kikatili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni suluhisho la 'Kikatili' la Kukabiliana na Paka wanaolia kama Watoto Wachanga Majumbani Nyakati za Usiku tu

    Kuna Mmoja nimetoka na Panga ili nikabiliane nae Kikamilifu nikakuta amenisonya na Kujamba kama Binadamu nikaamua kurudi tu ndani na Panga langu na Kuendelea kuwa hapa JamiiForums, ila kwa Nje nawasikia Wakilia kama Watoto Wachanga na tena sasa hivi Wamezidisha Kulia na wakisogea upande wa...
  2. Adili Utotole

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tuimbe wimbo wa amani na upendo kabla hayajatokea mauaji ya kikatili

    Ukatili ni hali ya kusababisha kwa makusudi mateso na kukosesha raha dhidi ya mtu mwingine,ilihali lipo suluhisho la wazi linaweza kupatikana kwa urahisi Unaweza kuwa ukatili wa kukatisha uhai wa mtu au mnyama, ukatili wa kingono , ukatili wa kunyima haki mtu ,kundi la watu au taasisi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanaumizwa na tozo za kikatili na dhuluma

    Ulipe kodi kwenye kila bidhaa unayonunua- hiyo SAWA Ukatwe Kodi (PAYE) toka kwenye mshahara - Hiyo SAWA Hiyo hiyo pesa uliyonilipa mshahara na kodi yako umesha nikata, unaniwekea benki, nikienda kuichukua bado unaifata tena unaikata TOZO- HII SI SAWA. KUNA BIASHARA GANI AMBAYO IMETOA FAIDA...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Masasi: Mfululizo mauaji ya kikatili kwa Wanawake, Polisi wataja wivu wa kimapenzi

    Kufuatia mfululizo wa mauaji ya kikatili hasa kwa Wanawake Wilayani Masasi Mkoani Mtwara, Jeshi la Polisi limedai kuwa vyanzo vingi ni masuala ya mapenzi. Kauli hiyo imetolewa baada ya tukio lingine la mauaji kutokea usiku wa kuamkia jana Agosti 11, 2022, ambapo mwalimu wa Shule ya Msingi Mbaju...
  5. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mtoto aliyejeruhiwa na ndugu zake 6 kuuawa kikatili Mkoani Kigoma naye afariki

    Mtoto James Januari (4) aliyejeruhiwa katika tukio la mauaji ya watu sita wa familia moja yaliyotokea kwenye Kijiji cha Kiganza, Halmashauri ya Wilaya Kigoma amefariki usiku wa kuamkia leo Julai 5, 2022. Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mkoa Kigoma Maweni, Dkt. Stanley Binagi amethibitisha kifo...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kamanda Muliro: Matukio ya kikatili kuna tatizo zaidi ya tunavyofikiria, kutegemea sheria haitoshi

    Katika takwimu za matukio ya kikatili kwa baadhi ya watu mfano kubaka, ni tabia ambazo zimekuwa zikijirudiarudia, unakuta akihukumiwa maisha au miaka 30, akiwa jela anafanya tukio kama lilelile kwa mwanaume. “Hapo unafikiri adhabu aliyopewa je, imemsaidia au la! Suala la maadili, kujitambua ni...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Chama cha Walimu Tanzania wilaya ya Rombo auawa kikatili

    Inasikitisha sana mauaji kama haya kufanyika kwa mwalimu anayefundisha taifa la kesho. --- Picha: Mwalimu Turo Hiza enzi za uhai wake Mwenyekiti wa Chama cha Walimu (CWT) Wilaya ya Rombo na Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Boma iliyopo Tarafa ya Mkuu Wilayani humo, Turo Hiza amekutwa ameuawa...
  8. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Errol Spence amtandika kikatili Yordenis Ugas, amtaka Terence Crawford kumaliza ubishi

    Bondia Errol Spence Jr (The truth) amefanikiwa kumtwanga vilivyo Yordenis Ugas kwa T.K.O round ya 10 na kufanikiwa kuunganisha mikanda ya WBA, WBC na IBF amebakisha mkanda mmoja tu wa WBO ambao unashikiliwa na Terence Crawford ili awe Undisputed Welterweight Champion. Error Spence hakuishia...
  9. data

    JamiiForums Tanzania Mwalimu auawa kikatili tena Dodoma wadau, hii inaogopesha

    Mwenye ripoti kamili ndugu zangu. Tuna shida. Tunahitaji uponyaji. Hii inaogopesha.
  10. U

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Askari wa JWTZ amuua Baba yake kikatili akimtuhumu ushirikina

    Mbeya. Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limethibitisha kutokea mauaji ya aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Chama cha Mapinduzi Taifa (CCM), Edward Ndonde anayedaiwa kuuawa kikatili kwa kuchomwa visu na mtoto wake, Mussa ambaye ni mtumishi wa Ruvu JKT. Mussa anadaiwa kufanya mauaji...
Back
Top Bottom