Viongozi wa Africa mna shida gani?
Kwanini hamtaki kustaafu
Hapo hajaweka CV za mkewe na mwanawe
Watoto wa Obama wala hawapo kwenye nafasi za kiserikali kama hawa huku
Rais wa Namibia Netumbo Ndemupelila Nandi-Ndaitwah na Rais wa zamani wa Tanzania Jakaya Kikwete Mkutano wa Wakuu wa Umoja wa Afrika (AU) Jijini Addis Ababa.[/URL]
Kikwete ndiyo alianza mambo ya mitandao , akaja dikteta fake mwendazake Magufuli na huyu Mama wa machawa Samia.
Hawa wamechangia sana kwenye kudidimiza tamaduni na ndiyo waliouwa demokrasia
Huo ndiyo ukweli ndiyo maana funga funga ya wakina Lissu inaendelea, utekaji usio na tija unaendelea, rushwa inaendelea, undugu kwenye uongozi unaendelea , upendeleaji wa vijana wa Kizanzibari unaendea, mikataba bila ufuatiliaji ya kifisadi inaendea, mauaji ya vijana mpaka leo hakuna mwenye...
Vinara wa rushwa ndiyo viongozi fake: Samia, Mwigulu, Kikwete na Rostam. Ndiyo maana Polepole hatunaye leo na Lissu kafugwa leo bila hata kuhukumiwa!!!
Bila kuwaondoa hawa Tanzania tutabaki kwenye shimo.
Hii ilikuwa kwenye msiba wa Bob Makan ambae na yeye alikuwa mmoja wa Waasisi wa Chadema na yeye alikuwa Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania.
Jeneza la Bob Makani lilifunikwa bendera ya Chama mwanzo, mwisho.
Hata Kikwete akiwa Rais alitoa heshima za mwisho jeneza likiwa limefunikwa bendera ya...
SWALI KWA KIKWETE: KAMA AMANI YA KUDUMU SIO TUNDA LA HAKI WATANZANIA TUNATOKAJE OKTOBA 2025 NA KUFIKA KWENYE UFALME WA HAKI NA AMANI TUNAKOPASWA KWENDA?
Mpendwa Jakaya Kikwete,
Rais wa Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Tangu 21 Desemba 2005 hadi 5 Novemba 2015.
Nakuandikia tena...
Rais mstaafu wa awamu ya nne ndugu Jakaya Kikwete ndiye rais bora zaidi kwa hapa nchini kuliko marais wote waliopita na huyu aliyejipa urais kinguvu
Kipindi cha Kikwete maisha yalikuwa poa sana na wengi walitoboa kipindi chake.
Japo ufisadi ulikuwa mkubwa, watumishi hewa lakini pesa mtaani...
Political comentator maarufu Instagram , DJ Bwakali, ameelezea kustuka kwake kwa kitendo cha Kikwete kutolaani mauaji yaliyofanyika Oktoba29.
Niliwahi kuliongelea hilo hapa mtandaoni, sasa dunia ina take note.
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam(UDSM) ambaye ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amempongeza Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Mwigulu Lameck Nchemba kwa kazi anayofanya akieleza kuwa chuo hicho kinajivunia nafasi aliyonayo kwani naye ni mhitimu wa chuo hicho.
Dkt...
Niwaonye tu viongozi wetu wa Sekretarieti ya Maadali kwamba, msije mkaingia mkenge huo. Kila siku akikutana na ninyi lazima ajisemeshe na kulialia, tunataka ateme ndoano kabisa
Sisi tunaokaa na huyo Kikwete na huyo Mwigulu tunajua mali zao ambazo hazijaandikwa kwenye makaratasi yenu.
Wanataka...
Kila kona leo isipokuwa vijijini watu wamekaa ndani na hawatoi hata pua nje.
Ila Waandamanaji wamesema wataandamana mpaka Rais Samia aachie nchi.
Sasa tutaishi maisha haya kila mara wakiitisha maandamanl?
Kikwete ndiye rais mstaafu pekee aliyebaki hai mpaka sasa , hivyo neno lake kwa namna moja au nyingine lina nguvu
.
Kabla ya uchaguzi, Kikwete alikuwa anaonekana sehemu mbalimbali tena utakuta shughuli nyingine sio za kiserikali kabisa lakini Kikwete alikuwepo.
Kikwete ametumia nguvu kubwa...
Ajenda ya udini inazidi kusukumwa mdomdo na watawala, na mara hii Ridhimoko amesukuma kete nyingine kwa lengo la kuuteka umma wa wanazuoni wa kiislamu, wataalam wa eiilimu duuniya, na mambo ya Dua na daahawa!!.
NB: huu ni ungese , sijui lengo lao ni nini sasa
Katika kumbukumbu December 3 2012 raia mstaafu Jakaya Kikwete akiwa Rais wa Tanzania wakati huo aliwahi kutamka maneno haya akimrejea Hayati baba wa taifa Mwalimu Julius Nyerere.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.