kikao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Undumilakuwili huu wa TEC na Kitime mpaka lini?

    KITIMA, TEC NA KIKAO NA RAISI: UNAFIKI HADHARANI Padre Kitima anadai TEC wamemtuma atueleze kilichojiri. Kwanza sijui nani alimwambia watu wa Imani isiyo yake wanataka awaeleze shughuli yao? Mbona hatuwasikii Anglican, BAKWATA, KKKT na wenzao wakitueleza mambo Yao kama Taifa? Hii ni moja ya...
  2. JamiiForums Tanzania Baada ya tamko la maazimio ya kikao kati ya Mababa Askofu na Rais Samia,Sasa nashauri Samia awaite ccm wadai katiba mpya na maaskofu tuiteni Catholics

    Nimefurah SANA Sana kusikia Baraza la Maaskofu kupitia Rais wao Tec akitoa maazimio ya kikao kilichofanyika ikulu ya DODOMA Kwanza nawapongeza maaskofu pamoja na Rais kwa kuridhiana. Dhidi ya waliyoyatamka. Nimefurah kukubaliana yakuwa 1. Wakuu wa VYOMBO VYA majeshi wote wawajibike au...
  3. JamiiForums Tanzania SI KWELI Video ya Hashim Rungwe: avujisha siri wamelipwa kushiriki kikao na samia ni ya Julai 30, 2026?

    Kumekuwepo na chapisho linalosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Instagram, likidai kuwa Hashim Rungwe amefichua siri kwamba viongozi wa vyama vya siasa walilipwa fedha ili kushiriki kikao kilichoitishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan. Chapisho hilo...
  4. O

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kalonzo Musyoka amefanya kikao cha siri leo na Rais William Ruto mjini Narok

    Inadaiwa kuwa Kalonzo Musyoka amefanya kikao cha siri leo na Rais William Ruto mjini Narok, ambapo walifikia makubaliano ya kushirikiana kabla ya uchaguzi. Haya yanajiri huku kukiwa na uvumi kwamba upinzani unampendelea Edwin Sifuna kuwa mgombea wao wa urais, akisaidiwa na mgombea mwenza kutoka...
  5. JamiiForums Tanzania Tajiri Mo itisha kikao cha Ukoo utuletee Mayele na Feitoto

    Naomba tajiri uitishe kikao cha ukoo mapema sana ili waidhinishe fedha utuletee Mayele na Feitoto kabla dirisha halijafungwa. Wanatupigia kelele sana huku mtaani. Pia natoa wito kwa mashangazi, mashemeji na dada za Moo msimkwamishe tafadhali.
  6. JamiiForums Tanzania Dkt. Samia aongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, Zanzibar, Julai 2, 2026

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika Zanzibar Jumatano tarehe 29 Julai, 2026.
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Homera aipongeza Korea kwa kuandaa Kikao cha 48 cha Kamati ya Urithi wa Dunia ya UNESCO

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Juma Zuberi Homera (Mb.) ameipongeza Jamhuri ya Korea kwa kufanikiwa kuwa mwenyeji wa Kikao cha 48 cha Kamati ya Urithi wa Dunia ya UNESCO (48th Session of the World Heritage Committee), kinachofanyika katika Jiji la Busan kuanzia tarehe 19 hadi 29 Julai 2026...
  8. JamiiForums Tanzania Maazimio ya kikao cha Kamati Kuu kilichoketi tarehe 30 Juni 2026 Sunset Vista Hotel, Kigoma Mjini

  9. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli posho ya kikao kwa mmbunge ni shilingi laki nane? Yaani sawa na mshahara wakati wa mtumishi wa serikali?

    Nimemsikia mwanasiasa mmoja wa chama cha upinzani CHADEMA kwenye Moja ya mikutano yake akisema posho ya mmbunge mmoja Kwa kikao ni shilingi laki nane. Mimi kulagha siamini kama hilo linaweza kuwa kweli Kwa jinsi viongozi wetu walivyo wazalendo, hawawezi ruhusu jambo hilo lifanyike katika nchi...
  10. JamiiForums Tanzania Bunge la 13, Mkutano wa Tatu, Kikao cha Arobaini na Tisa, Juni 15, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=gDE5eqI9Fkw
  11. JamiiForums Tanzania Bunge La 13, Mkutano Wa Tatu, Kikao Cha 41, Tarehe 02 Juni, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=JWa-85kg0nc
  12. JamiiForums Tanzania Bunge la 13, Mkutano wa Tatu, Kikao cha 31, Mei 18, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=0OJXfGzcMgk
  13. JamiiForums Tanzania Leo mnamaliza kikao Nakuomba Jin ping kuwa makini na hawa watu hawana urafiki wa kudumu.

    1.Kamwe usiache kumpa silaha Iran 2 kamwe usikubali mikataba ya kununua mafuta kwao.
  14. JamiiForums Tanzania Mzee wa miaka 75 auwa kwa mapanga kwenye kikao cha familia

    Mzee Thomas Filipi Silayo (75), mkazi wa Kijiji cha Mbomai Juu, Tarakea wilayani Rombo, amefariki dunia baada ya kushambuliwa kwa mapanga wakati wa kikao cha kifamilia kilichokuwa kikijadili mgogoro wa ardhi kati yake na ndugu zake. Tukio hilo lilitokea Mei 8, 2026 katika Kijiji cha Wama, Kata...
  15. JamiiForums Tanzania Bunge la 13, Mkutano wa Tatu, Kikao cha 27, Tarehe 12 Mei, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=ZVpL2Tbg5Yw
  16. JamiiForums Tanzania Bunge La 13, Mkutano wa Tatu, Kikao cha Ishirini Na Sita, Tarehe 11 Mei, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=OYri4wkYHdc
  17. L

    JamiiForums Tanzania Rekodi ya Karne: Rais Samia Ahudhuria Kikao Cha Shina Chamwino Dodoma kilichoitishwa Na Balozi Wa CCM Shina.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Ameonyesha unyenyekevu wa kiwango cha Juu sana ambacho hakijawahi kutokea. Hii Ni Baada ya Kuhudhuria kikao cha Shina kilichoitishwa na Balozi wa Shina Chamwino...
  18. JamiiForums Tanzania Bunge la 13, Mkutano wa Tatu, Kikao cha 23, Tarehe 06 Mei, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=ccIXTSjIcMs
  19. B

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria mkuu wa Chadema atoa maamuzi ya kikao cha kamati kuu, yaitwanga vikali ripoti ya Jaji Chande, wamvaa Rais Samia

    05 May 2026 Maazimio ya Kamati kuu ya CHADEMA MWANASHERIA MKUU WA CHADEMA, ASOMA MAAMUZI YA KAMATI KUU YA CHADEMA WAIRARUA VIKALI RIPOTI YA JAJI CHANDE, WAMVAA RAIS SAMIA https://m.youtube.com/watch?v=WgE5hkLdB_s Kamati Kuu ya CHADEMA inasema imejiridhisha pasi kuwa na shaka kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Bunge la Kumi na Tatu, Mkutano wa Tatu, Kikao cha 22, Tarehe 05 Mei, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=24JUhKfO2fI
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…