Watu wasiopungua 38 wamefariki dunia na wengine 28 kujeruhiwa baada ya mabasi mawili kugongana uso kwa uso na kushika moto katika mkoa wa Kaskazini wa Kilimanjaro, Tanzania.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, amesema ajali hiyo ilitokea jioni ya jana katika wilaya ya Same baada ya tairi...