kimataifa

  1. JamiiForums Tanzania Israel waomba msaada wa kimataifa kwa Israel dhidi ya Iran na Hezbollah

    Wanaukumbi. Hezbollah wanaendelea kushambulia maeneo muhimu ya jeshi ndani ya Israel. 🚨🇱🇧🇮🇱 FM KATZ AWATAKA MSAADA WA KIMATAIFA KWA ISRAEL DHIDI YA IRAN NA HEZBOLLAH Waziri wa mambo ya nje Israel Katz amewaandikia makumi ya mawaziri wa mambo ya nje akitaka kuungwa mkono na hatua za Israel...
  2. JamiiForums Tanzania Kila mwaka Azam huwa anatolewa kimataifa kabla Simba haijaanza mechi zake

    Sisi Azam tukubali hatuna timu tuna kikundi cha wachezaji SOMA - LIVE - CAFCL: APR 2-0 AZAM FC | Preliminary Stage 2nd Leg| aggregate : 2-1 | 🏟 Amahoro Stadium | 1900hrs | 24.08.2024
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia Ameibeba Ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia Kimataifa

    RAIS SAMIA AMEIBEBA AJENDA YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KIMATAIFA Watu Takribani Bilioni 2.4 Duniani Hawatumii Nishati Safi ya Kupikia, Duniani kwasasa kuna Watu Zaidi ya Bilioni Saba (7) Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF) katika Msimu wa Kizimkazi Festival tarehe 23 Agosti, 2024...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde: Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji Sekta ya Madini Tanzania Kuwavuta Wawekezaji Duniani Kote

    MKUTANO WA KIMATAIFA WA UWEKEZAJI SEKTA YA MADINI TANZANIA KUWAVUTA WAWEKEZAJI DUNIANI KOTE - MAVUNDE Asema Tanzania Iko tayari kwa Uongezaji Thamani Madini 📍Dar es Salaam. Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amebainisha kuwa Tanzania iko tayari kuvutia Wawekezaji kutoka mataifa...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri wa Madini: Mkutano wa 5 wa Kimataifa wa Uwekezaji utaleta fursa mpya za uwekezaji na uhamishaji wa Teknolojia

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amebainisha kuwa Tanzania iko tayari kuvutia Wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali kupitia Mkutano wa 5 wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini, unaotarajiwa kufanyika Dar es Salaam Novemba 19 hadi 21, 2024. Amebainisha hayo leo Agosti 21, 2024, katika...
  6. JamiiForums Tanzania USAID kuwekeza dola za Marekani milioni 8.3 kwa kampuni za Tanzania ili kuboresha Usalama wa Chakula

    Marekani yazipa kampuni nchini dola milioni 8.3 SERIKALI ya Marekani kupitia Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la (USAID), imetangaza kuwekeza dola za Marekani milioni 8.3 kwa kampuni tisa za Tanzania ili kukuza biashara, kuboresha usalama wa chakula na kuimarisha ushindani wa Tanzania...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Full Time: Simba Queens 5-0 Fad Djibouti | 2024 CAF Women's Champions League - CECAFA Qualifiers

    Timu zinazoshiriki kutafuta nafasi kushiriki ya Michuano ya Mabingwa Ya Afrika Kwa Wanawake Kuwakilisha nchi wanachama wa CECAFA ni : Commercial Bank of Ethiopia (Ethiopia) Kenya Police Bullets (Kenya) Yei Joint FC (South Sudan) Simba Queens (Tanzania) PVP Buyenzi (Burundi) Kawempe...
  8. JamiiForums Tanzania Tamasha la Kimataifa la Maonyesho ya Biashara na Utalii Nyanda za Juu Kusini

    Maonyesho ya Biashara na Utalii Nyanda za Juu Kusini 📍 Matema beach, Kyela, Mbeya, Tanzania 🇹🇿 Kusini International Trade Fair & Festival 2024 Ni maonyesho ya kimataifa yaliyoundwa ili kukuza shughuli za biashara na nyingine zinazohusiana na uwekezaji, kilimo na umwagiliaji, afya, utamaduni...
  9. JamiiForums Tanzania Ongezeko la Idadi ya Watalii wa Kimataifa Nchini.

    Ongezeko la Idadi ya Watalii wa Kimataifa Nchini.
  10. W

    JamiiForums Tanzania WHO: Mlipuko wa Ugonjwa wa Mpox ni janga la Kiafya la Kimataifa

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani la Umoja wa Mataifa (WHO),Tedros Adhanom Ghebreyesus, amesema kuwa Mlipuko wa Mpox si janga la Afrika pekee bali ni la kimataifa katika mkutano wa kamati ya dharura ya shirika hilo Agosti 14, 2024. Kwa mara ya pili tangu mwaka 2022, ugonjwa umetangazwa...
  11. JamiiForums Tanzania Upangaji wa matokeo na rushwa itaangamiza soka Zanzibar Kimataifa

    Katika hali ya kushangaza sana ,Club ya Uhamiaji FC ya Zanzibar inayoshiriki mashindano ya Shirikisho Africa imekubaliana na Al ahly Tripoli ya Libya kuwa mechi zao zote zitapigwa Libya kwa sababu ambazo hazina mashiko kuwa za kiusalama na makubaliano baina ya timu izo mbili. Sasa kati ya...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna haja gani Wizara ya michezo kupeleka watu michezo ya kimataifa wakati hakuna maandalizi ya kutosha na mwisho kudhalilisha taifa letu kila wakati

    Ndugu zangu wanaJamiiForum Nakusalimuni huko huko mlipo. Nijikite kwenye hoja Hii wizara ya Utamaduni na michezo sijui inatuchukuliaje watanzania. Nimesikitishwa sanaa na hawa wawakikishi wa taifa letu kwenye michezo ya Olympic hakuna hata msimu mmoja uliowai kuwa salama kwa taifa letu. Kila...
  13. 4

    JamiiForums Tanzania Kwako Ndugu Rais , ombi ,DC wa kimataifa awe kwenye baraza la Mawaziri

    Hili ni andiko fupi kwa Ndugu Rais , ila ukuu wenu kama member wa jf umezingatiwa . Ndugu Rais yupo mkuu wa wilaya mmoja hapa tz , ( mkuu wa wilaya wa Kimataifa ) binafsi siko ndani ya Wilaya yake, na hatujuani , ila nalazimika kukuomba katika mikeka yako awepo katika baraza la mawaziri ...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini waliotuletea mahindi wao hawali ugali?

    Ugali ni chakula cha kushangaza ambacho hupendwa sana na watu wengi Africa Mashariki, kati na magharibi. Tatizo la ugali ni kwamba hauna ladha, hauliki wenyewe bila chakula cha ziada. Wazungu waliotuletea mahindi Africa karne ya 17 wao hawali ugali, wachache wanaokula wameendelea kula mahindi...
  15. JamiiForums Tanzania Sherehe za Kufunga Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa 2024

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi anatarajiwa kuyafunga Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa 2024 yanayofanyika viwanja vya Sabasaba, Temeke, jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo ya Sabasaba yalifunguliwa tarehe: 03 Julai 2024 na Rais wa Jamhuri...
  16. JamiiForums Tanzania Upinzani nchini umegonga mwamba dhidi ya nguvu na ushawish wa kisiasa wa DR.Samia Suluhu Hassan KWA wananchi, mijini na vijijini kitaifa na kimataifa.

    upinzani nchini umeshindwa kabisa kutikisa nguvu, umaarufu na ushawishi wa Dr Samia Suluhu Hassan kwa wanainchi mijini, vijijini, kitaifa na kimataifa.. kiufupi ameshindika kwa hoja, sera, mipango, maono, nia, uthubutu, hekima, uaminifu, matarajio ya wanainchi kwake n.k hali hii imewapunguza...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Afrika haiwezi kupata maendeleo kama itaendelea kuwa chini ya udhibiti wa mfumo wa kimataifa

    Kwa muda mrefu sasa suala la maendeleo ya nchi za Afrika limekuwa ni mjadala kwenye majukwaa mengi ya kiuchumi na kisiasa duniani. Licha ya juhudi zinazofanywa na nchi za Afrika, hatua za maendeleo zimekuwa ni polepole sana ikilinganishwa na sehemu nyingine duniani. Kuna wanaosema hali hii...
  18. JamiiForums Tanzania Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Afrika

    Siku ya Mtoto wa Afrika huadhimishwa kila Mwaka ifikapo Juni 16 kuwakumbuka Watoto waliouawa na Serikali ya Kibaguzi huko Soweto Mwaka 1976 wakiwa katika Maandamano ya kudai Haki zao ikiwemo Haki ya kupata Elimu na kufundishwa kwa kutumia Lugha zao Asilia
  19. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu toa ushauri kusaidia Nchi ishinde kesi kimataifa na kufufua shirika la ndege

    Salaam, Shalom! Mh Mwanasheria msomi Tundu Lissu, ninafuatilia sana ziara zako nchini, Ni Kweli unafungua macho Watanzania juu ya yanayoendelea nchini, Kwa sasa, Nchi yetu inazo ndege za kutosha zilizonunuliwa Kwa Kodi zetu, ndege hizo mara kadhaa zimedaiwa kukamatwa kisa kuvunja baadhi ya...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa wataalamu wa siasa za kimataifa mtusaidie

    Wakuu Heshima mbele. Marekani imewawekea vikwazo maafisa watano wa Uganda, akiwemo Spika wa Bunge la nchi hiyo, Anita Among, mumewe na Naibu Mkuu wa zamani wa Majeshi ya Ulinzi kutoingia nchini humo kwa tuhuma za ufisadi na ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu. Katika taarifa ya Wizara ya Mambo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…