kikatili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Songwe: Katekista wa Kanisa Katoliki auawa kikatili nyumbani kwake

    Katekista wa Kanisa Katoliki, Vincent Mwenda amepoteza maisha kwa kushambuliwa na watu ambao utambulisho wao haujajulikana Mjini Tunduma. Diwani wa Kata ya Kaloleni, Mji wa Tunduma, Mkoa wa Songwe, Hamis Chuma amesema kiongozi hiyo wa Dini alifariki Mei 10, 2025 baada ya kushambuliwa akiwa...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Erick Turuka (23) amuua kikatili mpenzi wake kisa amemkatalia kumuoa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia kijana Erick Turuka (23) maarufu kama Keneth, ambaye ni muuza bucha la nyama ya nguruwe, kwa tuhuma za kumuua kikatili msichana wa kazi aitwaye Shukrani Ajiliwa (19), mkazi wa Namihoro, Songea Vijijini. Akiongea na Waandishi wa Habari Kamanda wa...
  3. EricMan

    JamiiForums Tanzania Hawa viumbe wanakera sana

    Hivi wanakukera na wewe huko kiasi gani
  4. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Aliyewateka nyara Ariel na Kfri na mama yao Shrii Bibay kisha kuwaua kikatili naye ameuwawa leo hii

    Mohammed Awad aliingia Nir Oz mara kadhaa tarehe 7 Oktoba. Alikuwa mmoja wa viongozi wa mauaji hayo na inaonekana alihusika katika utekaji nyara na mauaji ya kikatili ya Shiri, Ariel, na Kfir Bibas (wa kumbukumbu iliyobarikiwa). Aidha, alihusika katika kusimamia utekaji nyara na maziko ya Gad...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wengi wasio na ajira hawapo serious kwenye shughuli zao, akili huwaza ajira, wakifika 30s hakuna walichofanya, maisha huwacharaza kikatili

    Vijana wengi humaliza vyuo wakiwa 20s mbichi lakini wanapoteza muda mwingi sana kuwaza ajira badala ya kutia mkazo kwenye shughuli zao, matokeo yake mtu anafika 30s hana ajira wala maendeleo na umri umeshaenda hana tena vigezo vya kuendelea kuomba ajira, its too late and its the beginning of the...
  6. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Kimeumana: Magaidi wa HTS na Hezbollah wauana kikatili

    Magaidi waliompindua Rais Assad wa Syria wameapa kupambana na Magaidi wenzao wa Hezbollah kwenye mpaka wa Syria na Lebanon hii inatokana na Hezbollah kuingia Syria na kuwateka nyara askari wa Utawala mpya wa Syria kisha kuwaua kwa ku wapiga mawe kichwani baada ya kuwa Una miguu kwa risasi. Hapo...
  7. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kinasababisha wanaume kuwafanyia wanawake matukio ya kikatili?

    Habarini wadau, Kumekuwa na matukio mfululizo ya wanaume kuwafanyia wake/wapenzi wao matukio ya kikatili ikiwemo mauaji ya kikatili. Imeripotiwa mara kadhaa na vyombo vya usalama, najua wengi wenu mmesikia bila hata ya mimi kuorodhesha matukio. Swali ni je? kitu gani kinasababisha hali hii...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mwanakwaya auawa kikatili kwa kucharangwa na vitu vyenye ncha kali

    Mwanakwaya wa Kanisa Katoliki Parokia ya Buhangija, Manispaa ya Shinyanga, Agatha Nyahuma (32), mkazi wa Bugayambelele, Kata ya Kizumbi, amefariki dunia baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana waliomtaka kwa vitu vyenye ncha kali katika maeneo ya mabega, mgongoni na mkono wa kulia. Kaimu...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mtoto wa miaka 6 auawa kikatili na watu wasiojulikana

    Mtoto wa mfanyabiashara maarufu jijini Dodoma anayejulikana kwa jina la Jojo, Graison Kanyenye (6), anadaiwa kuuawa kwa kupigwa na kitu kizito kichwani wakati mama yake akiwa matembezini usiku wa kuamkia jana. Mbali na hilo, Jeshi la Polisi limesema mwili wa mtoto huyo ulikutwa ndani ya nyumba...
  10. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kulikuwa hakuna adhabu nyingine kwa hawa watoto wadogo hadi kuwaua kikatili?

    Nimeweka mstari huu wa bible kutoka biblia ya KJV kwa sababu ya kiswahili imechakachuliwa tafsiri yake. Nabii Elisha akiwa kwenye matembezi akakutana na kundi la watoto wadogo waliokuwa wakimtania kuhusu kipara cha kushangaza wakatokea dubu wawili kimiujiza na kuwaua watoto 42 kikatili kama...
  11. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Tuwaheshimu wazazi/walezi wetu ila tusiwasulubu wajukuu zao kwa jinsi walivyokuwa wakitupiga kikatili

    Tukiachilia mbali ulaji wa ugali jambo lingine ambalo lina mchango mkubwa kwenye ujinga na umaskini wetu ni kujengewa hofu kuanzia utotoni. Wengi wetu tumejaa hofu hatuna uhuru kabisa wa matumizi za akili na vipaji vyetu. Sababu za kuwa hivyo ni nyingi ila kwa leo nitagusia kwa ngazi ya familia...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Walebanoni wameua watoto wao makusudi watumike Kama Kinga ya vita kwa hizbola, kulinda magaidi na wewe ni gaidi na taarifa wakipewa na Israel

    Israel ilitoa taarifa mapema ya kushambulia maeneo lakini wakaamua kubaki na wanawake wao na watoto ili wauawe iwe Kinga kwa Hizbola INgawa mbinu hii Israel imeilewa ndo maana hawataki kulea magaidi Nashauri UN ipige maarufuku kitendo hiki cha kikatili Cha kutumia watoto na wanawake Kama Kinga...
  13. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona beki mjinga kama Thiery Manzi,unaumizaje mwana Africa Mashariki kikatili

    Jamaa ni kama alitumwa na uto kuwavunja wachezaji wa Simba. Refa nae akawa fair sana yule alitakiwa red card kwa uchezaji wake wa kikatili. Alichosahau yuko Libya kikazi ila huku Tanzania watutsi wenzake wamejazana , dada zake tunawamwagisha maji kwa kale kamchezo ketu huku Ngara. Si ajabu ana...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaokemea Kuuawa Kikatili kabisa kwa Mzee Kibao ni watu wa CCM na UVCCM na ukiwatizama Usoni huoni Uhalisia wa Wao Kuumizwa na Tukio husika?

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba amewaasa wanasiasa wa vyama vya upinzani kuwa watulivu, wakati huu ambao serikali inafanya uchunguzi juu ya kukithiri kwa vitendo vya utekaji na mauaji vinavyochafua taswira ya Taifa. Chanzo...
  15. Mchunguzi Fukara

    JamiiForums Tanzania Mfahamu George Stinner Jr, black America,kijana wakimarekani mweusi aliyeuawa kikatili alinyongwa akiwa na umri wa miaka 14 pekee

    Leo nimewaletea picha na video ya tukio mojawapo lililoleta ukakasi/na kuwaumiza wamarekani weusi miaka nyuma NCHINI MAREKANI, George Stinney Jr black America alikuwa kijana mwenye umri mdogo zaidi kuuawa kikatili Marekani akiwa na umri wa miaka 14 alinyongwa June 16,1944 na alizaliwa October...
  16. Aaliyyah

    JamiiForums Tanzania Nilivoachwa kikatili na mpenzi wangu wa kwanza

    Hii wiki Niko very happy ngoja niwape kisa nilivyoachwa na mpenz wangu wa kwanza😃😃 Miaka mingi nyuma nilikuwa na rafikiyangu ambae ni jirani yetu pia alinizi kama miaka miwil umri, alikuwa anansoma shule ya boarding hivo tulikuwa tunaonana kipindi cha likizo. Rafik yangu alikuwa ni wale...
  17. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Tukio la Kikatili Lililowakuta Wanajeshi wa Kirusi Waliokuwa Wakisafisha Uwanja wa Vita

    Walidhani ni madini kwa jinsi yalivyoonekana kwa nje kumbe ulikuwa no mtego. Never trust anything on walking around.
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Elon Musk afunguliwa kesi ya madai ya Tsh. Bilioni 326.4 kwa kuwafukuza kazi kikatili Watendaji wa Twitter

    MAREKANI: Watendaji Wakuu wa Mtandao wa X (zamani Twitter) ambao walifukuzwa kazi baada ya Elon Musk kuununua Mtandao huo, wamefungua Kesi ya madai wakimtaka Bosi huyo mpya kuwalipa zaidi ya Tsh. Bilioni 326 kwa kuwaondoa kazini kikatili. Kesi hiyo imefunguliwa katika Mahakama ya Wilaya ya San...
  19. D

    JamiiForums Tanzania M23 wailaumu TPDF kutumia silaha nzito za kivita kulinda amani DRC

    TPDF inapeleka kisago(sio kipigo) cha mbwa koko huko DRC Vijana wa M23 eti wanaonya JW kuendelea kuwashambulia itajilaumu baadae wameitaka iache mara moja vinginevyo itapigwa.
  20. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mamia waandamana kupinga Mauaji ya Kikatili dhidi ya Wanawake

    KENYA: Idadi kubwa ya Wanawake wameandamana katika Miji 11 ya wakipinga kuongezeka kwa Vitendo vya Ukatili Dhidi yao yakiwemo Mauaji mfululizo yaliyoripotiwa kati ya Desemba 2023 hadi Januari 2024. Maandamano yalitawaliwa na Mabango yenye jumbe mbalimbali za kukemea Ukatili kwa maneno ya "Sisi...
Back
Top Bottom