kimara

Kimara is an administrative ward in the Ubungo district of the Dar es Salaam's central business district, east of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 66,288.

View More On Wikipedia.org
  1. Godee jr

    JamiiForums Tanzania KERO TTCL Fiber Kimara Temboni tumedhulumiwa pesa zetu

    Mlikuja vizuri, mkatufungia router ndani, mkachukua details zetu na mkatutumia control number tukalipia 55,000. Cha kusikitisha tangu tulipie mwaka jana mwezi wa 8 hadi leo huduma haijawahi kupatikana. Tukiuliza tunajibiwa kuwa Power hakuna kwani wateja wamejaa. Tafadhali sana turudishieni pesa...
  2. X

    JamiiForums Tanzania Hivi KKKT Kimara Korogwe mtamaliza lini ujenzi wa miradi yenu?

    Mmeharibu sana mandhari ya eneo lenu kila mahali majengo na magofu hata parking, sehemu za garden, sehemu za kukimbilia dharura kama moto ukitokea hakuna? Aisee! Hivi mule kwenye jengo la kanisa waumini wanapata hewa ya kutosha kweli wakati wa ibada? Maana kanisa pande zote limezibwa na majengo...
  3. mirindimo

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kimara Suka tunapata maji kwa saa 6

    Aweso hii Gaza ya Kusini anzia pale Over Mataa mlipoweka wanajeshi wa Uganda wale shuka mpaka Mbuzi Online Suka mlipoua boda akiwa na abiria ingia na hiyo njia hapo vuka uwanja mbele dukani mlipoua mtu akiwa dukani nenda mbele kidogo pandisha kimlima hayo maeneo mnafungua maji masaa 6 tena muda...
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania KERO Kimara Mwisho asubuhi kuna Foleni kali isiyotembea Dar nzima ikasome!

    Hizi semi zimekuwa kero mara dufu. Kulikuwa na trafiki mmoja pale Mbezi Mwisho anazuia haya malori hadi saa 3 au saa 4 ndio anayaachia sasa sijui wamemtoa. Sasa hivi vyuma havitembei. Hapa kuna nyororo imeanzia Kimara Mwisho hadi Suka. Bila kucontrol hizi lori hata mkijenga barabara 5 kila...
  5. McLaren

    JamiiForums Tanzania Video: Kimara wameshaanza kutesti mitambo. Watu wameanza kuingia barabarani

    Wakuu, Naambiwa huko Kimara mambo yameshaanza kuchemka. Wananchi wameanza kujitokeza barabarani
  6. Mad Max

    JamiiForums Tanzania KERO Mkandarasi aliyepewa Barabara ya Ubungo - Kimara Mwisho hawezi ile kazi!

    Kwa mtumiaji yeyote wa barabara ya Morogoro Rd, atakubali Ubungo Mataa - Kimara ni sehemu fupi ila ya kero sana kwenye foleni. Sasa huyu mkandarasi yeye amechimbua chimbua kila sehemu halafu ameacha na magari ametoa, inapelekea foleni moja kubwa sana. Mfano, pale Kimara Mwisho pana foleni kali...
  7. Kishimbe wa Kishimbe

    JamiiForums Tanzania Sasa unaingia Kimara

    SASA UNAINGIA KIMARA Tulikuwa tunaingia mkoa wa Mara kwa heshima zote na pale mpakani unakutana na bango kubwa sana linalosoma "SASA UNAINGIA MKOA WA MARA" kana kwamba unatakiwa kuchagua ama kuendelea na safari ama kurudi ulikotoka! Ingependeza pia kukawa na bango linalosoma "SASA UNAINGIA...
  8. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Namleta kwenu msanii chipukizi kutoka Kimara Gaza

    Kipaji chipukizi kutoka Kimara "Maisha yetu ni kuteswa, kutekwa na Samia kashika mamlaka"
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ukanda wa Gaza (Kimara) shikamoo! Maandalizi ya D9 yanaendaje?

    Kimara mko vizuri sana. Huo uamsho wenu haupatikani mahala popote hapa nchini. Mwendokasi mliionesha kazi ninyi. MO29 ni ninyi mliotuamsha watanzania . Maandalizi ya D9 yanaendaje kwa sasa?? Kimara a.k.a Gaza. Shikamoni. Updates: Kimara yaionya Urusi kuacha mara moja kuishambulia Ukraine.
  10. President of China

    JamiiForums Tanzania Ibada ya jumapili 16 November 2025 KKT- dmp usharika wa Kimara

    Hakika leo tutamuona Bwana. Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu https://www.youtube.com/live/ZwoR6G-ES4A?si=KkuSya7M3fCqZb_-
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Nasikia kimara imebadilishwa jina kutokana na matukio yaliyotokea hivi mnaiitaje kwa sasa ?

    Nasikia kimara imebadilishwa jina kutokana na matukio yaliyotokea hivi mnaiitaje kwa sasa ?
  12. stakehigh

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wananchi wa Kimara nawasalimu. Muwe wavumilivu wakati mwendokasi zikiwa zinatengenezwa

    Kwa yaliotokea iwe funzo kwa wote wanaopenda kuharibu miundo mbinu kwa malengo ya kiasasa, ni upumbavu kuchoma miundo mbinu ambayo unaitumia wewe mwenyewe
  13. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Watu wa Kimara huyu mama kaamua kututesa ?

    So wana mzengo hebu niambieni haya ndio maisha tunaishi kwa miaka 5 ? Anajua mnalipa Kodi kiasi gani kwa biashara zenu ? Kwa nini tusijitenge na Dar tukawa na Kimara Republic ? Tutakufaaaa ndorobooo nyie, mmeona foleni la tar 18 jioni ? Wake zenu na mademu zenu wamehaha usafiri town...
  14. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kimara: Polisi wanakagua simu kabla ya kupanda mwendokasi. Wanalazimisha utoe password

    Kutokana na maandamano yaliyofanyika Jijini Dar Es Salaam kupinga Samia kuteka na kuua watu, Polisi bado hawajapoa. Ukienda kituo cha Basi au Daladala, wanakuambia utoa password waangalie kama hauna picha za maandamano. Kama unazo wanakulazimisha uzifute. Wanalazishi hata zile picha za Watu...
  15. figganigga

    JamiiForums Tanzania Polisi wa Kigamboni wameungana na Wananchi wa Kimara kuwatia moyo

    Salaam, Nimefarijika sana.. Maandamano ya leo yalijaa wana wa Jeshi. Sio Polisi wote wabaya. Wanne wametoka Kigamboni, Askari Magereza Wawili wametoka Mbezi beach, Wanajeshi Watatu wametoka Goba. Tumekinukisha balaa. Leo baada ya night shift, tutahakikisha tunaenda maandamano yalipo...
  16. Black Opal

    JamiiForums Tanzania GE2025 V8 ya ‘watu wasiojulikana’ yachomwa moto Kimara na waandamanaji

    Aloooo, V8 imekula moto inateketea bila habari! Yaani leo tena hawa wasiojulikana wanaojulikana wajitokeze vizuri, ili wafichuliwe. Siku iishe watekaji wote nao wawe wamejulikana. IKiwa katikati ya barabara wananchi wamepiga moto V8 ya watu wasiojulikana.
  17. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya maandamano Kimara - Posta

    Amani iwe nanyi Tutaanzia kimara wengine tutawapitia ubungo, wengine tutakutana nao Kariakoo then tutashuka mpaka Magogoni Polisi watatupa ushirikiano wa kutosha na watakuwa wanarudi nyuma wenyewe Kadiri watakavyokuwa wanarudi nyuma ndo tutakavyokowa tunasogea Mpango umesukwa ukasukika...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Mtoa huduma wa mabasi ya mwendokasi Kimara tunamsimamisha

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert John Chalamila, leo amefanya ziara katika kituo cha mabasi ya mwendokasi kilichopo Kimara Mwisho na kuzungumza na wananchi kuhusu changamoto ya upungufu wa mabasi. Katika ziara hiyo, Mhe. Chalamila amesema serikali inatambua changamoto hiyo na tayari...
  19. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona raia useless kama wanaoishi Kimara na viunga vyake na wanatumia mabasi ya mwendokasi kwenda vibaruani

    Kwa kweli sijawahi kuona raia useless kama hawa wa Kimara na viunga vyake. Yaani kila siku wanateseka na foleni, wanabebwa kama mizigo kwenye mwendokasi, lakini bado wako kimya, wakiwa wamekaa kwa roho ya “basi tuendelee tu.” Ni aibu. Hii siyo tena subira wala uvumilivu – ni upumbavu uliokomaa...
  20. maroon7

    JamiiForums Tanzania Kimara inaharibu taswira ya jiji la Dar, serikali haioni hii aibu?

    Wanabodi (kwa sauti ya Paskali Mayalla a.k.a Njaa), kati ya vitu vilivyobaki vinachafua taswira nzuri ya jiji la Dar basi ni kimara. Yaani pembezoni mwa barabara hapaeleweki ni ma vibanda tu na vinyumba vyenye mabati yenye kutu hadi unajiuliza hivi shida ni nini? Mbona hata manzese siku hizi...
Back
Top Bottom