kikao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Prof. Mkenda: Tunaangalia namna mpya ya kutathimini shule bora nchini

    Fuatilia yanayojiri Bungeni leo, Februari 1, 2023 kwenye Mkutano wa 10, Kikao cha 2 RATIBA YA LEO Dua Hati za kuwasilisha mezani Taarifa za kamati Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii Kamati ya Viwanda, Biashara na Mazingira MWONGOZO Kuhusu uamzi wa NECTA kutokutangaza orodha ya Shule 10...
  2. Festo Dugange: Serikali inajenga vituo vya Kusubiria wagonjwa Kwenye Hospitali ili kuondoa kero kwa ndugu

    Fuatilia yanayojiri Bungeni leo tarehe 31 Januari, 2023 kwenye Mkutano wa Kumi, kikao cha kwanza. HOJA YA SEHEMU ZA KUSUBIRI KUWAONA WAGONJWA Mbunge wa Viti Maalum, Mariam Nassor Kisangi ameuliza kuhusu mpango wa Serikali katika kujenga na kuongeza maeneo ya kusubiri kuona wagonjwa katika...
  3. Kikao cha mbunge wa jimbo na wakuu wa shule (sekondari 27) za Musoma vijijini

    Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, ameomba kufanya KIKAO MAALUM na Wakuu wa Sekondari zote 27 za Jimboni mwetu. SEKONDARI 27: *25 za Kata/Serikali *2 za "private" (KATOLIKI & SDA) SIKU/TAREHE YA KIKAO: *Ijumaa, 3.2.2023 MUDA: *Saa 3 Asubuhi MAHALI: *Busambara...
  4. Nimeisababishia hasara kampuni milioni 500 kwa kuziiba nasubiri kikao cha bodi ya kampuni

    Yaani sio poa kabisa ndugu zangu nimefanikiwa kuziiba pesa taslimu milioni 500 za kampuni x na kuisababishia hasara kampuni ya hiyo pesa na sasa niko njia panda either nikimbie nchi au nitulie tu nikisubiria hatima yangu ya kesi ila najua hii kesi mimi siwezi kuchomoka hapa ni kufungwa kifungo...
  5. D

    Kero ya Walimu msingi kudai michango mingi; ni makubaliano ya kikao feki cha wazazi feki

    Shule nyingi za msingi za serikali siku hizi zimejaa michango mingi sana ambayo inaleta matabaka kwa watoto! Walimu wanachangisha hela ya mitihani kila siku 1000. Ndoo mpya kila term, Fagio jipya kila mwezi, Hela ya safari (tour) kwa mgongo wa hiari huku nyuma wanawapiga mkwara watoto kwenda...
  6. Kikao cha Mbunge wa jimbo na wakuu wa shule (headmasters) za Musoma Vijijini

    KIKAO CHA MBUNGE WA JIMBO NA WAKUU WA SHULE (HEADMASTERS) ZA MUSOMA VIJIJINI Jimbo la Musoma Vijijini lenye Kata 21 lina jumla ya Sekondari 27 ambazo: Shule za Sekondari 25 ni za Kata/Serikali Shule za Sekondari 2 ni za Madhehebu ya Dini (SDA & Katoliki) Mbunge wa Jimbo ataitisha KIKAO cha...
  7. Kikao cha Mauaji "Rudisha upanga wako Alani; atakayetumia upanga, atakufa Kwa upanga"

    KIKAO CHA MAUAJI; RUDISHA UPANGA WAKO ALANI, ATUMIAYE UPANGA ATAKUFA KWA UPANGA. Anaandika, Robert Heriel Yesu aliwahi kusema, kipimo utakachompimia mwenzako, ndicho hichohicho utakachopimiwa tena Kwa kufurika Akaendelea kusema; Atumiaye upanga, atakufa Kwa upanga. Bado akitetea falsafa...
  8. Mwanziva afanya Kikao Kazi na Makatibu Hamasa Mkoa wa Dar es Salaam

    MWANZIVA AFANYA KIKAO KAZI NA MAKATIBU HAMASA MKOA WA DAR ES SALAAM Picha za Matukio mbalimbali wakati Katibu Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa Cde. Victoria Charles Mwanziva, akiongoza Kikao Kazi na Makatibu Hamasa wa Mkoa wa Dar es Salaam wakiongozwa na Katibu wa Uhamasishaji na...
  9. Kikao cha wanaume cha kufunga mwaka

    Hiki ni kikao kitakachohusisha makundi yote ya wanaume hapa nchini isipokuwa wale walioleft. Hapa nazungumzia wanaume mabahili, wenye madeni madogo na makubwa, wenye michepuko, wenye watoto zaidi ya mmoja na kila mtoto na mama yake, wanaolaumiwa kuwaacha wapenzi wao na kuibuka na vifaa vipya na...
  10. Makundi 53 ya waasi DRC yakubali yaishe kwenye kikao Kenya

    Kwenye shughuli iliyosimamiwa na kuratibiwa na aliyekua rais wa Kenya bwana Uhuru Kenyatta. Wamekubali kuweka silaha chini na kuanza shughuli za ujenzi wa taifa, ikumbukwe jumuia ya EAC iliazimia kwamba amani lazima ipatikane DRC kwa heri au shari, chagua moja. Pia M23 wametuma ujumbe wako...
  11. Rais Samia: Zipo Siasa za kuvutana baina ya Mafahari wa dunia na kutaka kuziburuza nchi za Afrika katika Migogoro yenye maslahi yao

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki kikao kazi cha Mabalozi na Menejimenti ya Wizara ya Mambo ya Nje leo tarehe 19 Novemba, 2022 katika Ukumbi wa Golden Tulip Zanzibar SEHEMU YA MAZUNGUNZO YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWA MABALOZI WANAOWAKILISHA TANZANIA NJE...
  12. Wananchi wanategemea kuona ukali wa Rais Samia katika kikao cha dharura cha Baraza la Mawaziri leo

    Moja kati ya habari inayosubiriwa kwa hamu na umma wa Tanzania ni yatakayojiri leo katika kikao cha dharura cha baraza la mawaziri aliloitisha leo Rais Samia ikiwa na ajenda mficho 4 unaoakisi kutoa majibu sahihi juu ya masuala yafuatayo: 1. Ajali ya ndege ya Precision Air kutokana na kile...
  13. Kikao cha dharura cha Rais na Mawaziri kije na majibu haya kuhusu matukio ya ajali nchini

    Wakati Rais Samia akitarajiwa kufanya kikao cha Dharura na Baraza la Mawaziri kujadili suala la Ajali ya Ndege ya Precision Air iliyoua watu 19, haya ndio yanayosubiri majibu ya Serikali. Uwajibikaji wa Idara za Uokoaji nchini ukoje?, Idara hizo zina Miundombinu sahihi na inayostahimili hali...
  14. J

    IKULU CHAMWINO: Rais Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Kamati Kuu Ya Halmashauri Kuu ya CCM Tanzania

    === Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Leo tarehe 12 Novemba 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma. Mama wa Taifa na Jasiri mwongoza njia Ndg Samia Suluhu Hassan...
  15. D

    Kikao cha kishirikina tunakaa leo jumapili, kupinga maji yasivuke mjini kabla ya wanakigamboni kusambaziwa

    Kigamboni hakuna maji ya bomba tangu Uhuru, neema ya kisima iliyopatikana inapelekwa mjini kabla ya wanakigamboni kupatiwa maji hayo kwanza! Malalamiko yamepelekwa kwa wahusika kwamba maji yasambazwe kigamboni kwanza kabla ya kupelekwa mjini, hawajatusikiliza! Tumeamua kufikisha ujumbe wetu...
  16. Bunge la 12 : Mkutano wa 9 Kikao cha 5 ni aibu - why viti ni vitupu, wabunge ni watoro?

    Team, Hi! Bunge letu linaendelea lkn kinachonishangaza ni hiki - kwa nini vitu katika ukumbi wa mikutano vinaonekana vitupu? (a). Wabunge wanadoji vikao? (b). Wabunge wengi wana kazi za nje ya bunge kipindi hiki cha vikao vya bunge? (c). Posho za vikao kwa wabunge hao zinalipwa kwao au...
  17. T

    Gazeti la Tanzania daima la leo kanini halijaripoti kikao cha viongozi wa CHADEMA na CCM?

    Nimeona kwenye gazeti la Mwananchi la leo limeandika kwamba uongozi wa CHADEMA na CCM walikutana jana kwa saa nne. Nikatamani niisome Ile habari kwenye gazeti la Tanzania Daima ili niipate kwenye chanzo sahihi. Cha ajabu sijaiona kabisa hiyo habari. Ndipo nikapata maswali mengi sana. Kwa nini...
  18. J

    Rais Samia aongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM Ikulu ya Chamwino Dodoma

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichokutana Ikulu ya Chamwino, Jijini Dodoma leo Ijumaa tarehe 28 Oktoba , 2022. #CCMImara #KaziIendelee
  19. Tulianza na milo mitatu, tukaja miwili na sasa mlo mmoja. Nimeitisha kikao cha dharura

    TULIANZA NA MILO MITATU, TUKAJA MILO MIWILI. SASA TUPO MLO MMOJA. NIMEITISHA KIKAO CHA DHARURA. Anaandika, Robert Heriel Sio kama nina Parkinson Disease Kwa jinsi ninavyotetemeka hapa. Hata nikikosea maandishi hapa msinitukane ndugu zanguni. Eleweni njaa haina mbabe. Nina ubao hapa siiiioo...
  20. Tetesi: Moto wafukuta ndani ya kikao cha kamati kuu ya CHADEMA

    Baada ya uchaguzi mkuu wa 2020 uongozi wa Chadema ulitangaza kususia kupokea ruzuku kutoka Serikalini ikiwemo ruzuku ambayo walistahili kupata kupitia Wabunge 19 wa viti maalum wa chama hicho kwa madai kuwa uchaguzi huo haukuwa huru na wa haki pamoja na kudai kuwa mchakato wa upatikanaji wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…