya nchi za nje na kufanya kwamba hali hiyo ndivyo ilivyo hapa nchini. Sasa maofisi mengi yanafungwa kwa kasi ya mwanga maana waangaliaji wa vituo hivi ni watu wakubwa kwenye taasisi na mashirika mbali mbali ambao...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Zanzibar yasimamisha safari za ndege za Kimataifa

    Serikali ya mapinduzi Zanzibar imesimamisha safari zote za ndege kutoka nje ya nchi zikiwemo zinazoleta watalii. Serikali imechukua uamuzi wa kuzuia ndege za watalii ili kulinda maisha ya watu wake japokuwa uamuzi huo una athari kubwa kiuchumi. Waziri wa utalii mh Kombo amesema wageni...
  9. S

    JamiiForums Tanzania John Mnyika (Mb), Salum Mwalim, John Heche (Mb), wawasili Makao Makuu ya CHADEMA mara baada ya kutoka gerezani leo

    Ni kwa mujibu wa tweet hii ya John Mrema Tutafanya mkutano na waandishi wa Habari Leo saa tano na nusu asubuhi . John Mnyika, Salum Mwalimu na Peter Msigwa watazungumza baada ya kutoka Magereza . Tutatoa updates ya michango tulipofikia Heche pia ataongea leo kwani ameshatoka Magereza
  10. JamiiForums Tanzania Habari njema za uchumi wa Tanzania kimataifa: IMF yakubali Magufuli anapiga kazi nzuri, kumuunga mkono kwa kuimwagia mabilioni ya maendeleo mwezi Mei

    Wanabodi, Angalizo la kuzuia kukereka. Kuna members humu wanakereka na kukasirika pale serikali ya Tanzania, au rais Magufuli na serikali yake anapofanya vizuri kustahili pongezi, Hivyo tusiharibiane siku leo mwanzo wa weekend, wewe kama uko kundi hili, naomba uishie hapa ili usije kuharibu...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi: Uchaguzi mkuu utakuwa Huru na Haki kama ilivyokuwa miaka yote Jumuiya ya kimataifa msiwe na wasiwasi

    Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi ameihakikishia Jumuiya ya kimataifa kwamba uchaguzi mkuu wa mwaka huu utakuwa huru na wa haki hivyo wasiwe na wasiwasi. Prof Kabudi amesema bunge limeboresha sheria ya vyama vya siasa ili kuondoa malalamiko ya mara kwa mara kutoka kwa wanasiasa. Kabudi...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashiriki katika maonesho ya kimataifa ya paris 2020, Ufaransa

    February 24, 2020 Paris, Ufaransa TANZANIA YASHIRIKI KWA MARA KWANZA KATIKA MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIDHAA ZA KILIMO YA PARIS 2020, UFARANSA Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa, Mhe. Samwel Shelukindo (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Ujumbe wa Tanzania unaoshiriki Tanzania...
  13. JamiiForums Tanzania Nafasi za Internship katika Shirika la Kimataifa la Uhamiaji, International Organization for Migration (IOM)

    BACKGROUND INFORMATION Established in 1951, the UN Migration Agency, IOM-UN is the leading inter-governmental organization in the field of migration and works closely with governmental, intergovernmental and non-governmental partners. The Organization is dedicated to promoting humane and...
  14. JamiiForums Tanzania Kutoka Ukumbi wa JNICC DSM kufunga Mkutano wa Kimataifa wa Linking Academia, Tourism & Hospitality

    Wanabodi, Wewe as mwana JF, be the first to know, niko kwenye ukumbi wa JNICC hapa jijini Dar es Salaam, kwenye ufungaji wa mkutano wa kimataifa wa Linking Academia, Tourism & Hospitality. Karibuni, Paskali
  15. JamiiForums Tanzania Kuporomoka Hadhi ya Tanzania kwenye Diplomasia ya Kimataifa: Awamu ya 5 Imetuangusha

    Haya matukio yanaonyesha kuporomoka kwa hadhi ya Ki-diplomasia kwa Tanzania. 1. Tanzania imekaa bila Balozi kamili wa USA kuanzia Oktoba 2016 alipoondoka Mark Bradley hadi Novemba 2019 alipoteuliwa Dr Don Wright. Kwa miaka 3 tulikuwa unafanya kazi na Inmi Patterson ambaye kicheo ni Charge...
  16. JamiiForums Tanzania Iran Inachekesha sana /hatuiwezi USA tutamshtaki kimataifa

    On Iranian TV, @JZarif says assassination of Qassem Soleimani, "was clearly a terrorist action" and #Iran "will launch various legal measures at the international level to hold America to account." Steve Herman on Twitter Nashangaa mbona tumeambiwa atalipiza Kisasi, lakini kinachoongelewa ni...
  17. JamiiForums Tanzania Miaka 10 ya Diamond ni tishio, stage ya kimataifa yashushwa katika viwanja vya Lake Tanganyika

    Katika kuthibitisha kuwa habahatishi kazi zake, Diamond kaweka stage ya hali ya juu kuelekea show yake ya leo.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Papa aliweza kuwapatanisha Salva Kill na Riek Machar. Je, ana nguvu kuliko Jumuiya za Kimataifa?

    Baba mtakatifu kama wanavyomwita wafuasi wake aliwapatanisha mahasimu wawili wa Sudan kusini kazi ambayo ilizishinda jumuiya zote za kimataifa!!! Je? Ana nguvu kuliko jumuiya hizo? Nakumbuka tena mwaka fulani papa alipokuja tz rais Mwinyi aliibusu Pete yake !!! Naomba kujuzwa nguvu yake hapa...
  19. JamiiForums Tanzania Mtambue balozi katika Diplomasia ya Kimataifa

    Na Elius Ndabila +255768239284 Wiki iliyopita niliandika kidogo juu Elimu ya Uhusiano wa Kimataifa/DEPLOMATIC RELATIONS .Nilikuwa nimejikita zaidi kwenye kuangazia mambo ya diplomasia ya Kiuchumi. Nilifafanua zaidi juu ya mtu anayeitwa Consular ambaye ndiye anahusika sana na Diplomasia ya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kishindo Mkutano Mkuu CHADEMA ; Mabalozi na Taasisi za Kimataifa wathibitisha kushiriki!

    Itakuwa historia.Ndivyo tunavyoweza kusema kwani mkutano mkuu wa CHADEMA Desemba 18 utahudhuriwa na taasisi na mashirika makubwa ya ndani na nje ya nchi pengine kwa mara ya kwanza katika historia ya mikutano mikuu ya vyama. Chanzo kimoja cha Taarifa kutoka ndani ya chama hicho chenye wanachama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…