kilimanjaro

Mount Kilimanjaro () is a dormant volcano in Tanzania. It has three volcanic cones: Kibo, Mawenzi and Shira. It is the highest mountain in Africa and the highest single free-standing mountain in the world: 5,895 metres (19,341 ft) above sea level and about 4,900 metres (16,100 ft) above its plateau base.
Kilimanjaro is the fourth most topographically prominent peak on Earth. The first people known to have reached the summit were Hans Meyer and Ludwig Purtscheller, in 1889. It is part of Kilimanjaro National Park and is a major climbing destination. Because of its shrinking glaciers and disappearing ice fields, it has been the subject of many scientific studies.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wapagazi wa Kilimanjaro: Uhalali wa Manyanyaso au Uvunjifu wa Sheria? KIPAP, TANAPA na Wizara, Keleleni Kwenye Ukimya Wenu wa Aibu!

    Ni wakati sasa wa kuweka wazi na kwa lugha ya kisheria dhuluma inayofanywa kwa wapagazi (porters) wa Mlima Kilimanjaro. Hili si jambo la hisia tu, ni jambo la haki, ni jambo la sheria. Na ni jambo ambalo ukimya wa serikali, taasisi husika na wadau wakuu wa sekta ya utalii hauwezi tena...
  2. JamiiForums Tanzania Ubinadamu Umefiwa Mlima Kilimanjaro – Ukimya wa Serikali, Manyanyaso ya Makampuni na Kilio cha Wapagazi

    Jamii nzima ya Tanzania na ulimwengu kwa ujumla mnapaswa kufunguka masikio, kufumbua macho na kusikiliza kwa makini kilio hiki kinachotoka kwenye mioyo ya wale ambao wamesahaulika – Wapagazi (porters), wapishi na magwiji wa milimani (guides) wa Mlima Kilimanjaro. Hawa ndio watu ambao kwa mikono...
  3. JamiiForums Tanzania Wizara ya Maliasili na Utalii: Mnacash-in Billions lakini Ground ni Gheto – Kilimanjaro Ni Kama Survival Game

    Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii inavuta mapato ya ajabu – zaidi ya USD 3.4 bilioni mwaka 2023 na karibu USD 4 bilioni mwaka 2024 – lakini ground reality ni aibu tupu. Angalia Mlima Kilimanjaro, vibarua wabeba mizigo wanateseka kama wapo kwenye jungle ya kufa na kupona; maji...
  4. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro/Arusha hatujapata baiskeli za Mama au tutarajie Pikipiki?

    Mpaka sasa hatujapokea baiskeli pendwa. Pengine tutarajie bodaboda
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Ni mafuriko ya watu kwenye mkutano wa CHAUMA -Moshi Kilimanjaro

    Chama kikubwa Cha upinzani Tanzania kimefanya mkutano mkubwa wa aina yake uko Kilimanjaro. Ikimbukwe mkoa huo viongozi wengi wa chadema katika mkoa huo walihamia CHAUMA.
  6. JamiiForums Tanzania Tajiri Temba Watch amchapa risasi kijana huko Kilimanjaro

    ISIDORI Temba yupo kitandani ghorofa na pili Hospital ya rufaa ya Kanda ya KCMC akiendelea na matibabu ya jeraha la risasi analodaiwa kupigwa na mfanyabiashara muuza vifaa vya kielektloniki la Temba Watch lililopo Double Road mjini moshi. mfanyabiashara huyo kwa sasa yupo mikononi mwa polisi...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Tangazo la ajira Relief Family Home Organization (RFHO - NGO)

    POSITION ACQUIRED. a person has been found for the position of the advertised jobs
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 TAKUKURU Kilimanjaro: Tunafanyia kazi malalamiko 11 ya rushwa dhidi ya watia nia Ubunge CCM

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Kilimanjaro, imeeleza kuwa imepokea malalamiko 11 yanayohusu vitendo vya rushwa vinavyodaiwa kufanywa na baadhi ya watiania wa ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani humo. Taarifa hiyo imetolewa leo Jumanne Julai 15, 2025 na...
  9. JamiiForums Tanzania Utalii wa Mlima Kilimanjaro: Hazina ya Taifa Inayoendelea Kupotezwa kwa Kutojengewa Mfumo Endelevu wa Kiuchumi na Kihistoria

    Mlima Kilimanjaro—maarufu kama "The Roof of Africa" ni zaidi ya kivutio cha kijiografia; ni iconic symbol of Tanzania's natural heritage na turathi ya kiulimwengu. Hata hivyo, pamoja na umuhimu wake wa kimazingira, kihistoria na kiuchumi, sekta ya utalii wa mlima huu inaendelea kukumbwa na...
  10. JamiiForums Tanzania Tembea Mlima Kilimanjaro – Safari ya Kuukumbuka Milele! ⛰️

    Je, umewahi kujiuliza hisia halisi za kusimama juu ya Afrika? Sasa ni muda wako! Tunakupeleka katika safari ya kipekee ya kupanda Mlima Kilimanjaro – "The Roof of Africa" – kwa mpangilio ulio professional, safe and unforgettable. ✅ Muongozo wa kitaalamu (Certified Mountain Guides) ✅ Mafunzo ya...
  11. JamiiForums Tanzania Wazee Moshi Kilimanjaro Waielewa NRNE

  12. E

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro kuna pisi sana

    Nimekuja mkoa wa Kilimanjaro kusherekea Sikukuu yangu ya Kuzaliwa. Huu mkoa una warembo sana, nimekaa Moshi mjini vijijini na Arusha balaa. Jisafirishe mwenyewe urudi na mtu.
  13. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro; Wanakijiji waiomba serikali mtuhumiwa wa ubakaji watafute pa kumpeleka

    Wananchi wa kijiji Cha Kwa Tito mkoani Kilimanjaro wameomba mtuhumiwa wa ubakaji mwenye umri wa miaka 50 aliyekuwa akimbaka na kumlawiti mtoto wa dada yake mwenye umri wa miaka 7 na kumsabibishia ulemavu kuhamishwa hapo nyumbani na kupelekwa sehemu anapostahili kutokana na kuwa ana tatizo la...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tabia za wanawake wa Kilimanjaro

    1. ROMBO a. Wachapa kazi - bulldozer b. Wana upendo c. Wabunifu sana kimaendeleo d. Wana heshimu ndoa e. Ulevi - hadi gongo na konyagi f. Ushamba g. Hawajui kupika h. Wizi - Mnaposikia wachaga ni wezi basi mjue Mrombo ndie MASTERMIND. Hivyo ukioa Mrombo ujue hela kupotea ndani ni kawaida tu...
  15. JamiiForums Tanzania Kodi inaangamiza vijana Wa Kilimanjaro, Arusha, na Manyara

    Wataalumu na viongozi njoo muone kwa macho. Yawezekana ni kukosena kwa Elimu, Mila a ujinga Wa wakazi husika au ukanda. Kaskazini vijana waimeisha huhitaji utafiti Bali unahitaji macho na miguu ya kutembea Kwenye mitaa na vijiji uone Hali Hali ya jinsia pombe Kali na bei rahisi zinavyoteketeza...
  16. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Viti Maalumu anayemaliza muda wake Esther Maleko amechukua fomu ya Ubunge Viti Maalumu Mkoa wa Kilimanjaro

    Mbunge wa Viti Maalumu anayemaliza Muda wake Esther Maleko amechukua Fomu ya Ubunge Viti Maalumu kwa Mara ya Pili kwa Mkoa wa Kilimanjaro
  17. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Khalid Shekoloa achukua fomu kuwania Udiwani kata ya Kisusa Manispaa ya Moshi, Kilimanjaro

    Kada wa chama cha mapinduzi (CCM) Khalid Shekoloa, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea udiwani kata ya Kiusa, iliyopo maanispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro Shekoloa ambaye ni mwenyekiti wa CCM wa kata hiyo na pia mwenyekiti wa mabalozi wa usalama barabarani (RSA), anasaka kura za...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Linus Silayo achukua fomu ya kutia nia kugombea Ubunge Jimbo la Rombo Kilimanjaro

    Kada wa CCM, Linus Silayo, Mapema leo hii amewasili ofisi za CCM Wilaya ya Rombo kufuata fomu ya kutia nia kugombea Ubunge katika Jimbo la Rombo Kilimanjaro.
  19. JamiiForums Tanzania Watu 38 Wafariki dunia katika ajali mbaya ya mabasi Kilimanjaro

    Watu wasiopungua 38 wamefariki dunia na wengine 28 kujeruhiwa baada ya mabasi mawili kugongana uso kwa uso na kushika moto katika mkoa wa Kaskazini wa Kilimanjaro, Tanzania. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, amesema ajali hiyo ilitokea jioni ya jana katika wilaya ya Same baada ya tairi...
  20. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kennedy Mmari achukua fomu ya ubunge Siha, Kilimanjaro

    Katika kilele cha siku ya kwanza ya mchakato rasmi wa uchukuaji wa fomu kwa ajili ya kugombea nafasi ya Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), jimbo la Siha limeandika historia yake kwa kumpokea mjasiriamali Kennedy Mmari (33) kama mgombea wa kwanza kutia nia. Ni majira ya saa 8:21 mchana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…