kikao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nape ashauri TCRA iunde kanuni ya kusimamia na kukuza maudhui ya ndani

    Kikao hiki kimefanyika kwa siku mbili ambapo jana Septemba 15, 2022 wadau walilalamikia baadhi ya sheria kuminya uwanja wa ubunifu na utengenezaji wa maudhui shindani. kwa upande mwingine, wadau wa maudhui walieleza kutokuwa na uwezo wa kulinda kazi zao, kutafuta vyanzo vya mapato na kuziweka...
  2. Bunge la 12: Mkutano wa 8 kikao cha pili, Septemba 14, 2022

    TUME YA KUCHUNGUZA MAUAJI YAKAMILISHA KAZI YAKABIDHI MAJIBU SERIKALINI Tume iliyoundwa kuchunguza ongezeko la mauaji Nchini na kutoa mapendekezo imekamilisha kazi na imewasilisha majibu Serikalini. Imeelezwa majibu yanafanyiwa kazi na kukiwa na umuhimu wa kufikisha kwa Wananchi Serikali...
  3. Waziri Masauni: Tendo la ndoa sio haki ya msingi kwa Wafungwa

    Waziri Masauni: Tendo la ndoa sio haki ya msingi kwa Wafungwa Waziri wa Mambo ya Ndani Hamad Yussuf Masauni amesema mchakato wa haki ya faragha kwa wafungwa kukutana na wenza wao utaanza kutolewa pale ambapo mifumo ya kisheria na miundombinu ya magereza itakapokidhi kutolewa kwa haki hiyo...
  4. Ukimsifia sana unakaribia kumkosa!

    Ukimsifia sana mwanamke juu ya uzuri wake jua unakaribia kumkosa!. Ndio tunajua anamacho mazuri, pua nzuri, ngozi amaizing, chuchu saa sita na nusu na nyuma mabonde mawili yametuna inavyotakiwa n.k Swala la kuvisifia hivi viumbe lifanyike kwa akili msifie huku..... Akili za hivi viumbe sio za...
  5. Waziri wa Ulinzi Dkt. Stergomena ashiriki Kikao Cha Kamati ya Siasa Wilaya, leo 11-09-2022

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) ni miongoni mwa viongozi walioshiriki Kikao cha Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Magu. Kikao hicho ngazi ya Wilaya kimefanyika leo tarehe 11 Septemba, 2022 katika Ofisi ya CCM Wilaya. Viongozi...
  6. J

    TCRA imeendesha kikao Kazi na Wadau wa sekta ya Mawasiliano Kanda ya Kati

    TCRA imeendesha kikao Kazi na Wadau wa sekta ya Mawasiliano Kanda ya Kati Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. Jabiri Bakari, ameongoza kikao kazi baina ya TCRA na Wadau wa Sekta ya Mawasiliano Kanda ya Kati, kilichofanyika Mkoani Tabora, katika ukumbi wa Isike...
  7. C

    SoC02 Mitandao ya kijamii ni jamvi linalotuunganisha, maudhui ya kikao juu ya jamvi yasitusambaratishe

    Ndugu msomaji wa makala hii, kwanza napenda kukukaribisha katika kuchanganua mawazo yetu kwa namna Moja ama nyingine Ili tu kujenga weredi na utashi wa maarifa yetu kupitia jamvi hili ambapo tunaketi na kujadili masuala ya msingi, yanayoweza kusaidia kuanzia mtu binafsi familia na hata maendeleo...
  8. Kwa kikao cha Copenhagen, vita ya Ukraine na Urusi si ya kuisha leo au kesho

    Jana mataifa ya Ulaya 26 yalikutana jijin Copenhagen, huku ajenda kuu ni kukusanya pesa kwa ajili ya kuisaidia zaid Ukraine, kwa haraka misaada ilifikia dola billion 5 za phase one, kiasi hicho kinakadiriwa ni kikubwa sana. Silaha nyingi zimeshaanza kuingizwa Ukraine na Russia kwa upande wake...
  9. S

    Bodaboda Dodoma walalamika kupateliwa mafuta kikao cha RC Mtaka

    Kuna malalamiko makubwa kutoka kwa waendesha Bodaboda na Bajaji walioshiriki kikao baina ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Antony Mtaka kuhusiana na hamasa ya sensa lakini awali wakati wanajiandisha asubuhi waliahidiwa kupewa lita 2 za mafuta. Baada ya kumaliza mkutano baada ya Mkuu wa Mkoa wa...
  10. M

    Shirikisho la Umoja wa kiuchumi wa nchi za Amerika ya Kusini zimemkatalia Zelensky kuhutubia kwenye kikao chao

    Imekuwa ni kawaida ya Rais Zelensky wa Ukraine kuhutubia vikao mbali mbali vya kitaifa na kimataifa katika harakati zake za kutaka kuungwa mkono kuiwekea vikwazo urusi. Jitihada hizo zimeshindwa vibaya kwenye mataifa ya mashariki ya kati, Asia, Amerika ya kusini na Afrika. Alikubaliwa...
  11. B

    Dkt. Samizi na kikao cha Baraza la Vijana Kibondo

    DKT. SAMIZI NA KIKAO CHA BARAZA LA VIJANA KIBONDO. Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Dk. Florence George Samizi ameendelea na ziara yake Jimboni ambapo leo amefanya Kikao Maalum na Baraza la Vijana UVCCM Wilayani Kibondo na kupata kuzungumza na Vijana hao masuala mbalimbali yanayohusu...
  12. M

    Ndiyo maana Zelensky amelalamika sana!! Kumbe Makamanda wake walikuwa kwenye kikao na wauzaji wa vifaa vya kijeshi, makombora ya Urusi yakawaangamiza!

    Russia comments on deadly strike on Ukrainian city Moscow said it targeted a meeting of Kiev's military commanders with foreign arms suppliers in central Vinnitsa. Russia attacked the House of Military Officers in Vinnitsa with sea-launched Kalibr cruise missiles, the Defense Ministry said on...
  13. Hotuba ya Waziri Mkuu Bunge la 12 Mkutano wa 7 Saba, Kikao cha 55, Juni 30, 2022

    Serikali yapiga marufuku michango shuleni Serikali imepiga marufu michango kiholela katika shule za umma katika ngazi ya Msingi na Sekondari baada ya kuripotiwa kuwepo kwa michango mingi licha ya sera ya elimu bila malipo. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema hayo Bungeni leo Juni 30, 2022...
  14. Balozi wa Urusi asusia kikao cha Umoja wa Mataifa (UN)

    Balozi wa Urusi katika Umoja wa Mataifa (UN), Vassily Nebenzia ametoka nje ya kikao ya Baraza la Usalama baada ya Rais wa Baraza la Ulaya, Charles Michel kuishutumu Moscow kwa kusababisha janga la Chakula duniani Michel ameyashutumu Majeshi ya Urusi kwa uhalifu wa kivita na makosa mengine ya...
  15. N

    Kikao kifupi barazani; namtokeaje bosi wangu?!!!

    kwa jina la jmt, mnasalimiwa mno! Kwenye mada: Jamani ni mbinu gani, ni namna gani, ni kivipi naweza kumtokea huyu mwanadada ambaye ni bosi wangu wa kati?!!! Nimejikuta namuelewa mno, ananivutia haswaa! ● Mkali na ukali wake wageuka kivutio kwangu kiajabu kabisa. Anagoma kweli pale kazi...
  16. Maazimio yatakayoleta mabadiliko chanya kwa Sekta ya Afya na Medical Laboratory Tanzania

    Kikupe mrejesho kidogo kwa kikao MELSAT cha mwisho kilichofanyikia MUHAS kati ya mambo tuliokubaliana na yakachukuliwa na mwanasheria kuyafanyia citation ili yapelekwe kwa wahusika yaanze kutumika rasmi ni kama ifuatavyo 1. Mkuu wa maabara au msimamizi wa department anatakiwa awe na basic...
  17. A Kangaroo Court Moja, Kutoa Hukumu Kikangaroo, Kisha Kikao cha Rufaa, Kikiyabariki Maamuzi yale ya Kikangaroo. Je, nacho ni A Kangaroo?

    Wanabodi, Mimi kama kawaida yangu ni mtu wa maswali na hapa nauliza tuu, ila tuanze na kitu kinachoitwa first thing first Kwanza, Kikao cha Baraza Kuu la Chadema, ni kikao, halali, hivyo maamuzi yaliyofikiwa na kikao hicho, yamefikiwa kihalali kwa kufuata utaratibu, ila uamuzi huo ni uamuzi...
  18. Kikao cha kuunda TANU nyumbani kwa Hamza Kibwana Mwapachu - Nansio, Ukerewe 1953

    KIKAO CHA KUUNDA TANU NYUMBANI KWA HAMZA KIBWANA MWAPACHU NANSIO, UKEREWE 1953 Ilikuwa miezi ya mwanzo ya mwaka wa 1953 kabla ya kufika April, 1953. Abdul Sykes Act. President na Secretary wa TAA akifuatana na Ali Mwinyi Tambwe Secretary wa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa...
  19. Rais Samia aitisha kikao cha dharura usiku huu (Mei, 08 2022) Ikulu Dar Es Salaam kujadili mafuta

    Rais Samia ameitisha kikao ikulu udiku huu kujadili kupanda kwa bei ya mafuta , huku kikao hiko kikihudhuriwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, Waziri wa Nishati January Makamba, Kamishna Mkuu wa TRA Alphayo Kidata na wajumbe wengineo Tutarajie tamko la namna...
  20. Leo nimeenda kwenye kikao cha wazazi darasa la Saba, hakuna mzazi hata moja kaja na gari. Kuna kitu nimejifunza

    Leo niliitwa shuleni kwenda kwenye kikao cha mjukuu wangu yupo darasa la Saba anatarajia kufanya mtihani mwaka huu. Nikachukua baskeli yangu na kwenda kwenye kikao shuleni. Nimefika nimechelewa sana ila kuna kitu nikawa najiuliza baada kufika pale nje, mbona hakuna hata gari moja ya mzazi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…