kilimanjaro

Mount Kilimanjaro () is a dormant volcano in Tanzania. It has three volcanic cones: Kibo, Mawenzi and Shira. It is the highest mountain in Africa and the highest single free-standing mountain in the world: 5,895 metres (19,341 ft) above sea level and about 4,900 metres (16,100 ft) above its plateau base.
Kilimanjaro is the fourth most topographically prominent peak on Earth. The first people known to have reached the summit were Hans Meyer and Ludwig Purtscheller, in 1889. It is part of Kilimanjaro National Park and is a major climbing destination. Because of its shrinking glaciers and disappearing ice fields, it has been the subject of many scientific studies.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania SoC04 Miundombinu wezeshi ni chanzo halisi cha ukusanyaji na upatikanaji wa kodi hifadhi ya mlima Kilimanjaro (kwa serikali)

    Hifadhi ya taifa ya mlima Kilimanjaro Tanzania ni moja ya hifadhi kubwa na ya umuhimu zaidi katika nchi ya Tanzania na Afrika kwa ujumla. Hifadhi hii ipo mkoani Kilimanjaro ikizungukwa na wilaya zake zaidi ya tano ambazo ndio inakopita hifadhi hiyo ikiwa na njia zake za kupandia. Wilaya hizo ni...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kupeleka kombe Mlima Kilimanjaro ni kutekeleza masharti ya waganga

    Itakumbukwa simba ndio walipeleka kibegi mlima kilimanjaro, walifika hadi kileleni, sisi tunaojua mambo haya tuliamini kabisa kuwa mwaka huu ulikuwa wetu, yalikuwa masharti ya mtalaamu wetu kuwa kama tunataka kukaa kileleni tukapeleke kitu kule mlimani, bahati mbaya Injinia akatonywa na wasaliti...
  3. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Walimu wauza Rasilimali zao kupata pesa za uhamisho

    Walimu zaidi ya 50 kutoka Katika shule za msingi zipatazo 46 katika Tarafa mbalimbali Wilayani Rombo, Mkoani Kilimanjaro wamelazimika kuuza Rasilimali zao kama vile mbuzi, kuku na baadhi ya vitu vya ndani na wengine kuingia kwenye mikopo ili kuweza kupata pesa kwa ajili ya kujihamisha wao...
  4. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Wakulima Vijiji vya Hai walalamikia changamoto ya tumbili kuharibu mazao, waomba msaada Serikalini

    Wakulima Katika baadhi ya Vijiji Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro wamedai kupata hasara kubwa kutokana na uharibifu mkubwa uliotokea katika mazao yao baada ya wanyama aina ya Tumbili kuvamia mashamba yao na kula mazao mbalimbali shambani. Baadhi ya mazao ambayo yameshambuliwa ni kwa kiasi...
  5. JamiiForums Tanzania Usafi wa mazingira umeshindikana Manispaa ya Moshi, wananchi walalamika

    Wakazi wa Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, wamelalamikia kuzagaa kwa takataka katika maeneo yao kwa zaidi ya miezi mitatu sasa pasipo kuzolewa licha ya kutozwa ushuru wa uzoaji wa taka hizo Majibu Kwa njia ya simu kutoka Moshi, ni ya uongo na hayaba mshiko. KAZI yake kukusanya michango...
  6. JamiiForums Tanzania IT specialist anahitajika Moshi Kilimanjaro

    Kama umesoma IT jaribu bahat Yako hapa
  7. JamiiForums Tanzania Waethiopia haramu 41 wakamatwa moshi kilimanjaro ati dreva amekimbia aisee??Why

    Majuzi niliongelea swala moja la kushangazaaa Kwa nn kila wanapokamatwa wasomali ama waethiopia atuambiwi dreva na waliohusika wamekamatwa?? Mjini moshi waethippia 41 wamekamatwa wakitokea kwao Maswali haya yanatishia mipaka yetu sana 1.Mkuu wa immigration boda nambanga je hawa wamepitia...
  8. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro Esther Malleko akichangia hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi Bungeni Jijini Dodoma

    "Nampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa namna alivyoweka kipaumbele katika kuboresha na kuendeleza Sekta ya Uchukuzi. Ameboresha miundombinu na huduma za Uchukuzi zimeboreshwa sana. Nampongeza Waziri wa Uchukuzi, Naibu Waziri na Watendaji wote wa Wizara ya Uchukuzi kwa kazi nzuri wanayoifanya"...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Esther Malleko Atoa Simu Janja 7 (Milioni 2.1) kwa UWT Wilaya Zote za Mkoa wa Kilimanjaro

    Esther Malleko atoa simu janja saba (milioni 2.1) kwa UWT Wilaya zote za mkoa wa Kilimanjaro kwaajili ya kusajili Wanawake kielektroniki Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Edwin Malleko ametoa Simu Janja Saba (Smartphone 7) zenye thamani ya Shilingi Milioni 2.1 kwaajili ya...
  10. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yanayoongozwa na Freeman Mbowe

    Kama ilivyotangazwa awali , leo ndio hitimisho la awamu ya kwanza ya Wiki ya Maandamano, Ambapo Mwamba Kabisa Freeman Mbowe ataisimamisha Kilimanjaro pale atakapoongoza Maandamano Moshi Mjini Usiondoke JF kwa Taarifa kamili =========== Ukombozi unaendelea Pia soma: Mbowe hebu tupe...
  11. JamiiForums Tanzania Tatizo la Maji shule ya Sekondari Same

    Kwa wasioijua Same Sekondari ni moja ya shule Kongwe za Serikali Tanzania iliyoanzishwa mwaka 1952. Shule hiyo imekuwa na wanafunzi wa kidato cha kwanza hadi cha sita (boys). Kulikuwa na jitihada kadhaa za kutaka kuleta wanafunzi wa kike (wasichana) ila ikashindikana kutokana na tatizo kubwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Gharama za kumpeleka Malisa Kilimanjaro zingetosha kuzikisha familia 5 zikizoathirika Kwa Mvua Kwa mwezi Mzima

    Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar esSalaam,imemsafirisha Godlista Malisa kwenda nyumbani kwao Kwa ajili ya kumfanyia upekuzi,baada ya kudaiwa kuandika uchochezi katika mitandao ya kijamii. Kwa vyovyote vile Kwa umaarufi wa Malisa Polisi ni lazima watachukua tahadhari ya usalama wao na wake...
  13. JamiiForums Tanzania Hatuna hata movie moja iliyoigiziwa Mlima Kilimanjaro

    Hatuko serious kwenye tasnia ya filamu yaani nchi yote hii wasanii wameshindwa kuja na idea ya movie ikachezwa mlima kilimanjaro au serenget au ngorongoro. Isiwe kipande tu iwe movie yote full mwanzo Mpaka mwisho ichezewe mlimani.
  14. JamiiForums Tanzania Moshi: Taa za barabarani zinazotumia 'solar' zaibwa

    Mkurugenzi wa Moshi Manispaa, amelala na kusinzia, sasa wezi wameiba na solar na taa takribani betri 50 na solar panels 30 na taa zimeibiwa na zinaendelea kuibiwa kwenye Barabara ya Nyerere (Nyerere Road) kuelekea kiwanda cha soda cha Bonite. Hii ni zaidi ya hatari na tukiendelea kukaa...
  15. JamiiForums Tanzania DOKEZO Kaimu Afisa utumishi Halmashauri ya wilaya ya Mwanga ameshindwa kusimamia maslahi ya watumishi

    Watumishi wa umma Kwa umoja wenu ninawasalimu na kuwaomba msome ujumbe huu,wenye kilio cha Afisa utumishi Halmashauri ya Mwanga. Mh Waziri uliyeaminiwa na Mh Rais Samia suluhu Hassani, tunakuomba , ufahamu, kumtambua na kumuondoa huyu kaimu Afisa utumishi wa hiyo Halmashauri. Suala la haki...
  16. JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi tunaomba kukujulisha kuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro hayupo, nafasi Iko wazi

    Matokeo ya kukosekana Kwa Katibu wa CCM mkoa HUO, majibu haya hapa. Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi mkoa ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya siasa mkoa, anatukana wanachama https://youtu.be/c7T6FjRrxHM?si=BVSP3wN3vUE6ZVsA
  17. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Kilimanjaro: Madereva wa mabasi na Costa watishia kugoma kutokana na ubovu wa Stendi ya Bomang'ombe

    Madereva wa mabasi ya mikoani pamoja na Costa hasa zile zinazofanya safari zake Moshi - Arusha wametishia kugoma kwa kile kinachodaiwa ni miundombinu mibovu iliyopo Stendi ya Bomang'ombe hasa barabara. Barabara ya eneo hili lililopo Hai Wilayani Kilimanjaro limetawaliwa na mashimo mengi na...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Eneo la biashara Morombo Arusha kubadilishana na shamba Arusha, Manyara au Kilimanjaro

    Habari wakuu, Lipo eneo la biashara Morombo sokoni ambalo halijakamilika kujengwa. Ni chumba kikubwa kimejengwa kufikia lenta. Kama una shamba maeneo ya mikoa ya Arusha, Manyara au Kilimanjaro karibu tufanye mabadilishano. Ukubwa wa shamba utakaokubalika kwa mabadilishano utategemea na mahali...
  19. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Mhandisi wa Kilimo apewa usimamizi wa ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Mwanga

    Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amesikitishwa na kitendo cha Mhandisi wa kilimo (agricultural engineer) kapewa usimamizi wa ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro. Kisingizio alichopewa ni eti kumekosekana mhandisi hivyo wakaona ni bora Mhandisi wa Kilimo angalau alete...
  20. JamiiForums Tanzania Tetesi: CCM Kilimanjaro imepasuka, Mkoa unazidi kurudi nyuma

    WAsalaam,Kwa wajumbe wa halmashauri kuu ya wilaya, hebu jadilini pale old CCM. Mji wa Moshi ni mchafu na haukui sababu kubwa ni CCM kukamata, kushikilia na kuhodhi maeneo muhimu ya mji ambapo ni kwaajili ya ukuaji wa mji. Sehemu zote huwa wanweka vibanda vsivyo elewekw, kuzungushia ma-fremu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…