Nyumba Inauzwa Kimara.
Mahali: Kimara Temboni, Mtaa wa Mtakuja.
Sifa za Nyumba:
•Ipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro.
•Ina chumba chenye choo ndani, sebule na jiko.
•Ina mpangaji analipa kodi sh. 300,000 kwa Mwezi.
•Ina eneo kubwa mbele.
•Usafiri wa aina zote unafika mpaka kwenye nyumba...