Nani anaweza kutupa mrejesho kuwa ule mradi wa uwekezaji kwenye Kilimo Al maarufu kama "Build Better Tomorrow -BBT" matokeo yake yamekuwa chanya au hasi Kwa kiasi gani?
kuna aina ya siafu, wale ambao unawaona wanasafiri kwa msafara huku wamebeba majani. hawa huwa hawakai tu katika makoloni makubwa, wanajishughulisha na kilimo kitu ambacho kwa muda mrefu kilidhaniwa kuwa ni sifa ya binadamu pekee.
Siafu wa kundi la Leafcutter ant wamekuwa wakilima fangasi...
Ukilinganisha na wenzetu wa Kenya, watanzania wengi tuko bize na kilimo cha kawaida (traditional farming), tukidhani ukubwa wa eneo ndio ukubwa wa kipato. Ukiangalia mitandaoni kwenye suala la kilimo biashara kwa ujumla wakenya wanatupiga gap kubwa sana na wao wanawekeza sana kwenye technology...
Nicomed Bohay - EFTA
Taasisi ya fedha Equity for Tanzania (EFTA) imezindua hatifungani ya Sh50 bilioni kwa ajili ya kukopesha vifaa vya killimo, usafirishaji na ujenzi.
Akizungumza katika uzinduzi huo leo Februari 10, 2026, Mkurugenzi Mtendaji wa EFTA, Nicomed Bohay amesema kuwa wamefikia hatua...
Kabla ya yote ni kiri wazi kuwa Elimu Haina mwisho na hata maarifa pia.
Nakuja kwenu ninyi wabobevu wa kilimo Cha maharage kuomba njia Bora ya kilimo hiki.
Ukizingatia mbegu, upandaji,
Mbolea na madawa hata booster ni zipi nzuri?
Kwenye mbegu ni mbegu Gani (zipo mbegu za hybrid kama za...
Training, Research, Regulations and PRODUCTION.
1). Utafiti wa kilimo(TARI)
2).Uthibitishaji wa mbegu(TOSCI)
3).Kudhibiti wa pembejeo(TPHPA & TFRA)
4).Uzalishaji na Usambazaji mbegu(ASA)
5). FIELD(condition) CROP PRODUCTION (FCP).
Mashamba darasa yawe darasa kweli kweli sio kuzugazuga...
Habarini wanajukwaa....
Kwa yeyote mwenye shamba la kilimo na ufugaji na anahitaji matokeo bora katika mradi wake yupo kijana ana uzoefu wa kutosha kwenye kilimo na ufugaji hasa kuku na nguruwe, pia ni mtalaamu wa tiba za mifugo hiyo.
Kiufupi kijana amenyooka katika ufugaji na kilimo na yupo...
Mdau katika jukwaa la Kilimo, Ufugaji na Uvuvi amehoji kama ni kweli chokaa inachangia ubora na ufanisi wa mbolea katika kilimo cha ndizi?
"Nilikiwa kwenye Mkoa wa Kagera ambapo kuna mwenendo unaoongezeka wa wakulima wa ndizi kutumia chokaa katika mashamba yao. Wakulima hao wanadai kuwa...
Nilikiwa kwenye Mkoa wa Kagera ambapo kuna mwenendo unaoongezeka wa wakulima wa ndizi kutumia chokaa katika mashamba yao. Wakulima hao wanadai kuwa matumizi ya chokaa husaidia migomba kustawi vizuri na kupunguza au kuzuia mashambulizi ya baadhi ya wadudu wanaosababisha kudhoofika au kuharibika...
Wafanyabiashara katika soko la Kilombero Arusha.
Arusha. Wakati Itifaki ya Soko la Pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ikiweka msingi wa uhuru wa kusafirisha bidhaa na huduma kati ya nchi wanachama, bado kumekuwa na changamoto zinazokwaza itifaki hiyo kutekelezeka.
Lengo la itifaki...
..Kenya wameanza kuachana na Minazi ya kienyeji East African Tall.
..wamekuja na minazi ya kisasa, mifupi, toka India ambayo ina uzalishaji mkubwa.
..Kuna umuhimu wa Tanzania kutafuta mbegu mbadala ya minazi yetu ya asili ili kuongeza tija ktk kilimo cha minazi.
..fuatilia hapa chini...
Habari ,natafuta kijana mwenye elimu na uzoefu wa kilimo na ufugaji anaeishi Mkoa wa Kilimanjaro,,Shamba lipo Makanya Wilaya ya Same ,Shamba tumechimba maji na kuna kilimo cha mkonge kinaendelea tunataka kulima Mazao mengine ,mwenye interest kwa maongezi zaidi ani DM na my Whatsapp...
China na nchi za Afrika zimekuwa na ushirikiano katika sekta mbalimbali ikiwemo elimu, afya, biashara na ushumi, utamaduni, sayansi na teknolojia, kilimo, na sekta nyingine nyingi. Ushirikiano huu umekuwa na manufaa sana kwa nchi za Afrika, kwani zimeweza kupata maendeleo katika sekta husika...
Moja kati ya maeneo yanayotajwa kuwa na uwezekano mkubwa wa kuliondoa bara la Afrika kwenye changamoto za umaskini na usalama wa chakula ni kuboresha sekta ya kilimo. Kutokana na bara la Afrika kuwa na ardhi kubwa inayofaa kwa kilimo, idadi kubwa ya watu wanaojishughulisha na sekta ya kilimo, na...
Mimi ni Mkulima wa Tumbaku katika Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma tangu tumemaliza mnada ni miezi miwili sasa imepita tunaelekea wa tatu lakini hadi leo wamekuwa wakisogeza mbele tarehe za malipo.
Mkataba unasema malipo yafanyike ndani ya wiki mbili baada ya mnada, naomba ufikishe ujumbe huu...
Anonymous
Thread
kigoma
kilimo
malipo ya wakulima
mnada
tumbaku
wakulima
wakulima wa tumbaku
Mashamba kwa ajili ya kilimo cha Nanasi/mahindi/migomba nk yanapatikana,Bago,kiwangwa na Talawanda..Na mashamba pori yanapatikana pia.
Bei rafiki. .Simu 0626431257
Wakulima wenye hasira nchini Ugiriki wanaandamana kutokana na kucheleweshwa kwa fedha za kilimo. Wamepeleka maelfu ya matrekta na malori barabarani, wakizuia barabara kuu katika maeneo mbalimbali na kusababisha usumbufu mkubwa wa usafiri.
===========For English Audience==============
Angry...
Wale mliokosa kazi mnasubiria kuandamana, mchongo mpya ni kwenye izo izo spaces hao wanaowahamasisha mfanya vurugu sasa ni mda wa kufunga hio chapter na waanze kutumika kuleta fursa kwa wote kwenye izo live, kama ni masoko ya vyakula uku mashamba yapo ya kutosha mpaka yanamwagika, kama ni ajira...
HABARI NJEMA KWA WAKULIMA
Hakuna tena kuumiza kichwa kuhusu kutibu magonjwa nyemelezi kwenye mazao yako kama vile manjano, fangasi, na kudhoofika kwa mazao.
Tumia mkojo wa sungura pia kuongeza mazao na uzito kwenye mazao kama mpunga, mahindi, maharage, ulezi na mtama.
Mkojo wa sungura pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.