kilimanjaro

Mount Kilimanjaro () is a dormant volcano in Tanzania. It has three volcanic cones: Kibo, Mawenzi and Shira. It is the highest mountain in Africa and the highest single free-standing mountain in the world: 5,895 metres (19,341 ft) above sea level and about 4,900 metres (16,100 ft) above its plateau base.
Kilimanjaro is the fourth most topographically prominent peak on Earth. The first people known to have reached the summit were Hans Meyer and Ludwig Purtscheller, in 1889. It is part of Kilimanjaro National Park and is a major climbing destination. Because of its shrinking glaciers and disappearing ice fields, it has been the subject of many scientific studies.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Serikali kutangaza utalii kupitia mbio za Kilimanjaro

    NW UTALII, MARRY MASANJA - SERIKALI KUTANGAZA UTALII KUPITIA MBIO ZA KILIMANJARO Serikali imesema itaendelea kutangaza vivutio vya utalii katika nchi wanazotoka washiriki wa mbio za Kilimanjaro International Marathon ili kuongeza idadi ya washiriki wa mbio hizo na hatimaye kuongeza idadi ya...
  2. JamiiForums Tanzania Utani; Rebmann na Wachagga mlimani Kilimanjaro

    Paa la Afrika. Nilikuwa nimesikia mengi juu ya Kilimanjaro, mlima mrefu kuliko wote barani Afrika. Hali kadhalika, nilisoma mengi na kutazama picha nyingi zilizoonyesha mlima huo. Lakini katika yote hayo niliyosikia au kuona kwenye picha hakukuwepo lolote lililoniacha nisiweze kupigwa na butwaa...
  3. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Mume adaiwa kumuua mkewe na kumjeruhi mtoto mchanga

    Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia mwanaume mmoja, mkazi wa Mero, wilaya ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro kwa madai ya kumuua mkewe na kumjeruhi mtoto mchanga kwa kile kinachodaiwa ni wivu wa mapenzi. Mwanamke huyo ambaye anatambulika kwa jina la Fausta Tesha (26) aliuawa kwa kukatwa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania “Benki ni SimBanking” kuongeza ujumuishi wa huduma za fedha, Moshi

    Wakazi wa Moshi mkoani Kilimanjaro wameonekana kuipokea vyema promosheni ya “Benki ni SimBanking” ikiwa ni sehemu ya jitihada za Benki ya CRDB kuongeza ujumuishi wa Watanzania kwenye huduma za kibenki. Wakazi hao waliojitokeza kwa wingi katika uzinduzi wa promosheni hiyo mkoani Moshi walionyesha...
  5. JamiiForums Tanzania TAKUKURU na DPP warushiana mpira kuhusu waliohujumu Chama cha Ushirika Kilimanjaro

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) na Ofisi ya Taifa ya Mashitaka (NPS), zinadaiwa kutupiana mpira kuhusu uchunguzi na mashtaka dhidi ya wanaodaiwa kuhujumu Chama cha Ushirika cha Usafirishaji Mruwia mkoani Kilimanjaro. NPS inafanya kazi chini ya Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka...
  6. JamiiForums Tanzania Ajali iliyoua watu 20 Tanga, yadaiwa wakati wa uhai wake, marehemu alisema akifa mwili wake usipelekwe Kilimanjaro

    Ndugu wa marehemu Athanas Mrema aliyekuwa akisafirishwa katika gari lililopata ajali na kuua watu 20 Korogwe mkoani Tanga, wamedai kuwa ndugu yao hakutaka kwenda kuzikwa Rombo mkoani Kilimanjaro. Inadaiwa kuwa Mrema alitengana na mkewe anayeishi Rombo kwa zaidi ya miaka 20 na aliomba akifariki...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Yaani Kuzaana sana kwa Tumbili ndiyo kusababishe Njaa itakayokuja Jimboni Vunjo Mkoani Kilimanjaro?

    Tumeotesha miti mingi, lakini tatizo moja tumekaribisha tumbili na ngedere wakawa wamejaa kule ndio wanawahi kuvuna mahindi yetu kabla hatujavuna, kwa hiyo njaa itakayokuja kule kwetu itatokana na tumbili na ngedere. Wanazaliana hawana mpango wa uzazi, wanazaliana ovyo ovyo wamekuwa wengi sana...
  8. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro vijana wameharibika sana. Kina mama wanalia

    Ilianza Pemba, Mombasa, Lamu,Tanga,Dar na Zanzibar kwa Ujumla.. Sasa imehamia Kilimanjaro.... Vijana wengi sasa wamekuwa mabwabwa.... Yaani inasikitisha sana miaka ya hivi karibuni nguvu kazi ya vijana imeharibiwa sana. Yaani kwa sasa kumkuta shayo,shirima, urio, massawe Bwabwa kawaida sana...
  9. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro akemea rushwa mahakamani

    Moshi. Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu amewataka watumishi, watendaji na wadau wa Mahakama kujiepusha na vitendo vya rushwa na kuweka mifumo mizuri itakayowezesha utatuzi wa migogoro kwa njii ya usuluhishi ili kuondoa mrundikano wa mashauri na kesi mahakamani. Babu ametoa rai hiyo leo...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Polisi chunguzeni ukweli kuhusu tukio la watoto watatu wa familia moja kufa kwa kuungua moto Rombo, Kilimanjaro

    Ni taarifa nimeisoma kwa majonzi sana juu watoto watatu wa familia moja, Erick (9), Joshua (7) na Gidion Theodory (2) kufa kwa kuungua moto ndani ya nyumba na mama yao kudai kwamba waliungua kwa moto uliosababishwa na wao kuchezea kibatari wakati yeye akiongea na simu na mume wake nje ya nyumba...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi: Msimamizi wa Ofisi - Moshi Kilimanjaro

    Kazi: Msimamizi wa Ofisi Mahali: Moshi - Kilimanjaro Majukumu Kusimamia shughuli za ofisi Kutunza hesabu za ofisi Kufatilia mambo ya ofisi kwa wadau mbalimbali Sifa Elimu ya kidato cha sita na lazima awe na ufaulu wa somo la hesabu kuanzia alama 'B' Akiwa na cheti cha masomo ya biashara au...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Niseme nisiseme? Watoto kufundishwa ulawiti huko Kilimanjaro kosa ni la Serikali

    Shule zinazotumia mitaala ya nje lkn zinasajiliwa hapa nchini na serikali yetu zinaongezeka kila uchwao. Lakini cha kushangaza ni kwamba waliopewa dhamana ya kutoa usajil kwa shule hizo (wizara ya elimu) hawajisumbui kukagua kwa undani kilichomo ndani ya mitaala hiyo. Kilichotokea Kilimanjaro...
  13. JamiiForums Tanzania Ajali nyingine yaua watano Kilimanjaro, wanne wajeruhiwa

    Watu watano wamefariki dunia papo hapo baada ya lori lililobeba katoni za maji ya kunywa kufeli mfumo wa breki katika eneo la mteremko barabara ya Mwika-Himo na kuigonga kwa nyuma gari dogo la abiria aina ya Toyota Noah lililokuwa likitokea Rombo kwenda Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro. Ajali hiyo...
  14. JamiiForums Tanzania Jirani Zetu Hawajanyang'anya Mlima Kilimanjaro Pekee Hata Waimbaji

    Sina haja ya kueleza hii inajieleza
  15. JamiiForums Tanzania Mlima Kilimanjaro haujaheshimika kutowekwa kama nembo kwenye noti ya elfu10

    Hello hello, Mlima(Mt.)Kilimanjaro the pride of Tanzania. Ebu ifike pahala kama taifa tuwe serious kwenye fikra na dhamira mbali mbali katika uendeshaji na mipango ya nchi, tutafakari tu, hivi upekee wa Tanzania katika utambulisho wa nembo za rasilimali kuu za taifa kwenye pesa zetu hasa noti...
  16. JamiiForums Tanzania Ladha ya chumvi kwenye maji ya Kilimanjaro inasababishwa na nini?

    Maji ya Kilimanjaro hapo awali hayakuwa na ladha ya chumvi, ila haya ya siku hizi hili tatizo limekuwa sugu, nini sababu ya haya maji kuwa na ladha ya chumvi chumvi? Na ukikagua packaginh yanaonekana ni authentic kabisa, sio fake..
  17. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro Hotel Korogwe bei ya vyakula ipo juu sana

    Heshima sana, Jana nilikuwa natokea Dar kwenda Arusha.Muda wa saa 2 asubuhi tukapitia hotel ya Kilimanjaro Bus pale Korogwe. Nikaagiza mtori na sambusa tatu na mwenzangu naye akaagiza kama mimi.Baada ya kumaliza tukaletewa bill kibakuli cha Mtori tsh 5,000 sambusa moja 2,000. Nikawauliza huu...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kashfa kubwa CCM Kilimanjaro

    Kashfa kubwa yaikumba CCM Kilimanjaro Uongozi wa chama cha mapinduzi ccm mkoa wa Kilimanjaro umeingia katika kashfa kubwa baada ya kusemekana ya kuwa imefungua akaunti ya siri isiyo rasmi ambayo inatumika kukusanyia michango ambayo inadaiwa kuingia mifukoni mwa baadhi ya viongozi wa chama...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Shule bora Kilimanjaro hii hapa, mlete mwanao, tunakuhakikishia atakuwa wa kwanza kwa kila jambo

    Hello wanajukwaa, Je, unafikiria shule Bora Kilimanjaro yenye Ada nafuu Kilimanjaro!? Nazarene ndio JIBU lako, mlete mwanao apate elimu Bora na malezi sahihi kwa mustakabali wa maisha yake! Ada yetu Ni nafuu Sana na hulipwa kwa awamu! Ni shule pekee,ambayo wahitimu wake wote waliomaliza vyuo...
  20. JamiiForums Tanzania Prof. James Mdoe: Lugha ya Kiswahili ina wazungumzaji takriban milioni 250, sasa kupandishwa Mlima Kilimanjaro

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imejizatiti kueneza lugha ya Kiswahili kwa kuimarisha ufundishaji wa Kiswahili katika nchi za Afrika na ulimwenguni kwa ujumla. Akizungumza jijini Dodoma wakati wa kukabidhi bango la Kiswahili kwa watumishi watakaopanda Mlima Kilimanjaro kwa azma ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…