kilimo

  1. Ubunifu: Kilimo cha nyumbani ukiwa na eneo dogo

    Hapa no kilimo cha matunda, mbogamboga na baadhi ya mazao ya chakula Huhitaji tena kwenda kununua mboga zisizo salama.. Na wala huhitaji kulalamika kuwa huna eneo la bustani
  2. Utajiri uliojificha kwenye kilimo cha mbegu za mchicha

    Wasalaam, Je, umeshawahijiuliza njia rahisi ya kutoka kimaisha kutokana na kilimo? Basi leo nataka nikuletee jibu la swali lako. Kama wewe ni kijana mwenye ndoto za kutoka kimaisha basi pata mtaji mtamu sana kutoka kwenye kilimo hiki cha mbegu za mchicha. Hiki ni kilimo chenye gharama nafuu...
  3. Kilimo cha maharage

    Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima Maharage ni zao jamii ya mikunde ambalo hulimwa kwa ajili ya kuliwa kama mboga au futari linaweza kama maharage mabichi au maharage makavu. Pia majani yake mni chakula cha mifugo na yanatumika pia kama mboga kwa binadamu. Katika ekari moja unaweza kupata Kg...
  4. Mpya kutoka wizara ya kilimo: muongozo kwa wanaoomba mkopo mfuko wa pembejeo

    WALENGWA WA MFUKO WA PEMBEJEO 1. Wakulima Binafsi 2. Vikundi 3. Kampuni zilizo sajiriwa 4. Vyama vya ushirika 5. Taasisi za fedha zinazotoa mikopo ya kilimo. AINA ZA MIKOPO A. MKULIMA NAFUU LOAN Huu ni mkopo unaowalenga wanawake na vijana wenye umri wa miaka 18 mpaka 40 Kwa wanaume na 65 Kwa...
  5. Nje ya Siasa Ruto huwa ana insipire mno hasa kwenye mambo ya kilimo.

    Ruto akiwa shambani kwake akiotesha Ngano.
  6. PreGE2025 Kamati ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo yaridhia kufungwa shughuli za uvuvi Ziwa Tanganyika

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imeridhia kupumzishwa kwa shughuli za uvuvi katika Ziwa Tanganyika. Ziwa hilo linatarajiwa kufungwa kutokana na makubaliano ya nchi nne zinazotumia ziwa hilo huku baadhi ya wabunge wakionesha kutoridhika na hatua hiyo.
  7. A

    Kilimo, jeshi na computer yawe masomo ya lazima

    Nisiwachoshe asubuhi hii hata chai hamjanywa Ila ningekuwa waziri wa elimu ningeondoa masomo ya historia, uraia, hisabati na kiswahili kuwa masomo ya lazima sekondari badala yake ningeweka COMPUTER, ENGLISH, KILIMO NA JESHI kuwa masomo ya lazima kuanzia chekechea sio primary, secondary na...
  8. Mapenzi yamenishinda acha nguvu nihamishe kwenye kilimo na ufugaji

    Nimefika miaka 29, nilitaka nioe maana naona age inaenda kidogo, then Nina mipango ya biashara ambayo naamini Mwanamke Mwenye akili ndio atasimamia kwa sababu mimi ni muajiriwa, then Niko busy na mashamba, nataka nifungue biashara kwahiyo kumuweka mtu bora nimuweke wife nitakayempata, nina...
  9. PreGE2025 Korogwe wazindua kilimo mbadala Tarafa ya Bungu kuunga mkono jitihada za Rais Samia

    Afisa Tarafa wa kata ya Bungu Wilayani Korogwe Ndugu Peter Kahindi amefanya uzinduzi wa kilimo mbadala spices yaani viungo, karafuu, iriki ,mdalasini Tangawizi na nk. Akizungumza na waandishi wa Habari Peter Kihindi katika uzinduzi huo amesema lengo la kuzindua kilimo hicho ni kuunga mkono...
  10. Vijana chaguo ni moj; Kilimo au VETA

    Maisha na mazingira ya sasa yanatulazimisha Vijana kuchagua KILIMO au VETA, Uwe na kazi, usiwe na kazi ili kujiongezea kipato zaidi ya mshahara ,siku zote tunajua mshahara hautoshi,Vijana kilimo NDIO Maisha., Wale wenzangu na mimi nyumbani pakavu utaamua wewe usubiri ajira kwenda tandahimba...
  11. Kilimo partners

    Nipo Mbeya nafanya shughuri ya ufugaji wa kuku wa kienyeji. Mwanzo mradi ulienda vizuri sana lakini nimekutana na changamoto ambayo imenifanya nianze upya. Wazo nililonalo ni kufanya kilimo cha bustani. Maeneo niliyopo kilimo cha nyanya, hoho, vitunguu, viazi mviringo na matango yanaruhusu...
  12. Wana kilimo naomba kujua zao la dengu jinsi ya kulima kiasi cha mavuno na bei

    WANA KILIMO NAOMBA KUJUA ZAO LA DENGU JINSI YA KULIMA KIASI CHA MAVUNO NA BEI
  13. A

    Kilimo Kanda ya kaskazini msimu wa 2025

    Limeni mazao ya muda mfupi,mwaka wa njaa huu nimepita jana hakuna mvua, mvua zitakata mwezi mei ni mwaka wa wakulima waliovuna kuinuliwa, asanteni
  14. Shirika au site inayotoa training ya mambo ya Kilimo.

    Wakuu,, Hivi ni Mashirika gani au site gani zinazotoa ofa za training za Kilimo bure kwa muda mfupi, Iwe hapa Tanzania au nje ya nchi.. Nitashukuru sana nikijulishwa ili nijaribu kuomba kulingana na wakati uliopangwa kufanyika kwa mafunzo husika kulingana na Kila training/course.
  15. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Mwakilishi Mkazi mpya wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya Kilimo (IFAD), Bw. Sakphouseth Meng aliye

    Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Mwakilishi Mkazi mpya wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya Kilimo (IFAD), Bw. Sakphouseth Meng aliyefika kujitambulisha katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam baada...
  16. Influencers wetu na wataalamu wetu wa kilimo pengine kuna mengi hawajui

    Ubunifu kama huu wenye tija Ungelisaidia sana taifa kwenye kipato ajira na mazingira
  17. Ipi mbegu nzuri/bora kwa kilimo cha maharage soya ya njano?

    Habari zenu wakuu, naomba kujuzwa aina nzuri ya mbegu ya maharage soya ya njano, nmeambiwa zipo aina zaidi ya moja itapendeza mkiweka na bei yake. Mbegu ambayo inafanya vizuri shambani na sokoni. Natanguliza shukrani.
  18. Naomba maelekezo juu ya kilimo Cha tangawizi

    Habari za mda huu ndugu wapambanaji wenzangu Naomba maelekezo kwa anae jua namna nzuri ya kilimo Cha tangawizi 1,hali ya hewani 2,aina nzuri ya mbegu 3, jinsi ya kuandaa mbegu au upatikanaji wa mbegu nzuri 4, je zao la tangawizi linachukua mda gani shambani mpaka kuvunwa 5,jinsi ya kuvuna na...
  19. Shikamoo kilimo

    Nilitenga milioni kumi. Ndiyo 10m!. Nikaingia porini. Niliweka watu wakasafisha pori. Hiyo ilikua December last year. Ila kila nikikaa machale yananicheza. Page pendwa yangu ikawa tma. Yes bila hiyana nikasoma kua mvua zitanyesha chini ya wastani. Refer hapa...
  20. Historia fupi ya kilimo cha chai Mufindi Iringa

    Kilimo cha chai katika Mkoa wa Iringa, Tanzania, kilianza wakati wa ukoloni wa Kijerumani mwanzoni mwa karne ya 20. Wakati huo, mashamba ya chai yalianzishwa katika maeneo mbalimbali ya mkoa, hususan katika wilaya ya Mufindi, ambayo ina hali ya hewa baridi na mvua za kutosha zinazofaa kwa kilimo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…