kilimo

  1. JamiiForums Tanzania Falsafa ya Kilimo: Shule ya maisha ndani ya udongo

    Watu wengi wakisikia neno kilimo, hukimbilia kwenye jembe, matope, jua kali, na uchovu. Lakini ukweli ni kwamba, kilimo sio kazi tu ya kuzalisha chakula; kilimo ni shule kubwa zaidi ya maisha. Kila hatua unayoiona kwenye shamba la mahindi, mboga, au matunda, ina somo kubwa la jinsi mwanadamu...
  2. JamiiForums Tanzania NANE NANE ITIMIZE MALENGO YAKE, ISIISHIE KUWA GULIO — USHAURI KWA WIZARA YA KILIMO

    Wakuu, Nadhani umefika wakati Wizara ya Kilimo iangalie upya namna tunavyoendesha Maonesho ya Nane Nane nchini ili yawe na matokeo makubwa zaidi kwa mkulima na sekta ya kilimo kwa ujumla. Kwanza, Nane Nane isiishie kuwa gulio kubwa la kila aina ya bidhaa, vyakula na burudani. Hayo yana...
  3. JamiiForums Tanzania Ninafurahishwa na ongezeko la mamilionea kupitia kilimo

    Wakulima wa vitunguu, mpunga, mahindi na mazao mengine kwa sasa wanazidi kuchanja mbuga kwenye mbio za utajiri. Ndani ya miaka mitatu kilimo kimezalisha mamilionea wengi. Siku hizi ni kawaida ukapita sehemu ukakuta Petrol station au hotel ya kitalii ukaambiwa ni ya mkulima fulani. Kwa miaka...
  4. JamiiForums Tanzania Sera za Kilimo za Samia zawezesha Ongezeko la Matumizi ya Mbolea kwa asilimia 211% Kutoka Tani 264,000(2021/22) Hadi Tani 1.2 Milioni(2025/26).

    My Take Mkifanikiwa kumvuta Dangote ajenge kiwanda Cha mbolea itakuwa ni big deal sana. Dangote anajenga kiwanda Kikubwa Ethiopia wakati Tanzania ndio food busket wa Africa. https://www.instagram.com/reel/Dbuph__AjA6/?igsh=MTBubnU5NWVpbW9rbg==
  5. JamiiForums Tanzania Biashara ya mazao ya kilimo, kwanini mara nyingi maslahi yake huonekana kutegemea upepo wa kisiasa?

    Kilimo ndiyo uti wa mgongo wa uchumi kwa mamilioni ya Watanzania, lakini wakulima na wafanyabiashara wa mazao mara nyingi hukutana na hali ya kutotabirika. Leo bei ni nzuri, kesho imeshuka ghafla. Leo soko limefunguliwa, kesho limefungwa au masharti yamebadilika. Je, hii inatokana na nguvu za...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kutoka Kwenye Maisha ya Anasa ya Serikali hadi Kwenye Uzalishaji: Kilimo, Elimu, na Afya Ndio Mkombozi wa Kijana wa Kitanzania

    Ndugu Wakuu, Katika uzi wangu uliopita, tulijadili jinsi mzunguko usio na tija wa kodi ya mvuja jasho unavyoishia kufadhili anasa za wachache huku mtaani vijana wakipambana na ukata wa mitaji. Leo naomba tushuke chini zaidi kwenye mifumo ya kibajeti ya nchi yetu. Tanzania ni nchi changa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya 2025/2026 katika Halmashauri ya Bunda DC Kada ya Kilimo tuna mwaka hatujalipwa Fedha za Kujikimu

    Naomba utusaidie kutoa malalamiko yetu Ajira Mpya 2025/2026 katika Halmashauri ya Bunda DC Kada ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi mpaka sasa ni mwaka hatujalipwa hela ya kujikimu.
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kilimo cha Umwagiliaji, Lumuma - Mpwapwa kina wakati mgumu, kivuko cha kusafirisha maji kimeharibika

    Kero yangu ni kwamba tunanyanyasika sana Wakulima wa kilimo cha umwagiliaji Kijiji cha Lumuma Mafene Mpwapwa, kivuko cha kusafirisha maji kwenda kumwagilia mazao kimeharibika huu ni mwaka wa nne lakini Wizara ya Kilimo hata kututembelea na kutupa msaada hakuna, sasa nashindwa kuelewa nini kauli...
  9. JamiiForums Tanzania Wizara ya Mifugo yaanza kampeni ya kunywa maziwa shuleni Wilayani Rungwe

    Dkt. Mackrina Nombo, Mtaalamu wa Lishe Wizara ya Mifugo na Uvuvi kupitia Mradi wa Mageuzi ya Tasnia ya Maziwa na Mabadiliko ya Tabianchi ulio chini ya Wizara hiyo unaofadhiliwa na Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) imeanza kampeni ya unywaji wa maziwa shuleni ikiwa ni hatua...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi haturidhishwi na utendaji wa Afisa Kilimo Wilaya ya Magu, Kata ya Lubugu

    Kuna Afisa Kilimo Wilaya ya Magu, Kata ya Lubugu haturidhiki na utendaji wake, ashafungua duka la kilimo na mifugo muda mwingi anautumia kukaa dukan kwake. Bidhaa anazotuuzia mara nying zile za ruzuku kwa mfano mbolea nyingi anatuuzia za ruzuku kwa bei ya juu na hata mbegu za mahindi ukikwangua...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Hii ni Lushoto Karibu kwa uwekezaji wa KILIMO Cha umwagiliaji mda wote,

    Kijiji cha Lunguza Kata ya Lunguza Wiraya ya Lushoto Mashamba yapo 0772582186, bei Kati ya laki na nusu, laki mbili mpaka laki tatu kutegemeana na shamba , yapo ya kumwagia kwa pump na yapo ya kutumia maji yanayotoka mlimani bila pamp ,
  12. M

    JamiiForums Tanzania Vijana: Tusisubiri Ajira Pekee, Fursa Zipo Kilimo na Ufugaji

    VIJANA WENZANGU: Hakuna Atakayekuja Kubadilisha Maisha Yetu Isipokuwa Sisi Wenyewe Leo nimeamua kushare mawazo machache kwa kila kijana anayehangaika kutafuta maisha. Ukweli ni kwamba wengi wetu tunasubiri muda mzuri, mtaji mkubwa au mtu wa kutushika mkono. Lakini muda mzuri hauji wenyewe...
  13. JamiiForums Tanzania TANZIA Prof. Pius Mbawala afariki dunia. Aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Kilimo na Ushirika na Mbunge wa Namtumbo

    Kwakuwa hii sijaiona JF, nimeona niiweke for our records: Aliyekuwa Naibu Waziri wa Kilimo na Ushirika na Mbunge wa Namtumbo, Prof.Pius Mbawala, amefariki dunia akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa familia, Prof. Mbawala...
  14. JamiiForums Tanzania Salaam kwa wadau wa jukwaa la kilimo

    Habari ndugu zangu,napenda kuwaeleza kile kilichotokea Hadi kuto kupatikana hapa jukwaani. Nilipotea hapa jukwaani kwa muda mrefu baada ya kutoa post yangu iliyo zungumzia shuhuda ya safari yangu ya kuelekea kule katavi kwa shughuli ya kilimo. Tangu wakati huo zilijitokeza changamoto nyingi...
  15. JamiiForums Tanzania Nashauri serikali itenge eneo hata la hekari 700 pajengwe ukuta ambapo raia hawataingia kizembe then kifanyike kilimo cha zao la Bangi kisasa.

    na watu binafsi pia wapewe vibali waanze kilimo hicho kuwepo na mashamba darasa, Zao la Bangi likishaa komaa na kukaushwa liwe processed kidogo then lipelekwe nje direct kwenye viwanda vya madawa ya binadamu. Tz mapori ni mengi sana
  16. JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kupata hasara kwenye kilimo hadi ukahisi kuzimia?

    Mwaka Jana baada ya kutoka chuo niliona ni Bora nijiajiri kwenye kilimo . Nilipanda viazi mviringo mwezi wa saba na nikavuna mwezi wa 12 hapa nilipata faida asilimia 120%. Mara ya pili nilipanda viazi vya msimu mwezi wa 11 mwaka Jana na nimevuna mwaka huu mwezi wa tatu . Hapa nilipata hasara...
  17. JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu

    Wataalamu wa kilimo cha vitunguu maji naomba uelewa juu ya kilimo hicho maana nimepitapita vijiji vya mkoani Tabora nikakutana na zao hili. Naomba somo, soko na biashara yake ilivyo!
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini matajiri wengi wakifikisha miaka 60+ huanza kurudi kwenye kilimo?

    kama umegundua Watu wengi wanaofanikiwa kwenye biashara au sekta nyingine mbalimbali, wakifika umri mkubwa hasa miaka 60 na kuendelea, wanaanza kuhamishia nguvu zao kwenye kilimo. Mfano, Shabiby wa dodoma amefanya sana biashara ya mabasi na siasa, lakini sasa anaonekana kuwekeza kwa ukubwa...
  19. JamiiForums Tanzania Msigwa: Bwawa la Kidunda ni mradi wa kimkakati kwa Maji, Kilimo na Nishati

    ‎ ‎Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndugu Gerson Msigwa, ameipongeza Wizara ya Maji kwa usimamizi madhubuti wa ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda, akieleza kuwa mradi huo ni miongoni mwa miradi mikubwa ya kimkakati Nchini inayotarajiwa kuleta mageuzi makubwa katika sekta ya maji, kilimo, nishati na...
  20. JamiiForums Tanzania Kilimo Cha maparachichi ya kisasa utajiri njenje

    Maparachichi ya kisasa kwa Sasa limekuwa zao kubwa sana la kibiashara wateja wanakufuata shambani Maparachichi yanasafirishwa nje ya nchi mti wa parachichi unakaa miaka 60 yaani kama ilikuwa unafikiria ulime nini Lima parachichi la kisasa utakuja kunishukuru usije sema sijakuambiaa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…