Kilwa Kisiwani ('Kilwa Island') is an island, national historic site, and hamlet community located in the township of Kilwa Masoko, the district seat of Kilwa District in the Tanzanian region of Lindi in southern Tanzania. Kilwa Kisiwani is the largest of the nine hamlets in the town of Kilwa Masoko and is also the least populated hamlet in the township with fewer than 1,000 residents.
At its peak in the Middle Ages, Kilwa had over 10,000 inhabitants. Since 1981, the entire island of Kilwa Kisiwani has been designated by UNESCO as a World Heritage Site along with the nearby ruins of Songo Mnara. Despite its significant historic reputation, Kilwa Kisiwani is still home to a small and resilient community of natives who have inhabited the island for centuries. Kilwa Kisiwani is one of the seven World Heritage Sites in Tanzania. Additionally, the site is a registered National Historic Site of Tanzania.
wale watumiaji wa barabara ya Kilwa ikiwemo wanaoingia jijini Dar es Salaam na wale wanaosafiri mikoa ya Kusini chukua tahadhari mapema, wengine huko wamelazimika kusubiri kwa zaidi ya saa sita baada ya ajali mbaya iliyohusisha magari matatu, bajaj na pikipiki kutokea katika eneo lenye kilima...
Watu wanne, akiwemo Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kilwa, mkoani Lindi, Issa Kalupula (60), wamefariki dunia na wengine 28 wamejeruhiwa baada ya gari walilokuwa wamepanda (Higer T574 DZY) kuacha njia na kupinduka katika Kijiji cha Kiwanga, Wilaya ya Rufiji, Barabara Kuu ya Kilwa - Dar es Salaam...
Wakuu, nawaza hii sijaipata jibu.. kwanini hawa madiwani(baraza la madiwani walikubaliana kuhamisha hii Halmashauri kwenye huu mji mkongwe wa Kilwa Masomo..?
Sehemu ambayo idadi ya watu ni kubwa, pia miji miwili imekaribiana yaani Kilwa Masoko na Kilwa Kivinje ambapo ilikuwa rahisi kuhudumia...
Wakuu, kama kichwa Cha habari kinavyojieleza, this weekend nitakuwa Kilwa(Lindi) nataka nitembelee hii miji mikongwe ya kilwa yaan kilwa Masoko na Kilwa Kivinje..
Naomba kufahamishwa maeneo ya kutembea na kubarizi bila kusahau Lodge nzuri za kupumzikia/kulala.
Utalii wa ndani kidogo...
Yericko Yohanesy Msambila Mkana Nyerere Mwanachama wa kweli wa CHAUMMA anasimama kidete na kuweka wazi kuwa yeye hana dini na kimbilio lake ni mizimu kwa sababu ndiyo chimbuko lake.
Wakuu,
Nimeona video huko Facebook upepo mkali unabeba viti na inadaiwa kuwa imetokeo huko Kilwa kwneye moja ya mkutano wa wagombea ubunge katika mchakato wa kuomba kura za maoni kwa wajumbe huko CCM
THE CIVIC UNITED FRONT(CUF- Chama Cha Wananchi-Cuf
CUF- Chama Cha Wananchi imepata ushindi kwenye Kesi iliyofunguliwa na ACT- Wazalendo ya kudai Ofisi ya CUF Wilaya ya Kilwa kwamba ni mali yao waliyopewa na Seleman Bungara (BWEGE).
Mahakama jana Julai 30,2025 imetupilia madai hayo (Madai Na...
THE CIVIC UNITED FRONT(CUF- Chama Cha Wananchi)
MAHAKAMA YAZIMA MPANGO WA ACT- WAZALENDO KUPORA OFISI YA CUF KILWA:
CUF- Chama Cha Wananchi imepata ushindi kwenye Kesi iliyofunguliwa na ACT- Wazalendo ya kudai Ofisi ya CUF Wilaya ya Kilwa kwamba ni mali yao waliyopewa na Seleman Bungara...
Huyu dada nimependa Simulizi zake. Sijamtaja jina sababu simjui ila aliyoyaongea 50% nilishawahi kusimuliwa.
Je, ni kweli ili uwe Mbunge wa CCM Kilwa lazima uue mpinzani wako?
Watu wa Kilwa tusaidieni kuhusu anachoongea huyu Dada kama kweli unajua. Niaje huko?
Kazi ipo kule Kilwa Kaskazini, wakati Leo ndio tunatarajia kupata orodha ya majina matatu ya wagombea ubunge kupitia chama cha mapinduzi ili yapelekwe kwa wapiga kura ndani ya chama, tayari mtia Nia mmoja katika Jimbo Hilo ambalo Mangungu analitolea macho amepata ajali alipokuwa anakwenda...
Hii ni barabara inayounganisha Kata ya Kandawale na Njinjo na kuelekea Kilwa-masoko(wilayani).
Barabara hii inahudumiwa na TARURA lakini kwenye uhalisia haipati huduma ya kuboreshwa miaka 10's sasa mbali na mchango mkubwa wa mapato tunaochangia wananchi wa kata hii kupitia mazao tunayolima...
Mm nafuatilia nyendo zako za kisiasa, Kama nilivyoripoti hapa jamiiforums juzi kuwa Mangungu angechukua fomu jumamosi kWa ajili ya kuomba ridhaa ya kuwania ubunge wa jimbo la kilwa kaskazini kupitia chama cha mapinduzi, ni kweli Jana Mangungu ametinga ofc za CCM Wilaya zilizopo eneo la Kilwa...
Mm nafuatilia nyendo zako za kisiasa, Kama nilivyoripoti hapa jamiiforums juzi kuwa Mangungu angechukua fomu jumamosi kWa ajili ya kuomba ridhaa ya kuwania ubunge wa jimbo la kilwa kaskazini kupitia chama cha mapinduzi, ni kweli Jana Mangungu ametinga ofc za CCM Wilaya zilizopo eneo la Kilwa...
Kada wa chama cha Mapinduzi(CCM) Ndugu Kinjekitile Ngombale Mwiru Leo amechukua fomu za kugombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Kilwa Kaskazini.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Mwenyekiti wa klabu ya Simba ambaye katika uongozi wake Simba imebamizwa mabao mengi kuliko wakati wowote ule Mhe Murtaza Mangungu siku ya Jumamosi Asubuhi anatarajiwa kuchukua fomu ya kugombea ubunge katika Jimbo la Kilwa Kaskazini.
Mangungu ambaye amewahi kuwa mbunge wa Jimbo Hilo kabla ya...
Katibu Mkuu Kiongozi wa Baraza Kivuli la Mawaziri wa ACT Wazalendo, Ndugu Idrisa Kweweta, leo Mei 18, 2025, amechukua rasmi fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Kilwa Kusini kupitia tiketi ya chama hicho, katika hafla ya kisiasa iliyojaa matumaini na hamasa ya mabadiliko.
Fomu hiyo alikabidhiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.