kikwete

  1. U

    JamiiForums Tanzania Rostam, Kikwete na Lowassa: Mafisadi nyuma ya mradi wa Richmond

    Siongei sana, maneno mafupi tu. Kampuni Ya Richmond ilianzishwa na Rostam akiwa na back up ya Kikwete Raisi, Na Lowasa Waziri Mkuu. Lowasa alitoa maelekezo makali Kwa Mkurugenzi wa TANESCO wa wakati huo, pamoja na Tenda bodi ya TANESCO ndani ya Ikulu ya Magogoni, akitoa mkwara mzito kweli, Kuwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kama ilivyokuwa kwa Kikwete 2015 Rais Samia hutaweza kumuweka unayemtaka 2030, safari ya wazalendo kudai nchi yao imeanza

    Mwana mtandao wa muda mrefu na mtoto wa mjini Rais msitaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete alishindwa kumwachia urais anayemtaka 2015 baada ya wazalendo wa nchi kuchukua hatua kali za kulinda nchi yao na wakafanikiwa kumleta kutoka kusikojulikana Hayati Magufuli na kumfanya awe Rais wa awamu ya...
  3. JamiiForums Tanzania Kumbikizi: Mengi alivovichua mafisadi papa wanaoitafuna nchi

    Polepole hajakosea, Marehemu Mzee Mengi huyu hapa. https://www.youtube.com/watch?v=aSNSXYBsV1M
  4. JamiiForums Tanzania Kwa Miaka yote ambayo SAMIA atakuwa Madarakani na Kikwete hai. Simba msahau Kuchukua Ubingwa wa Ligi

    Hili nawahakikishia mtabaki kuwa mikia tu piga ua galagaza. Kombe mtakalo chukua labda liwe na Uji. Kikwete anaipenda sana Yanga yeye na kundi lake kubwa nyuma yake. Na Samia naye automatically amekuwa mpenzi mkubwa wa Team ya Yanga. Hapo sasa nani atatusumbua? Nani? Serikali ikiwa upande...
  5. JamiiForums Tanzania Polepole asema Mwaka 2010 , Familia ya Kikwete ndio iliyosambaza Fomu zake na Sio Chamaz, kwakua Serikali yake iliharibu mambo mengi sana

    Hivo Chama kikasusa suala la Kumsaidia Mgombea Kusambaza Fomu zake !!. Mambo yanazidi kua ya moto sana https://youtu.be/TS67F-3yfqM
  6. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 PICHA: Ridhiwan Kikwete Apokelewa Kifalme na Wajumbe Jimboni Chalinze

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete Mbunge Wa Chalinze anayesubiria tu kuapishwa Baada ya kuwa Amepitishwa kuwa Mgombea pekee wa chama cha Mapinduzi Jimbo la Chalinze. kutokana na wanachama wengine kutochukua Fomu ya kugombea kutokana na kuridhishwa na uchapakazi wake pamoja...
  7. JamiiForums Tanzania Je mwalimu Nyerere hana ndugu? Mbona simuoni hata mmoja akigombea ubunge kama watoto wa Samia na Mwinyi na Kikwete?

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU Je hana hata wajukuu? Hana hata wajomba? Nauliza tu LONDON BOY
  8. S

    JamiiForums Tanzania Lawama dhidi ya Kikwete ni halisi ama tunacheza ngoma tusiyoijua?

    Kikwete ni rais mstaafu, hana jeshi wala hamiliki kikundi cha kigaidi. Kwann analalamikiwa kuhusu mwenendo wa uongozi wa nchi? Lawama anazopewa Kikwete anastahili ama ni chuki binafsi toka kwa wabaya wake? Rais aliyeko madarakani analazimika kufuata maagizo ama ushauri wa Kikwete? Kama jibu ni...
  9. JamiiForums Tanzania Kikwete anapaswa kuona haya za uso na akili

    Kila alipo Samia na yeye yupo! Na siyo anakuwepo tu lakini pia anataka kuzungumza! Samia anashindwa kupumua kwa sababu kila wakati pua ya Kikwete ipo kisogoni kwake! Kikwete ebu muachie huyo mama, kwanza ni mke wa mtu halafu anahitaji faragha yake na kupata muda wa kutafakari mambo ya nchi...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Rais mstaafu Kikwete anasema uchaguzi uliopita (2020) Ridhiwani Kikwete hakuwa na mpinzani ndani ya CCM

    Ndugu mstaafu kikwete amedanganya umma kuwa hata awali ridhiwani alipita bila kupingwa Si kweli. Ridhiwani alipingwa na ushindani ulikuwa mkubwa tu wa kutosha mwaka huu kubadili matokeo. Na huu hapa ni ushahidi. Si vizuri kwa mtu wa umri wake kusema amedanganya. Mila zetu haziruhusu. Ila mtu...
  11. JamiiForums Tanzania Mwl Nyerere aliona Mbali sana kuhusu Kikwete na Lowasa kwa sasa sote tu Mashahidi

    GT Kwa hali ilivyo na mambo yanavyokwenda ni sahihi kabisa Nyerere kuitwa baba wa Taifa alikuwa na maono ndiyo maana hotuba zake zote utazani kaziongea hivi karibuni na zitaendelea kushangaza wengi. Marais wengi wamepita lakini hakuna mwenye wosia unaoshi kama Mwl Nyerere huyu mzee alikuwa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jakaya Kikwete awashukia wanaoshangaa Ridhiwani kutokuwa na mpinzani

    Wakuu naona utaendelea kushaangaana sasa, wa kuondoa mshangao naye anawashangaa wanoshangaa === Jakaya Kikwete amesema anawashangaa wanaoshangazwa na suala la Ridhwan kikwete kupita bila kupingwa/kutokuwa na mpinzani kwani jambo hilo ni la kawaida na amewahi kupita mara kdahaa bila moinzani...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mpina kapata adhabu ya kuwa mzalendo kwenye nchi ya kifamilia (Kikwete, Mwinyi na Samia)

    Mpina kapata adhabu ya kuwa mzalendo kwenye nchi ya kifamilia (Kikwete, Mwinyi na Samia). Kushindana na mafisadi na hizi familia. Hatakiwi CCM maana hiki si chama cha wazalendo tena
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Mama Salma Kikwete kugombea ubunge ni kujivinjia heshima aliyoijenga miaka mingi

    Huyu mama ashakuwa First lady na Sasa ni First Mstaafu wa Rais awamu ya nne First lady anaambatana na mmewe kukagua gwaride la heshima ndani na nje ya nchi Anapigiwa mizinga First lady ameishi Ikulu Kwa miaka 10, tena pale Magogoni akibarizi na upepo wa bahari First lady Bi Salma alikuwa na...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Familia ya Kikwete, Samia na Mwinyi ndiyo CCM wengine wote machawa

    Familia ya Kikwete, Samia na Mwinyi ndiyo CCM wengine wote machawa . Kama unasifia sifia na hutaki No reform no election endelea lakini ukweli ndiyo huo
  16. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salma Kikwete na Ridhiwani Kikwete ni bora kuliko Gwajima na Mpina?

    Salma Kikwete na Ridhiwani Kikwete bi bora kuliko Gwajima na Mpina!!!!. Huyu Mama ambaye anaongea pumba tu kila akipewa nafasi ni sawa na hawa vipanga !!! Mafisadi naona wameshikilia nchi kweli kweli
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Nchi imefikia Mahali ambapo, wahuni wanaamini hamna MTU wa kuwafanya kitu, Inawezekanaje, Familia ya Mstaafu wapitishwe wao tu bila ushindani ?

    Jambo la Kushangaza, Hii familia nao wanafurahia tuu, hivi hata Ridhiwani alishindwa kumshauri Mzee Kikwete, Mzee chomekea majina walau Manne, ila tumalizane na Wajumbe ?. Kwamba ukiwa Mwanafamilia ya Kikwete, Wewe tayari ni Kiongozi Bora kushinda Wenzio Jimbo Zima 🤣 haya ni maajabu. Lakini...
  18. JamiiForums Tanzania Tetesi: Ridhiwani waziri wa mambo ya nje na Salma Kikwete waziri wa jinsia na watoto

    Wakuu Kama Kuna wakati ambao tunatakiwa kupigania mabadiliko ya kweli Basi ni kipindi Kama hiki Habari kutoka kwenye corridor za kizimkazi zinasema mtoto na mama Wote watapita bila kupigwa kwa sababu wameandaliwa wapinzani mamuluki Chauma na Act Baada ya kupitishwa bila kupingwa wote watapewa...
  19. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mwandishi Mkuu Hotuba za Rais Kikwete kwa miaka 10 Leo hii ni useless kwa nafasi Ubunge?

    Tutampopoa Makamba mpaka akome Huyu kijana alishiriki sana kuandaa na kuandika Hotuba za Rais Kikwete miaka kumi wa utawalal wake Leo hii ni useless hata kwa ubunge Mimi nasema Baba levo ni useless kipeuo Cha pili ila kapenya. Je wana wa Kikwete ni useble?😝🤣😂
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini Mzee Kikwete alaumiwe?

    Kelele zenye muelekeo wa lawama zimekuwa nyingi kwa Rais mstaafu kuwa anamshauri vibaya "mama" Rais aliyepo madarakani. Nabaki na butwaa nikiwa na maswali yafuatayo; 1. Je ni nani mwenye ushahidi kuwa Kikwete ndiye anamshauri SSH? 2. Je SSH (Dkt) hana washauri kwa utaratibu unaofahamika na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…